Mbezi mwisho ingejengwa hivi, Tanroad wangepungukiwa na nini?

Ni kituko tu kinafanyika pale mkuu kwa kujenga kivuko cha waenda kwa miguu. Watoe wapi akili ya kujenga flyover?
 
Ni kituko tu kinafanyika pale mkuu kwa kujenga kivuko cha waenda kwa miguu. Watoe wapi akili ya kujenga flyover?
No, naamini ni flyover, zinajengwa mbili..kule kwa Yusuf na hapa njia panda ya Goba..naamini inaweza kuwa kama ya Kibamba, simple tu. Muhimu ikidhi mahitaji.
 
Walishawahi kuonyesha nini kinafanyika? Ubungo kulikuwa na michoro kila kona, Tazara likewise, Kibamba pia..mbona Mbezi mwisho wasiweke. Mkuu kanuni za construction tunazijua.
Kiufupi kwa mbezi mwisho wanaona aibu kwa walichofanya....watu wakipiga kelele ndo wanakuja na maboresho mapya...sasa hiyo ni akili au matope
 
No, naamini ni flyover, zinajengwa mbili..kule kwa Yusuf na hapa njia panda ya Goba..naamini inaweza kuwa kama ya Kibamba, simple tu. Muhimu ikidhi mahitaji.
Baada ya makelele mengi ndo wanagundua walichemka basi...maana ni aibu kabisa kwa walichokua wamedesign pale mbezi....mara kibao jioni nimekaa foleni zaidi ya masaa matatu tena ni last month tunimekumbana na hiyo...foleni njia zote hadi stendi ya magufuli na ya daladala hakuna gari inayoingia wala kutoka..abiria wanashuka wanatembea. Hovyo kabisa hawa Tanroads na nadhani hamna mwenye upeo pale
 
Wanaficha utadhani uganga wa kienyeji[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jamani muache uongo uongo huu hauna kipimo mbezi hakuna foleni ya mtu kumkarisha masaa matatu.....hata kama unatokea stand tuache uongo....watu tunatumia hii barabara hakuna foleni ya masaa matatu mbezi louis huu ni uongo uongo uongo
 
Ujenzi gani hauna hata bango
 
Upo vizuri
 
Mbezi wameiharibu hata kile kidaraja cha kwenda stand ya daladala ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, stand ya daladala ilitakiwa iwe sehemu ya stand ya magufuli ili kuondoa movement za watu zisizo za lazima..
 
Kwenye project ya mwanzo hakuna kitu kama hicho..

Mkuu wewe ni mbishi na pinga pinga toka ujenzi huu unaanza nenda katembelee ukatazwi utaona ninacho kwambia!
 
Sasa subiri kituko kitakacho jengwa hapo

Hakuna kituko chochote kila mradi una gharama kulingana na mahitaji ya mteja ....usione vya elea vimeundwa....kulalamika ni rahisi sana....subiri uine mbezi itakavyo pendeza
 
Hakuna kituko chochote kila mradi una gharama kulingana na mahitaji ya mteja ....usione vya elea vimeundwa....kulalamika ni rahisi sana....subiri uine mbezi itakavyo pendeza
Project manager !
Looks like huna exposure as to how wenzetu wanajenga super highways
Hebu nenda hapo nairobi uone Kenha walivyojipanga , wala usiende kule Thika highway maana hiyo ni level nyingine , nenda hii bypass ya kutoka mlolongo kwenda limuru, hii kwa urefu inalingana sana na kibaha ubungo 20+ kms
Utarudi hapa mikono juu
 
Jamani muache uongo uongo huu hauna kipimo mbezi hakuna foleni ya mtu kumkarisha masaa matatu.....hata kama unatokea stand tuache uongo....watu tunatumia hii barabara hakuna foleni ya masaa matatu mbezi louis huu ni uongo uongo uongo
We unakata nini mkuu? unakaa Mbezi? Majuzi tu hapo tarehe 24 Dec kuamkia Christmas watu tumekaa zaidi ya masaa matatu..mi nilikwama kuanzia msuguli nikatembea hadi mbezi nipande gari za njia ya goba...kote hazitembei kuanzia stendi ndani,njia ya stendi ya magufuli pia gari zote hazitembei wala hamna basi linaingia watu wametanua njia zote zimeumanaa. Ukija njia ya goba hakuna gari inatembea foleni imeanzia mageti. Watu wanatembea kwa miguu tu hata bajaji hazitembei kote gari zimetanua zimeumana. Tafuta nyuzi humu utaona au uliza mtu anaekaa pande hizo msala wa tarehe 24 na wala si kwamba kulikua na ajali njia ikazibwa. Kuanzia sa mbili kasoro hadi sa tano
 
Unacho kiandika hapa tayari ni kituko, mmepoteza pesa nyingi kujenga vitu vya aajabu ajabu tuu.. pesa mliyopoteza kwenye maround about ingetosha kabisa kujenga kitu kizuri..
Hakuna kituko chochote kila mradi una gharama kulingana na mahitaji ya mteja ....usione vya elea vimeundwa....kulalamika ni rahisi sana....subiri uine mbezi itakavyo pendeza
 
Here we have 'paper engineers'
Angalia Tazara foleni iko pale pale.
Angalia Jangwani makao makuu ya UDART ndani ya miaka miwili pamefunikwa na mchanga yaani pamezikwa.
Mbezi Ni kituko. Kuna siku foleni Mbezi inafika saa Saba usiku.
 
flyover ya uhasibu ni takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…