Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Vilabu vya kiarabu hasa North Africa vimekuwa vya hovyo sana,naweza kusema wenye mpira mzuri ni Al Ahly tu, kupaki basi sio tatizo ni mbinu ya kujilinda hasa unapozidiwa,lakini kupoteza mda kuanzia kipindi cha kwanza ni ujinga, waarabu wanapenda kujiangusha angusha hata kama hawajaguswa,wanapozidiwa lazima waanze vurugu mchezo uharibike.
Ile timu ya Sfaxien kati ya dk 90 wamepoteza karibia dk 20 kujiangusha na janja janja tu. Unaona kabisa timu zote hamchezi mpira maana huyu akianguka akasimama wengine wanajiangusha,mara mpira wa kutenga unapigwa mbali ili mradi mda uishe.
Ni njia ipi inafaa kutumia unapokutana na vilabu kama hivi ili ushinde?