Mbinguni/peponi pamegunduliwa

Hapo wamenema
 
Good.hata vile viumbe wa ajabu aliens.walianza hivihivi.wanasayansi msichoke.
 
Mafundisho ya RC Yanasema mbingu/pepo au jehanam ni HALI TU na si mahali
 
Mbinguni is a state of being not a place to go
 
Tunadanganyana wadau ila kwa mambo yanayotekea mungu yupo
 
Je haya matatizo ya duniani yametoka wapi kama ukimwi na magonjwa mengine
Kuna utafiti unaoendelea kuhusu roho....wako kwenye kipengele cha nguvu za uvutana(kama sumaku)...pamoja na ndoto kuona yajayo
 
Kuna watu wana imani ya kukariri mammbo au wanafikiri Mungu naye anafanya mambo kila wakati na wakati wowote kwa namna ile ile kama binadamu.Ikiwa hivyo basi Mungu sio muweza wa yote(Omnipotent). Someni jinsi Mungu alivyowafundisha binadamu hatua kwa hatua na njia tofauti tofauti.Maandiko yanaonyesha jinsi alivyotumia Moto,ngurumo,radi na mambo mengine ya kutisha.Baadaye akatumia Manabii.Baadaye Mwanae Yesu Kristu.Na sasa ni Roho Mtakatifu kupitia wanadamu.Roho Mtakatifu anatumia mapaji saba ikiwemo Elimu.Sayansi ni Elimu.Kwa hiyo Mungu Mwenye Uwezo (Omnipotent) hashindwi kutaka aonekane kwa binadamu kwa kutumia vyombo vya kusayansi kama hivyo walivyotumia haowanasayansi.Je umesahau kuwa Yesu Kristu alipokuja alionekana kwa macho ya kibinadamu?


 
Kuna utafiti unaoendelea kuhusu roho....wako kwenye kipengele cha nguvu za uvutana(kama sumaku)...pamoja na ndoto kuona yajayo

Watu inabidi waelewe kuwa Mungu ni nguvu ambayo haielezeki(Undefined).Mungu ni Infinitive kwa uwezo!Hakuna yeyote mpaka leo anayejua kwa uhakika dunia na sayari zingine zimekuwepo toka lini na hivi njia gani na ngapi Mungu amezitumia katika kujifunua kwa mwanadamu na viumbe wengine katika sayari hizo.Kwa hiyo watu tusifikirie kuwa labda kule Mungu na utukufu wake kuweza kuonekana kwa binadamu kwa njia zao labda ni ishara ya Mungu kuishiwa Uwezo hapana.Mungu anaporuhusu au anapompa Mwanadamu uwezo wa kufanya jambo fulani ni kutaka kuonyesha kuwa yeye ni muweza wa mambo mengi.Kwamba ni kuonyesha Mungu ni tajiri wa uweza na utukufu.Kwa lugha nyingine na rahisi ni kuonyesha kuwa Mungu akikufunulia jambo fulani basi ujue bado yapo makubwa na mengi usiyoyajua bado.
 
I can't get the gist of your comment logically apart from your magic and superstitious beliefs, simply because, there are a lot of questions begging from your comments.
 
Which journal was is it published if it is a research and tell us who did such a research specifically so that we can know the authenticity of such research.
Above all, if take it as true, still there are a lot of anomalies which people can't answer from the belief about the Supreme being.
 
Hehehe huu upuuzi washamba wanaupokea haraka sana kwa kua umeongea kile wanachotaka kusikia.
Hakuna kitu kama hicho, Centurion unaongelea movie? duh! Hatuna chombo kinachoweza kwenda kwa speed ya mwanga hadi leo hii, hata 10% ya speed ya mwanga tu bado hatujakaribia, kisayansi speed ya mwanga hatuwezi kuifikia, zipo sababu maalum hapa si mahala pake wala hutonielewa.
Leo hii kwenda Mars peke yake, sayari ambayo ipo jirani yetu tunatumia miezi sita hadi nane. Huko mbinguni unaposema wewe hicho chombo walikirusha lini? miaka milioni iliyopita au? tulikua hata na chuma enzi hizo?

Watu wenye imani zinazosuasua hua mnanishangaza sana, mnatafuta kila njia ili ujiridhishe moyo wako kua Mungu yupo, hehe! kama unaamini unaamini tu, kama huamini huamini, usikae unameza vitu kama hivi. Narudia tena kwa mara ya mia moja, zaidi ya 50% ya vitu unavyosoma kwenye internet ni vya uongo kua makini sana.
 
Ndivyo mlivyodanganywa au unatumia akili ya kuzaliwa???
 

Hao wanasayansi wasitafute KIKI Mwenyezi Mungu alishafanya yake wao waendelee kusoma tu!
 
Haya sasa. Ni bora ukaamini ya kuwa Mungu yupo ili ukimkuta iwe heri kwako usipomkuta pia iwe heri iliyokusaidia kuishi maisha ya amani na marefu.

Ukiamini Mungu "Yupo" au "Hayupo" hakuna guarantee yeyote kua utaenda peponi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…