OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Mwanzo na kati kati mwa msimu Gamond alionekana hana mbinu,
Timu ndogo zikipaki bus alikuwa hana mbinu.
Sasa hivi anambinu nyingi sana,
Nilianza kuziona kuanzia ile gemu ya CR BELOUZDAD na ile ya Mamelod sundowns.
Akikutana na timu ngumu akafanya sub moja au mbili mpira hubadirika ghafla,
Anatumia sana viungo wakabaji, viungo washambuliaji na mabeki kufanikisha ushindi
Hii imeperekea mawinga kusugua benchi mwanzo mwisho mfano skudu, okrah na Shekhan.
Badala yake anamtumia musonda, mzize, yao, kibabage, pacome n.k kama winga na kiungo mshambuliaji
Hii mbinu nimeiona juzi kwenye fainali ya CAF CL kati ya Al ahly na Esperance,
Percy tau alikuwa anacheza namba 9,7 na 6 yaani anacheza kama mshambuliaji feki, winga na kiungo mkabaji huku namba tisa ikichezwa na mtu mwingine,
Ktk hiyo mechi walijazwa mabeki, viungo wakabaji wenye sifa za ushambuliaji, huku winga akiwa mmoja tu na mshambuliaji mmoja
Percy Tau kafanyiwa sub, akaingia Aliou Dieng ambaye ni kiungo mkabaji hii ni baada ya mpira kufika dakika ya 70
Esperance walikuwa hawakatizi yaani walikuwa kama mtibwa sugar, tena afadhari ya mtibwa
Hizi mbinu ndio hizi hizi anazotumia Gamond hivi karibuni
Awape credit Al ahly aache ubinafsi