Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

Hii ilikutokea ndugu mwenye hii Id au ume copy maelezo ya mtu ?
Imetoka kwake au unamjua mtu mwenye haya maelezo? Kwamba kuna mtu mmoja huyu mwenye hayo unayosema.maelezo.ndio amefunuliqa kuhusu Mbingu, ulimwengu wa Roho n.k.
 
Imetoka kwake au unamjua mtu mwenye haya maelezo? Kwamba kuna mtu mmoja huyu mwenye hayo unayosema.maelezo.ndio amefunuliqa kuhusu Mbingu, ulimwengu wa Roho n.k.
Maelezo aliyoelezea sijaona au kusikia popote kwahiyo ni Mara ya kwanza kuyasikia .
 
Mtoa mada hayo ni mawenge ya kukosa hela na tumaini hapa duniani.
Mi niwe na hela za kufanya nilitakalo hapa duniani alafu nitamani au niwe na hamu ya kwenda kumuona Yesu Mnazaleti wa nini sasa?
 
Eti Yesu alinitokea, wewe ni mwafrika na yeye ni myahudi , aache kutokea wayahudi wenzake akutokee wewe? Labda useme mzimu wa mababu zako umekutokea, hapo sawa.
 
Back
Top Bottom