Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

Uzi mzuri unafaa upelekwe jukwaa lake maalumu ambalo ni JamiiPhotos Forum.
 
Sio uzio tu wamepanda na miti Jana,sema wamachinga hawasikii aise Ile saa mbili usiku nimepita yani walishajazana kama wote. Pale patawasumbua labda kifanyike kitu ambacho kitakuwa funzo.

Waweke Lorry mbili tu za jeshi hata kama dereva wawili tu
Yaani hata paka hawatakatisha

Wabongo wanaogopa sana Wanajeshi na sababu sijui ila ndio hivyo [emoji23]
 
Nchi ina furusa nyingi sana sema tunataka kukaa Mjini tu. Nendeni Handeni watu wanalima sana, nenda Mkuranga uone matikiti yanavyolimwa.

TATIZO NIKUTAKA UJIKO KUWA UNAISHI DAR
Mimi Niko maji Moto katavi kwani simenti imepanda bei mjini tu,huu umeme unao katikakatika unafikiri unakatika mjini tu? Matatizo yapo kote,bei za mafuta zimepandΓ  kote tangu JPM afariki Bila hata bei za dunia hazija panda tunasubiri zipande ndiyo tujue lakufanya,huko handeni petroli Lita shilingi ngapi?,mkuranga kwenyewe umeme haukatiki? Hao waliomzunguka mama awaangalie huenda Wana mission tofauti na yeye.
 
Kazi afanye Magufuli sifa apewe Samia ,pathetic,idiots!,endeleeni kujifariji,mambo bado,
Una magufuli fever wewe....Mbezi imeanza kujengwa kipindi cha jk....magufuli kaja kufanya uchafuzi wa kujaza machinga kila sehem,samia lazma apewe sifa kwa kuweza kusafisha jiji
 
Mtu atapoamka na kukuta hakipo ndio atajua hajuiπŸ˜… maana sahizi wanaviiba jumla hawachukui vifaa tena πŸ˜…
75% ya wamiliki wa vile vibaby walker ndio gari zao za mwanjo mwanjo kumiliki,basi wanaviona kama wanamiliki v8 vile kwa ujuaji
 
Hahahaha huwaambii kitu road honi za scania ni pwooohhh
Wanasumbua balaa,akishapelekewa d/licence nyumbani basi akienda posta na kurudi mara 2 tu akidrive mwenyewe safari ya 3 anaanza kuchomekea na kuleta ligi za ajabu ajabu barabarani,juzi kati nikakiona ka1 kaleta ligi na daladala pale kimara korogwe,daladala akamuwekea ngao ikawa kwisha habari yake,vigari visumbufu road kinoma hasa uvikute hivi vyenye namba dt,dr,dp,dv,du,vinakera!
 
Vipya vipya na madereva wapya πŸ˜…
 
Nasubiri mvua za masika zianze,

Mje muanzishe nyuzi zenu.
"Wizi umeanza kurudi kwa Kasi"
"Jana tumevamiwa na majambazi"
"Nmechaniwa dirisha, tv imebebwa"
 
Sina chuki yoyote yakisiasa, mim nimkazi wa mbezi Luis kwa miaka 10 Sasa namiaka 6 iliopita niliwahikua nabiashara maeneo yale nikiwa ndonimetoka chuo TIA, Hela yangu yakwanza kabisa niliitengeneza nikifanya biashara maeneo yale. Hata mtoto wangu kwanza nilimpata nikiwa pale. Sijui ningekua wapi Leo kma nisingepatia mtaji pale.

For the sake of humanity wangeangalia wapi pakuwapeleka wale jamaa, natujiifunze kueka habar zasiasa pembeni kwenye ishu zinazohusu maisha na uhai wa binadamu wenzetu, wale wanafamilia zinazohitaji kula nakushiba kma wewe
 
ikiwa unaondoa machinga afu unasema utawajengea mazingra rafiki ya biashara bila kuwatafutia mazingira rafiki ya kwenda bas kuna walakin na kukurupuka hapo πŸ˜‡πŸ€£πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…