Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

Hivi kwa hapo mbezi mwisho wametengewa eneo wapi?
Kilijengwa kisoko kidogo sana jirani na Magufuli Stand. Ndo hapo wanapowaambia waende ila ni kidogo mana kinauwezo wa ku-accomodate walau wafanyabiashara 500 napo kwa kujibana sana. Changamoto iliyopo pale hakuna wateja kwani pamekaa kushoto. Pia bado hapajawekwa umeme so uusiku ni changamoto kwa usalama wa mizigo yao. Ndo CCM hiyo wamethubutu,wameweza na wanasonga mbele.
 
Tanzania haijawahi kua na dictatorial regime.
Magufuli kafanya kazi kubwa sana nchi hii.
Ni mpuuzi tu ndie Haoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…