Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

Sio uzio tu wamepanda na miti Jana,sema wamachinga hawasikii aise Ile saa mbili usiku nimepita yani walishajazana kama wote. Pale patawasumbua labda kifanyike kitu ambacho kitakuwa funzo.
Yaah hata mimi niliwaona, sema wale wauza mbogamboga, vitunguu, nyanya, na makorokoro kama hayo nilitamani sana waachwe maana walikuwa wanatusave sana.
 
Yaah hata mimi niliwaona, sema wale wauza mbogamboga, vitunguu, nyanya, na makorokoro kama hayo nilitamani sana waachwe maana walikuwa wanatusave sana.
Sasa vipi hiyo miti iliyopandwa? Vipi wakiruhusiwa hao wa mboga na matunda unadhani wa mitumba watakubali? Pale Mbezi ni changamoto kiukweli Ila kwa mchana jana nilipita kwa raha sana.
 
Sasa vipi hiyo miti iliyopandwa? Vipi wakiruhusiwa hao wa mboga na matunda unadhani wa mitumba watakubali? Pale Mbezi ni changamoto kiukweli Ila kwa mchana jana nilipita kwa raha sana.
Hivi kwa hapo mbezi mwisho wametengewa eneo wapi?
 
Siku zote Jana na leo haziwi Sana mwezi huu na mwezi huu au mwaka huu au mwaka Jana hailingani so sioni ajabu ikizingatia maisha ni km safari tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…