Mbinu anazotumia Gamond Yanga ameiga kutoka Al ahly

Tunawataka msimu ujao wa champs. league
 
Mbona nyie Kolo mlishindwa kuziba hizo open space ili msife zile Tano na mbili za awamu ya pili?
Mkuu mechi zote za simba bahasha imetembea kwa baadhi ya wachezaji kuna mmoja kafungua duka kubwa la nguo pale mbagala.
 
Mkuu mechi zote za simba bahasha imetembea kwa baadhi ya wachezaji kuna mmoja kafungua duka kubwa la nguo pale mbagala.
Kwahiyo na ya afande mbangula ilikua bahasha sio hivi mjomba unaakili kweli simba hii ipewe bahasha Kwa wachezaji Gani waliokua nao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa kati ya gamondi alieanza kutumia izo mbinu kwenye mechi dhidi ya beoulzdad na al ahly alietumia izo mbinu siku ya fainali ni nani kamgeza mwenzake? Leo hii ukiimba wimbo wako halafu siku zijazo mimi nikaimba kama ulivyoimba wewe ni nani atakua amemgeza mwenzake hapo?
 
Swali fikirishi je unaweza kutwambia hizo mbinu zingine alizitoa wapo hadi wengine wanapigwa magoli hadi..............
 
Tatizo lako umevamia jukwaa baki huko huko kwenye jukwaa la kukata viuno na kuwaza makalio ya mobeto

Si unaona akili yako ilivyojaa ujinga unawaza makalio tu hujui kuwa Yanga walienda kupigwa msasa Al ahly
Lakini sio msasa wa kimbinu. Hapa unatudanganya mkuu.
 
Nenda kajifunze na usirudie tena. Kama vipi uje nikufundishe mpira kwa theory tu
Inaonekana hata maana ya halafu space hujui
Unatakiwa unilipe ili nikufundishe nini maana ya half spaces
Nyuma kule kuna wide areas kuna central channel halafu kuna half spaces sasa kabla sijaanza kukupa darsa na mfumo anaotumia gamond nenda kasome maana ya half spaces kwanza halafu nije nikufundishe interior corridor ambazo anatumia Guardiola na gamond kuwaadhibu watu ndio maana nimesema hakuna videos analyst Tanzania ww utaniumiza kichwa tu maana wengine wanatafuta sehemu ya kutolea stress kama ww.
 
We dogo nilishakwambia majina yote ya watu, miji n.k huwa yanaanza na herufi kubwa lakini bado hujifunzi. Kuandika shida, hiyo football utajua chochote kweli?
 
Kwahiyo na Madrid alitumia open space hizo hizo kuwafunga Man City. Naye Don Carlos hana mbinu
 
Kwahiyo na Madrid alitumia open space hizo hizo kuwafunga Man City. Naye Don Carlos hana mbinu
Hujaelewa soma tena utaelwa half spaces ni kwa team zinazocheza attacking football kama Barcelona arsenal na Manchester city Madrid yeye mfumo wake wa ushambuliaji ni counter attack nilichosema ni kwamba Madrid walivyocheza n Manchester city toni kroos ilikuwa kazi yake kuongeza idadi ya walinzi iwapo mlinzi mmoja wa pembeni atatoka kwenye nafasi yake kwenda kukaba videos zipo YouTube kaangalie hata highlights tu utanielewa maana hapa tutachoshana bure.
 
We dogo nilishakwambia majina yote ya watu, miji n.k huwa yanaanza na herufi kubwa lakini bado hujifunzi. Kuandika shida, hiyo football utajua chochote kweli?
Mimi nimesoma science mkuu sijui kanuni za uandishi sina mda huo ngoja waje HKL na HGL wenzako mshindane kuandika essay ila ujumbe umefika hilo ndio muhimu shida huna unachokijua unajua kucheza mpira kwa kiwango kikubwa ndio kuwa kocha bora au kuujua mpira mwenzako Rooney na Henry walipewa team wakazishusha daraja kwa hyo wale wanajua mpira au hawajui yaani wewe huna facts unabwabwaja tu nenda kwanza kajifunze areas of the pitch na corridor zake halafu urudi hapa.
 
Mdogo wangu mimi ninauishi mpira. Siufatilii Youtube nimecheza mpaka level ya mkoa miaka hiyo. Mpira sio tu corridor au areas ulizokariri na kuringisha hapa ukidhani ni kitu kikubwa. Comment yako ya kwanza ilitosha kuonesha umevamia football.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…