Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Aamin 🙏🙏Mungu akupe mwishi mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aamin 🙏🙏Mungu akupe mwishi mwema
🙄Uko wapi......
sasa hili ni kama tangazo,, interview wanahitajika 30 ila tutakuja 300
Shetani lazima aogopwe.Hivi mnawaogopa sana hao wake zenu eeh ?
kama vigezo ni physical hapo nmekosa kwa sifa wanazotaka vijana saivi🙌🏾🙌🏾😆
Kuja siô tatizo
Vigezo ndîo muhimu 😉
Ukisema wewe kipenz inatoshaEtugrul Bey tia neno tafadhal nakuona around
kama vigezo ni physical hapo nmekosa kwa sifa wanazotaka vijana saivi🙌🏾🙌🏾
Aisee mimi nataka mwanamke simple ila awe anapendeza Yaan niweze mvalisha vizuriikama vigezo ni physical hapo nmekosa kwa sifa wanazotaka vijana saivi🙌🏾🙌🏾
Haya shusha verses hapaUkisema wewe kipenz inatosha
Oooh kumbeÚkiwa na Watibeli hata kama Unajiona hauna vigezo vya physical utashangaa unabadilika na kuwa na mvuto wa kipekee AMBAO Wanaume Duniani weñye Akili zào watakutolea macho.
Kûna zaidi ya physically
jitahidi umpate wapo wengi sanaaaAisee mimi nataka mwanamke simple ila awe anapendeza Yaan niweze mvalisha vizurii
JF mkuuUko wapi.....
Wanawake hawana jema wala formula,Yesu mwenyewe aliwajua ndio maana aliwapotezeaMBINU 6 ZA KUMSAHIHISHA MKEO PALE ANAPOKOSEA PASIPO KUUMIZA HISIA ZAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ukiishi na Mwanamke utagundua Wanawake NI viumbe weñye makosa mengi madogo madogo àmbayo Kwa kiasi kikubwa hawayafanyi Kwa kupenda.
Uchunguzi wàngu unaonyesha kuwa makosa mengi yanatokana na kuendeshwa na HISIA. Makosa machache yakitokana na usahaulifu unaochangiwa na tàbia yao ya kuwa na mambo meñgi.
Ukitaka kuishi VIZURI na Mkeo Siku zote za Maisha yako Basi Kamwe usijifananishe naye, usijilinganishe naye.
Mwanamke anaakili kama Mwanaume lakini Akili hiyo haifanyi Kazi kiume.
Mwanamke anahisia kama Mwanaume lakini HISIA hizô hazi-operate kama Mwanaume.
Kama utajilinganisha na Mkeo NI wazi utamkasirikia na kuona kama anakufanyia makusudi kufanya Makosa. Jambo ambalo siô Sahihi.
Nimesema Makosa madogo madogo àmbayo NI mengi hufanywa bila ya waô kuamua.
Ila makosa Makubwa mengi wanafanya Kwa kuamua yàani wanafanya Kwa dhamiri.
Sisi Watibeli tunasamehe Makosa àmbayo hayajafanywa Kwa dhamiri/kukusudia.
Makosa Makubwa kama Usaliti( cheating), Kosa la kwenda Kwa Mganga au uchawi, Kosa la kuchukua Mîkopo pasipo kuomba ruhusa kwako Mumewe hayo ni Makosa Makubwa àmbayo Watibeli hatufikirii mara Mbili na adhabu zake zîpo wazi tangu Siku ya Kwanza.
Makosa hayo hayahitaji kusahihishwa Bali NI kufukuzwa Moja Kwa Moja,
Kosa la Mwanamke kuchukua Mkopo Kwa Siri hii NI Mada ñyiñgine àmbayo Kwa hakika nitakuja na àndiko lake.
Sitaki kuwachosha na maelezo marefu. Zifuatazo NI MBINU Kumi za kumsahihisha Mkeo pale anapokosea pasipo kuumiza hisia zake;
1. Usimkaripie Wala Kumlaumu.
Mwanaume ni ule uwezo wa kuyafanya mambo magumu kuwa yakawaida au rahisi. Hii itaonyesha ukomavu wako.
Watu wanaofokafoka, laumulaumu kisaikokojia wanatatizo la Akili, au Wana emotional damage. Mwanaume hapaswi kuwa Mtu kufokafoka au kulaumu.
Mwanaume ni mtoa suluhisho.
Mkeo ni mwanafunzi kwako, wewe kwàke ni Mwalimu. Njia rahisi na Bora ya kumfundisha mwanafunzi siô kumkaripia au kumlaumu
Mfano, amevunja na kuharibu kitu.
Usimfokee Wala kumlaumu,
Mwambie; Pole, haujaumia, atajibu, kama ameumia onyesha kujali zaidi kuumia kwàke. Mfanyie utaratibu WA tiba.
Kama hajaumia, rekebisha hicho kitu alichoharibu, kama haiwezeniki haidhuru.
Mwambie, asijali kitanunuliwa kingine au kitarekebishwa.
Mwambie, Siku nyingine awe MAKINI hasa na vitu vya umeme kwani siô tuu vinaweza kuharibika Bali vinaweza kumuumiza hata yeye Jambo ambalo NI hatari mwambie, NI Vizuri akiwa anashika vitu aina hiyo akushirikishe.
