Ujenzi unaoendelea pale ni wa zima moto , baada ya kuona junctions ile imeshakuwa notoriously danger .Mbona Fly over ipo kwenye plan muda mrefu na imesha anza kujengwa kitambo pale mbezi?
Ujenzi unaoendelea pale ni wa zima moto , baada ya kuona junctions ile imeshakuwa notoriously danger .
Yani kama kenge ndo anasikia sasa baada ya damu kutoka masikioni.
For future reference hizi taa zote zilizowekwa kwenye barabara hiyo kuanzia stop over , zitaprove failure na itakuja kuamliwa kuwa flyover is the best answer , wakati huo itakuwa ni turufu ya kuombea kura na fursa ya kuchezea kodi zetu kwa mara nyingine.
Kuna project naiona inaendelea pale siielewi, ni kama flyover inajengwa pale, either mbili au moja nimeona. Kuna upanuzi wa barabara ya kwenda na kutoka kwa magufuli. Kama una hints toa tuone kinachoendelea.Ngoja pakamilike MKUU.. ntakutafuta [emoji1431]
Lile daraja la waenda kwa miguu ndio kichekesho zaidi.
Yaani unapitisha watu juu ya main road then unakwenda kuwatupia barabarani tena.
Angalia abiria wanavyotaabika kukwepa magari wakitoka au kuelekea pale Magufuli Bus Terminal.
Mkuu hapo pakubwa,Hivi design kama hii ina hitaji eka ngapiView attachment 2103069
Naongelea future sio sasa ,Flyove Ubungo imepunguza foleni bana, acha ubishi.
Kwa wanaopita pale chini, hawakai zaidi ya dakika mbili taa zinaruhusu.
Population ya Kimara na Mbezi imesha-saturate. ikue iende wapi. Tayari maeneo yote (viwanja) vya Kimara na Mbezi vimejaa kwa makazi.Naongelea future sio sasa ,
Ubungo pana historia ya kusumbua kadiri popolation ya kimara na mbezi inavyokuwa,
Halafu nimeongelea facts , kati ya directions 12 , ni 4 tu ndo zinapita bila taa , 8 zinategemea taa hivi bado unamini tjmetatua tatizo hapo? , Hqpp imepatikana nafuu tu
MkuluHivi design kama hii ina hitaji eka ngapiView attachment 2103069
Kimara na mbezi nimetumia kama reference , sasa kiluvya kibaha na mlandizi yake , ndo vitakuwa vinajaza hapo, kama upo makini saa hizi morogoro road foleni ipo kuanzia picha ya ndege kuelekea mlandizi, watu wanajenga huko baada ya kukosa kimara na mbezi, .Population ya Kimara na Mbezi imesha-saturate. ikue iende wapi. Tayari maeneo yote (viwanja) vya Kimara na Mbezi vimejaa kwa makazi.
Mbona Salenda bajeti ilipatikana nahaikuwemo kwenye ilani.Wazo zuri lakini kumbuka vizuri vina gharama, bajeti ipo?
Hii structure kwa pale ubungo isingetosha, kwa Mbezi nakubaliana na wewe kuwa inafaa sana na itapunguza foleni kwa asilimia 100. Ubungo tayari ilishabanwa na hiyo structure inataka space ya kutosha.Mkulu
Hii ndo plan inayotumika sana RSA, ni simple na inaondoa kabisa foleni pamoja na uhitaji wa taa, hapo direction zote 12 za junctions hiyo zinakuwa zinapita bila kusubiriana
Kwa wale mnaoshabikia madaraja ya ubungo na Tazara , hii ndo structure ilitakiwa ijengwe kama tulikuwa na lengo la kuondoa foleni. Hata hapo mbezi ilitakiwa structure kama hii
Asante sana ,Tabutupu
Unaweza nipa picha au rejeo la taarifa yako
Share hiyo plan hapa, kwani ni bangi hata mfiche