Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Pokea simu basi......Niko Tangibovu🏃🏃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pokea simu basi......Niko Tangibovu🏃🏃
Pokea simu basi......
sawa asante
NonsenseNonesense
Tatizo wanawake hawaeleweki
Wanawake tunaokunywa hatuna baya, hatuna midomo tofauti na wasiokunywa ambao ukiagiza bia tatu utamsikia "kazi kunywa tu badala ya kufanya maendeleo"Hahaha..............pole Mjukuu, hebu shushia hiyo wine 🍷 upunguze majonzi 🤗
Ningesoma huu uzi 3 hours ago, labda ninge badili mawazo lakini hapana ..imagine mtu ana cheza mchezo wa vyombo kwenye group la watu asio wajua just because kaona insta .ikifika kiwango cha pesa una chagua kitu cha thamani iyo eg brenda,vyombo etc .
Pesa yangu naitafuta kwa akili nyingi mtu ana enda kuigawa bure kwa matapeli comfortably
Wanawake tunaokunywa hatuna baya, hatuna midomo tofauti na wasiokunywa ambao ukiagiza bia tatu utamsikia "kazi kunywa tu badala ya kufanya maendeleo"
Afu tukinywa tunakuaga watamu 😔
Jeeeeesusssss!!!!!!Wanawake mnaokunywa weñye Akili NI mmoja Kwa elfu moja
Siyo kuwaogopa, yaani saa ingine tunawaona kama vile extra terrestrial au zombie fulani hivi, sijuwi unanipata vizuri?Hivi mnawaogopa sana hao wake zenu eeh ?
Binadamu Kwa ujumla haeleweki
Upo Sahihi kabisaYeah
Simply ni kwamba usilopenda kutendewa usimtendee mwingine
Ni dhambi hata kwa Mungu
Jeeeeesusssss!!!!!!
Sio kila kitu cha kuweka hadharan mengine mwambie chumbaniMimi huwa simuonei mtu muhali nakupa maboko live bila chenga utajua mwenyewe na hisia zako
Nonesense❌Nonesense
wife mi ni muharibu balaa,namuangaliaga tu,MBINU 6 ZA KUMSAHIHISHA MKEO PALE ANAPOKOSEA PASIPO KUUMIZA HISIA ZAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ukiishi na Mwanamke utagundua Wanawake NI viumbe weñye makosa mengi madogo madogo àmbayo Kwa kiasi kikubwa hawayafanyi Kwa kupenda.
Uchunguzi wàngu unaonyesha kuwa makosa mengi yanatokana na kuendeshwa na HISIA. Makosa machache yakitokana na usahaulifu unaochangiwa na tàbia yao ya kuwa na mambo meñgi.
Ukitaka kuishi VIZURI na Mkeo Siku zote za Maisha yako Basi Kamwe usijifananishe naye, usijilinganishe naye.
Mwanamke anaakili kama Mwanaume lakini Akili hiyo haifanyi Kazi kiume.
Mwanamke anahisia kama Mwanaume lakini HISIA hizô hazi-operate kama Mwanaume.
Kama utajilinganisha na Mkeo NI wazi utamkasirikia na kuona kama anakufanyia makusudi kufanya Makosa. Jambo ambalo siô Sahihi.
Nimesema Makosa madogo madogo àmbayo NI mengi hufanywa bila ya waô kuamua.
Ila makosa Makubwa mengi wanafanya Kwa kuamua yàani wanafanya Kwa dhamiri.
Sisi Watibeli tunasamehe Makosa àmbayo hayajafanywa Kwa dhamiri/kukusudia.
Makosa Makubwa kama Usaliti( cheating), Kosa la kwenda Kwa Mganga au uchawi, Kosa la kuchukua Mîkopo pasipo kuomba ruhusa kwako Mumewe hayo ni Makosa Makubwa àmbayo Watibeli hatufikirii mara Mbili na adhabu zake zîpo wazi tangu Siku ya Kwanza.
Makosa hayo hayahitaji kusahihishwa Bali NI kufukuzwa Moja Kwa Moja,
Kosa la Mwanamke kuchukua Mkopo Kwa Siri hii NI Mada ñyiñgine àmbayo Kwa hakika nitakuja na àndiko lake.
Sitaki kuwachosha na maelezo marefu. Zifuatazo NI MBINU Kumi za kumsahihisha Mkeo pale anapokosea pasipo kuumiza hisia zake;
1. Usimkaripie Wala Kumlaumu.
Mwanaume ni ule uwezo wa kuyafanya mambo magumu kuwa yakawaida au rahisi. Hii itaonyesha ukomavu wako.
Watu wanaofokafoka, laumulaumu kisaikokojia wanatatizo la Akili, au Wana emotional damage. Mwanaume hapaswi kuwa Mtu kufokafoka au kulaumu.
Mwanaume ni mtoa suluhisho.
Mkeo ni mwanafunzi kwako, wewe kwàke ni Mwalimu. Njia rahisi na Bora ya kumfundisha mwanafunzi siô kumkaripia au kumlaumu
Mfano, amevunja na kuharibu kitu.