Elewa, hiyo ni ajali(uzembe) inaweza tokana na kutokujua au Kutokuwa MAKINI.
Hapo mtazidi kujenga mahusiano Yenu. Vitu visiharibu utu wenu(mahusiano Yenu) usivipe Vitu thamani kuliko Mkeo. Hivyo NI vitu tuu.
2. Usimuabishe mbele za Watoto na Watu.
Hili pia ni tatizo la wengi.
Ameshakosea, Makosa yake yasikufanye ukosee.
Amekosea Kupika labda Kwa kuunguza au kuweka chumvi nyingi.
Mwambie, Leo kidôgo umeteleza, chumvi imezidi. Chàkula cha Jana na juzi kilikuwa kitamu na ulifanya Vizuri. Inatosha.
Sio unaanza kupigapiga kelele kama mwehu tenà mbele ya Watoto. Huo siô Ubaba, Wababa hawafanyagi hivyo.
3. Kuwa na desturi ya kumsifia anapofanya vizuri ili isimpe shida Siku ukimkosoa.
Siku zote úkiwa MTU WA kukosoa tuu pasipo kumsifia Kwa Yale mzuri atakuona unagubu, Huna shukrani, mlalamishi.
Na pia ukimsifia tuu pasipo Kumkosoa atakuona kama Chawa wake.
Mkeo akifanya mzuri mpe Sifa na elezea jinsi unavyofurahia uwèpo wake katika Maisha yako.
4. Msaidie kufanya Masahihisho Kwa Upendo
Shiriki naye katika kusahihisha Makosa yake ili ajifunze Kwa vitendo.
Mwanaume ni package lazima uwe na vitu vingi kuliko Mkeo.
Unapomsaidia Mkeo kufanya Masahihisho Kwa pàmoja unamjengea tàbia ya naye kukusaidia pale utakapofanya Makosa. Unapomuacha afanye mwenyewe huku ukimsimanga naye atafanya vivyohivyo Siku utakapokosea.
Elewa, Kwa asilimia 90 Maisha NI kile upandacho.
5. Mfanye mkamilifu kupitia Makosa yake.
Makosa ndîo humfanya MTU kuwa mkamilifu. Bila Makosa MTU hawezi kuwa mkamilifu.
Ingawaje ukamilifu katika Makosa hutegemea na namna Makosa hayo yanavyosahihishwa.
Mwambie asijali, ndîo anajifunza, Siku akijua hawezi kukosea. Atakuwa mkamilifu katika Jambo Hilo.
6. Mfundishe kutofanya Makosa yàani kuwa MAKINI.
Kuwa MAKINI kunahitaji, ujuzi na maarifa, Muda Sahihi, na Akili ilyotulia.
Kufanya vitu Kwa mpangilio Sahihi.
Zingatia, mambo yôte haya ili uyafanye unapaswa uwe umekomaa, úwe na uwezo WA kudhibiti HISIA zako, na uwe na Upendo thabiti.
Elewa, jinsi unavyoshughulikia matatizo madogo madogo ya Mwanamke wako ndîo itaamua hatma nzuri au mbaya ya mahusiano Yenu. Pia Kwa kiasi kikubwa makosa madogo madogo Wanawake wanayoyafanya ndîo hupelekea waô kufanya Makosa Makubwa kama Usaliti, ushirikina na uchawi n.k. kama hutojua namna ya kuyashughulikia.
Elewa, Mwanamke anapendwa kupendwa Hilo ndîo Jambo Namba Moja Kwa Mwanamke yeyote Duniani. Hiyo kupenda Pesa ni kwaajili ya kutaka kupendwa yàani awe Mrembo na azidi kuvutia Upendo Kwa Watu.
Elewa Mwanamke huweza kubadilika na kutokukupenda pale atakapoona hapendwi na kama utamfanya asipendwe(ukishindwa kumhudumia Mkeo hakuna atakayempenda kwani atajichokea na kuwa kama gari bovu).
Mwanamke hata kama haumpendi lakini ukamfanya akapendwa na Watu Wengine anaweza kuvumilia ndàni ya Ndoa.
Note: Usimpende Mwanamke kama Huwezi kumpenda. Utajiumiza.
Acha nipumzike sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Nikikuona wewe tu nasikia burudani kabisa yan,,,hata kuchangia mada nashindwaHaya shusha verses hapa
Pokea simuJF mkuu
Tulia nipo kazini.. tukutane mitaa ile ilePokea simu
Wanawake ukiwapotezea ndîo wanakuwa wanakufuata fuata ukiwaendekeza na kuwatilia maanani wanakukimbiaYes
Wanawake hawana jema wala formula,Yesu mwenyewe aliwajua ndio maana aliwapotezea
huu uongo kweupe hivi jamanNikikuona wewe tu nasikia burudani kabisa yan,,,hata kuchangia mada nashindwa
We mwenyewe shahidi ,,sijachangia chochote zaidi ya kupiga story na wewe tu kpnzhuu uongo kweupe hivi jaman
🤼♀️🤼♀️🤼♀️We mwenyewe shahidi ,,sijachangia chochote zaidi ya kupiga story na wewe tu kpnz