LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,508
Hehehe huu upuuzi washamba wanaupokea haraka sana kwa kua umeongea kile wanachotaka kusikia.
Hakuna kitu kama hicho, Centurion unaongelea movie? duh! Hatuna chombo kinachoweza kwenda kwa speed ya mwanga hadi leo hii, hata 10% ya speed ya mwanga tu bado hatujakaribia, kisayansi speed ya mwanga hatuwezi kuifikia, zipo sababu maalum hapa si mahala pake wala hutonielewa.
Leo hii kwenda Mars peke yake, sayari ambayo ipo jirani yetu tunatumia miezi sita hadi nane. Huko mbinguni unaposema wewe hicho chombo walikirusha lini? miaka milioni iliyopita au? tulikua hata na chuma enzi hizo?
Watu wenye imani zinazosuasua hua mnanishangaza sana, mnatafuta kila njia ili ujiridhishe moyo wako kua Mungu yupo, hehe! kama unaamini unaamini tu, kama huamini huamini, usikae unameza vitu kama hivi. Narudia tena kwa mara ya mia moja, zaidi ya 50% ya vitu unavyosoma kwenye internet ni vya uongo kua makini sana.
You have my respects boss!
Ila to add up,duniani tuna uwezo wa ku-accelerate particles to multiples ya speed of light,ila kujenga full fledged shuttle ya speed ya light bado kabisa