Mbinu 6 za kumsahihisha Mkeo pale anapokosea pasipo kuumiza Hisia zake

Mwanaume mwenye akili anachojua ni vitu viwili tu
Hakikisha unampa furaha pili hakikisha unampa huzuni haya yawe sambamba likitoka hili linafuata jingine ni yasichukue muda mrefu Moja

Hutakiwi mwanaume mke akakusoma mpaka akakumaliza hii mwanaume tunza

Akikumaliza umekwisha
 
Umepata bahati Kuoa Mke asiyekunywa pombe achilia mbali Mlevi
Nina bahati Kwa Hilo labda abadilike au kubadilishwa lakini msimamo wàngu upo wazi Kwa mabadiliko yatakayojitokeza
Mimi pia nina hiyo bahati 🙏
Hongera sana
Kwa maisha ya sasa, ukifanya tathmini kati ya Wanawake 3 hadi 5 kati ya 10 utakuta wanakunywa pombe.

NI kwèli tenà Watani zetu wachagga ndîo wanashika Namba
Mwanamke anayekunywa pombe ni rahisi kukengeuka na kukuendesha ndani ya nyumba iwapo utampa hiyo first class service.
😀😀
MTU yeyote mjinga siwezi MPA chance kama hiyo.
WALA hawezi kuwa Mke wàngu. Kwangu NI Bora niwe single(Kataa Ndoa) kuliko kuishi na kichaa au MTU anayeniona kichaa
Kiasili Mwanaume ni Kichwa na Kiongozi wa familia, Mwanamke ameumbwa kupokea maagizo na maelekezo ya wewe Mwanaume.

NI kwèli mkuu
Ukiwa too soft jiandae kumkabidhi Madaraka Mkeo ndani ya nyumba akuongoze

Mwanamke ataongoza ndàni ya Nyumba Kwa Yale yanayomhusu kuongoza

Ndio maana msimamo wàngu upo kwèñye Mwanamke akitaka au akicheat lazima nimpe red card mapema Kwa sababu najua kuwa chanzo cha Wanawake wengi kutawala ndàni waume zào NI pàmoja na hicho

Mbili, ushirikina na ulozi au hata hawa Wanawake WA makanisa ya upako. Mke wàngu akishaanza tàbia hizo ujue ûtawala WA Mwanaume upo shakani.

Tatu, uchumi hasa kukopa.
Mwanamke anayejiamulia kukopa pasipo kuomba ruhusa Kwa Mumewe hiyo Ndoa itapasua Matairi mapema tuu. Kama Mwanaume atakaa kimya NI wazi Mamlaka yake yapo mashakani na kuburuzwa NI hakika
 
Yeah!
Huzuni íwe kidôgo kama pilipii au chachandu kwèñye chakula
 
Hahaha........hii mbinu yako ni ya viwango

Ingekuwa ni Serikali inakupa nyongeza ya mshahara wa elfu 70 halafu inakupa Makato ya Kodi ya shilingi 65,000

Ukicheki take home imeongezeka shilingi 5,000 ya kilo ya Sukari 🙌
 
Bila kusimama kama Kichwa cha familia, unaweza kuburuzwa na Mkeo hadi uchukie Ndoa.

Mwanaume lazima u-behave, uwe responsible na mwenye misimamo.

Otherwise Kwa hali ya 50/50 tuliyoletewa na Wazungu tujiendae kwa majuto zaidi
 
Uko sahihi, mi afrika haya aliyoyasema unahitaji kuya practise kwa akili sana sio straight forward kuepusha kuharibu zaid badala ya kujenga
 
Uko sahihi, mi afrika haya aliyoyasema unahitaji kuya practise kwa akili sana sio straight forward kuepusha kuharibu zaid badala ya kujenga
Sahihi Mkuu, kuishi na Mtu mliyekutana naye Ukubwani sio kazi rahisi

Tunahitaji hekima za Mungu kutuvusha
 
Nimelia hadi kwikwi...... Mbona walevi hatunaga shida na mtu 😔
 
Bila kusimama kama Kichwa cha familia, unaweza kuburuzwa na Mkeo hadi uchukie Ndoa.

Mwanaume lazima u-behave, uwe responsible na mwenye misimamo.

Otherwise Kwa hali ya 50/50 tuliyoletewa na Wazungu tujiendae kwa majuto zaidi

Tenà Kwa Zama hizi Wanawake nao wanakipato mbona Vijana wataburuzwa Sana
 
sawa asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…