Usimfokee Wala kumlaumu,
Mwambie; Pole, haujaumia, atajibu, kama ameumia onyesha kujali zaidi kuumia kwàke. Mfanyie utaratibu WA tiba.
Kama hajaumia, rekebisha hicho kitu alichoharibu, kama haiwezeniki haidhuru.
Mwambie, asijali kitanunuliwa kingine au kitarekebishwa.
Mwambie, Siku nyingine awe MAKINI hasa na vitu vya umeme kwani siô tuu vinaweza kuharibika Bali vinaweza kumuumiza hata yeye Jambo ambalo NI hatari mwambie, NI Vizuri akiwa anashika vitu aina hiyo akushirikishe.
Elewa, hiyo ni ajali(uzembe) inaweza tokana na kutokujua au Kutokuwa MAKINI.
Hapo mtazidi kujenga mahusiano Yenu. Vitu visiharibu utu wenu(mahusiano Yenu) usivipe Vitu thamani kuliko Mkeo. Hivyo NI vitu tuu.
2. Usimuabishe mbele za Watoto na Watu.
Hili pia ni tatizo la wengi.
Ameshakosea, Makosa yake yasikufanye ukosee.
Amekosea Kupika labda Kwa kuunguza au kuweka chumvi nyingi.
Mwambie, Leo kidôgo umeteleza, chumvi imezidi. Chàkula cha Jana na juzi kilikuwa kitamu na ulifanya Vizuri. Inatosha.
Sio unaanza kupigapiga kelele kama mwehu tenà mbele ya Watoto. Huo siô Ubaba, Wababa hawafanyagi hivyo.
3. Kuwa na desturi ya kumsifia anapofanya vizuri ili isimpe shida Siku ukimkosoa.
Siku zote úkiwa MTU WA kukosoa tuu pasipo kumsifia Kwa Yale mzuri atakuona unagubu, Huna shukrani, mlalamishi.
Na pia ukimsifia tuu pasipo Kumkosoa atakuona kama Chawa wake.
Mkeo akifanya mzuri mpe Sifa na elezea jinsi unavyofurahia uwèpo wake katika Maisha yako.
4. Msaidie kufanya Masahihisho Kwa Upendo
Shiriki naye katika kusahihisha Makosa yake ili ajifunze Kwa vitendo.
Mwanaume ni package lazima uwe na vitu vingi kuliko Mkeo.
Unapomsaidia Mkeo kufanya Masahihisho Kwa pàmoja unamjengea tàbia ya naye kukusaidia pale utakapofanya Makosa. Unapomuacha afanye mwenyewe huku ukimsimanga naye atafanya vivyohivyo Siku utakapokosea.
Elewa, Kwa asilimia 90 Maisha NI kile upandacho.
5. Mfanye mkamilifu kupitia Makosa yake.
Makosa ndîo humfanya MTU kuwa mkamilifu. Bila Makosa MTU hawezi kuwa mkamilifu.
Ingawaje ukamilifu katika Makosa hutegemea na namna Makosa hayo yanavyosahihishwa.
Mwambie asijali, ndîo anajifunza, Siku akijua hawezi kukosea. Atakuwa mkamilifu katika Jambo Hilo.
6. Mfundishe kutofanya Makosa yàani kuwa MAKINI.
Kuwa MAKINI kunahitaji, ujuzi na maarifa, Muda Sahihi, na Akili ilyotulia.
Kufanya vitu Kwa mpangilio Sahihi.
Zingatia, mambo yôte haya ili uyafanye unapaswa uwe umekomaa, úwe na uwezo WA kudhibiti HISIA zako, na uwe na Upendo thabiti.
Elewa, jinsi unavyoshughulikia matatizo madogo madogo ya Mwanamke wako ndîo itaamua hatma nzuri au mbaya ya mahusiano Yenu. Pia Kwa kiasi kikubwa makosa madogo madogo Wanawake wanayoyafanya ndîo hupelekea waô kufanya Makosa Makubwa kama Usaliti, ushirikina na uchawi n.k. kama hutojua namna ya kuyashughulikia.
Elewa, Mwanamke anapendwa kupendwa Hilo ndîo Jambo Namba Moja Kwa Mwanamke yeyote Duniani. Hiyo kupenda Pesa ni kwaajili ya kutaka kupendwa yàani awe Mrembo na azidi kuvutia Upendo Kwa Watu.
Elewa Mwanamke huweza kubadilika na kutokukupenda pale atakapoona hapendwi na kama utamfanya asipendwe(ukishindwa kumhudumia Mkeo hakuna atakayempenda kwani atajichokea na kuwa kama gari bovu).
Mwanamke hata kama haumpendi lakini ukamfanya akapendwa na Watu Wengine anaweza kuvumilia ndàni ya Ndoa.
Note: Usimpende Mwanamke kama Huwezi kumpenda. Utajiumiza.
Acha nipumzike sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
hao ni wauaji mi sitaki kufa😀😀
Ninyi type Yenu NI wale Wanaume vichaa weñye mental disorder
hao ni wauaji mi sitaki kufa
Kila kitu unakijua kakaMBINU 6 ZA KUMSAHIHISHA MKEO PALE ANAPOKOSEA PASIPO KUUMIZA HISIA ZAKE.