Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
sure thingUmuhimu wa condoms......ndo kama hivi....
labda mungu wake ambaye ni shetani[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji22]Amesema atamshtaki sugu kwa Mungu kwa kuzuia kipindi chenye mambo kama hayo! 😀
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka bhaaaaaassssWanafanana tabia yule mwingine ni black widow
[emoji13] [emoji13] [emoji13] mzee wa supu ya utumbo.................???????
Mkuu labour unapajua au unapasikia?
Ushawahi kuishi miezi tisa/kumi out of mood??!
Wanaume wa type hiyo hawafai hata kwa kurumangia. Yaani Faiza kumng'ang'ania mtoto ndo kunampa Sugu haki ya kumsusa mwanae? (Mind you mwanae and not Faiza) Wewe mamako angekung'ang'ania halafu baba akakususia ungefurahi? Aisee
Halafu kuna ugumu gani sugu kupeleka matumizi kwani?! Hapo sipaelewi!
Nonsense!Mkuu labour unapajua au unapasikia?
Ushawahi kuishi miezi tisa/kumi out of mood??!
Wanaume wa type hiyo hawafai hata kwa kurumangia. Yaani Faiza kumng'ang'ania mtoto ndo kunampa Sugu haki ya kumsusa mwanae? (Mind you mwanae and not Faiza) Wewe mamako angekung'ang'ania halafu baba akakususia ungefurahi? Aisee
Halafu kuna ugumu gani sugu kupeleka matumizi kwani?! Hapo sipaelewi!
Ni kweli kabisa yaani hiyo show ili iuze basi asilimia tisini angekuwa anamzungumzia suguNonsense!
huyo mwanamke hajiheshimu hata kidogo, abit of self control and respect ingemsaidia kuliko anayofanya sasa!
Anatafuta kick hili apige hela kwa kuanika maisha binafsi kwy TV, hakuna mwanaume timamu anaweza ruhusu upuuzi kama huo!
Big up Hon.Joseph Mbilinyi aka 'Sugu'
Hahaha! You have nailed it lady, it's a fact. What should we do?Nyie wanaume kwani huwa mmaangaliaga? Kama vipofu vile, ona sasa huyu,
Ndege wa kundi moja huruka pamoja ndugu...."uliona wapi bundi kwenye kundi la Njiwa" (kwa sauti ya Marehemu Eddy Sheggy)Sugu kwa huyu dada alipotea njia.. Huyo dada ni chizii
Huyo butch alitafutiwa asee...hebu mwenye picha ya shem wetu fai atuwekee hapa ile aliyovaa kipedi
Usela mavi wa Sugu unadhihirika kwa huyu dada.
Kujidai kote ujanja ilikuwaje azae na mwanamke wa namna hii?
SMH.
ownerHuyu dada hajielewi sugu ni nani EATV mpk azuie kipindi kurushwa.