Hili ni nenoPepo haitoonekana tukiwa katika ulimwengu wetu huu, ni sehemu ambayo jicho la binadamu na la kiumbe chochote kilichopo hapa Duniani Halitoweza kuona. A matter of Fact, only death is standing between you and Pepo au Moto. So kama we are eager to see them, wait for that unknown second when Malaika mtwaaji wa Roho atakapokuunganisha katika Maisha yajayo.
Endelea kuamin maneno yako hayo.... kitendo cha wanasayansi kufanya utafiti wa kumtafuta Mungu imeleta a lot of changes ktka maisha yetu nd how we think about our universe. Many of us tulikuwa tunaamin Mungu yuko juu ukishaipita anga inayoonekana ni bluu. Wengi tulikuwa tunafikir kwamba tunaishi ndani ya dunia na sio nje. Bila science knowledge tungekuwa idiotswanasayansi wanasahau kuwa maandiko yanasema Mungu hachunguziki. Uwezi wa mwanadamu ni mdogo sana kumchunguza Mungu soma (Isaya 40:28;Zaburi 145:3 na warumi 11:33-34)
Kwa wakristo lengo lao Sio Kwenda PEPONI bali kwenda mbinguni .Naomba kuuliza hivi
Mbinguni ndio peponi?
Motoni nako hawajagundua?
That is amazing science
Kwa wakristo lengo lao Sio Kwenda PEPONI bali kwenda mbinguni .
Wanaolenga Kwenda Peponi ni Waislamu tu.
Wengine wanalenga Kwenda mahala Kwingine kabisa.
Can you Prove???THERE IS NO GOD
Kwa hili lazima aingie mitini!Aisee
Kiranga yuko wapi.??
factNaomba kuuliza hivi
Mbinguni ndio peponi?
Motoni nako hawajagundua?
That is amazing science
Aiseeeee
Teh!teh!!teh!!!....Somebody made my day again!kwa speed ya mwanga miaka m
abilioni ila kwa speed ya chombo chao mapema sana daaa..!!!!
Msikilize Yesu hapa. Alikwenda wapi Baada ya KUFA?Peponi ni mahali wanakokaa MAPEPO
Mbinguni ni mahali anapokaa Mungu na malaika zake
Mie hapa bado nazidi kuchanganyikiwa kwa sababu wahubiri wengine wanasema alishuka kuzimu kuchukua funguo za malmaka..sasa watu washike lipi?Msikilize Yesu hapa. Alikwenda wapi Baada ya KUFA?
LUKA 23: 42-47.
42.Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.
43 Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami PEPONI.
44 Hapo ilikuwa yapata saa sita, kukawa giza juu ya nchi yote hata saa kenda,
45 jua limepungua nuru yake; pazia la hekalu likapasuka katikati.
46 Yesu akalia kwa sauti kuu, akasema, Ee Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu.
47 Alipokwisha kusema hayo alikata roho.
Sasa kwa maana Yako hio hapo Juu. Yesu aliahidi kuwa na Yule aloyesulubiwa karibu yake kuwa WOTE WAWILI watakuwa Kwenye MAPEPO au Sio?
Asante sana Ndugu Mchungaji kwa Kutuonyesha Kiwango chako cha Elimu kilivyo kikubwa.
Mkuu wala hauko peke yako kwa hili.Mie hapa bado nazidi kuchanganyikiwa kwa sababu wahubiri wengine wanasema alishuka kuzimu kuchukua funguo za malmaka..sasa watu washike lipi?
Wanasayansi wamegundua mahali mbingu na pepo ilipo katika anga za mbali sana,Ma trilioni ya kilometer kwa speed ya mwanga kwa mabilioni ya miaka.
Aidha chombo kilichotumwa ''Centurion'' miongo kadhaa iliyopita kimetuma taarifa kadhaa hapa duniani na kudhibitika kwamba mbinguni/peponi ni jambo dhahiri.
Wanasayansi wameongeza kwamba hakuna kiumbe kitakachoweza kuingia maeneo hayo kwani damu itakauka umbali wa kilometer milioni kadhaaa kabla ya kupakaribia.
Chanzo.Discovery science
Pia wanasayansi wamegundua kwamba Mwenyezi Mungu ni nguvu kubwakupindukia inayofanya mambo yote kwa mpangilio.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aisee
Kiranga yuko wapi.??
Acha porojo za kina Cinderella.Wanasayansi wamegundua mahali mbingu na pepo ilipo katika anga za mbali sana,Ma trilioni ya kilometer kwa speed ya mwanga kwa mabilioni ya miaka.
Aidha chombo kilichotumwa ''Centurion'' miongo kadhaa iliyopita kimetuma taarifa kadhaa hapa duniani na kudhibitika kwamba mbinguni/peponi ni jambo dhahiri.
Wanasayansi wameongeza kwamba hakuna kiumbe kitakachoweza kuingia maeneo hayo kwani damu itakauka umbali wa kilometer milioni kadhaaa kabla ya kupakaribia.
Chanzo.Discovery science
Pia wanasayansi wamegundua kwamba Mwenyezi Mungu ni nguvu kubwakupindukia inayofanya mambo yote kwa mpangilio.
kwa hiyo wanasayansi wamekubali kama kuna Mungu? Manake wao ndio huwa wa kwanza kulipinga hilo kwa kuamini zaidi sayansi yao ndio kila kitu. Pia mbinguni ni sehemu ya kiroho zaidi sio rahisi kuonekana kwa macho ya mwilini au kwa kutumia vifaa vilivyotengenezwa na mwanadamu, hao ni wazushi tu labda wameona sayari nyingine