Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Imetoka kwake au unamjua mtu mwenye haya maelezo? Kwamba kuna mtu mmoja huyu mwenye hayo unayosema.maelezo.ndio amefunuliqa kuhusu Mbingu, ulimwengu wa Roho n.k.Hii ilikutokea ndugu mwenye hii Id au ume copy maelezo ya mtu ?
Maelezo aliyoelezea sijaona au kusikia popote kwahiyo ni Mara ya kwanza kuyasikia .Imetoka kwake au unamjua mtu mwenye haya maelezo? Kwamba kuna mtu mmoja huyu mwenye hayo unayosema.maelezo.ndio amefunuliqa kuhusu Mbingu, ulimwengu wa Roho n.k.
Nikajua kuna mtu ana hatimiliki ya maono mkuu. πππππMaelezo aliyoelezea sijaona au kusikia popote kwahiyo ni Mara ya kwanza kuyasikia .
Hapana , kuuliza ni kujifunza zaidiNikajua kuna mtu ana hatimiliki ya maono mkuu. πππππ
AiseeeeeeeeeEti Yesu alinitokea, wewe ni mwafrika na yeye ni myahudi , aache kutokea wayahudi wenzake akutokee wewe? Labda useme mzimu wa mababu zako umekutokea, hapo sawa.
Maskini mna shida sana.Mtoa mada hayo ni mawenge ya kukosa hela na tumaini hapa duniani.
Mi niwe na hela za kufanya nilitakalo hapa duniani alafu nitamani au niwe na hamu ya kwenda kumuona Yesu Mnazaleti wa nini sasa?