Mbinu 6 za kumsahihisha Mkeo pale anapokosea pasipo kuumiza Hisia zake

aliyekuwa wakwangu yeye ukifanya kitu ambacho hakijampendeza kwanza atakununia kwa muda utakaopenda yeye yani hapo hata hajakuambia kosa lako utaona tu hakutafuti na ukimtafuta wewe hatopokea simu wala kujibu sms,na mbaya zaidi nae ataenda kulipiza afanye kama wewe ulivyofanya,,,ptuuuu kwa mwanaume nayejitambua hawezi kufanya vitu vyakupumbavu hivyo
 

Hamna kitu hapo
 
That's too theoretical, can't work with our African ladies.

Hujawahi kusikia Wanawake hawapendi Wanaume laini (Soft hearted Men).

"Mwanaume wangu nimemkamata kweli kweli, hafurukuti hata Kwa dawa"

Oa uone mambo yalivyo magumu Kwa ground 🙌
Ukiwa hivyo asemavyo Robert Heriel Mtibeli hakyanani mkeo hamalizi mwezi anaanza dharau za waziwazi akiamini huwezi kumuacha, amekuweka kiganjani.

Nadhani njia sahihi ni kuishi nae kulingana na vile wewe unaiona akiki yake, na yeye ataenenda hivyo nawe.
 


Mnawaabudu sana hawa wapuuzi
 


He is shallow
 
Ni kweli Mkuu

Huyu Mjumbe nina wasiwasi naye kama kweli ameoa, Tena Wanawake hawa Hawa waliomwambia Ayubu akufuru ili akafie mbele huko amwache na familia yake 😜🙌
 
Hakuna formula ya kuishi na mwanamke utajisumbua bure mwisho uonekane fala.

Mwanaume unatakiwa uwe mkali na msimamo usioyumba usimchekee mwanamke atakupanga kichwani.

Haya mapenzi mnayoangalia kwenye tamthilia yanawadanganya ila kwa ground things ni tofauti sana.
 
Ni kweli Mkuu

Huyu Mjumbe nina wasiwasi naye kama kweli ameoa, Tena Wanawake hawa Hawa waliomwambia Ayubu akufuru ili akafie mbele huko amwache na familia yake 😜🙌
Kabisa mkuu, wewe ukimjari na kifanya atakavyo jamaa, yeye hatadhani ni upendo ila ataona wewe ni zoba na amekufungia ndani ya chupa, hufurukuti juu yake.
 
Kabisa mkuu, wewe ukimjari na kifanya atakavyo jamaa, yeye hatadhani ni upendo ila ataona wewe ni zoba na amekufungia ndani ya chupa, hufurukuti juu yake.
Ni hatari Mkuu

Ndiyo maana tumeelekezwa kuishi nao Kwa akili 🙌
 
Hongera mtibeli kwa mada nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…