Mbinu kubwa ya Bank kupata faida kubwa kuliko mtu binafsi

Mbinu kubwa ya Bank kupata faida kubwa kuliko mtu binafsi

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Wakati mwingine tumekuwa tukijiuliza kwanini bank inapata faida kubwa kuliko sisi?
Je ni mbinu gani bank wanazotumia kupata faida kubwa?
Uhalisia ni kwamba hakuna mbinu kubwa, mafanikio yao yanatokana na wao kuthamini shilingi pamoja na kuwa makini katika mahesabu.

Tizama tofauti ya mahesabu kati ya bank na mtu binafsi:
Mahesabu ya Bank: 1,110,000.56
Mahesabu ya Mtu binafsi: 1,110,000

Ina maana kwamba bank wakikupa mkopo wa 1,110,000.56 lazima fedha yote irejeshwe pamoja na cent 56 huku sisi tukipuuza cent 56 bila kufahamu cent hizo zina mchango mkubwa pale zinapokusanywa.

Hii ina maana sawa na mtu anayekwenda dukani kununua bidhaa na kumwachia mwenye duka chenji ndogo akidhani hazina faida kwake

images (12).jpeg
 
Wakati mwingine tumekuwa tukijiuliza kwanini bank inapata faida kuliko sisi?
Je ni mbinu gani bank wanazotumia kupata faida kubwa?
Hakuna siri kubwa zaidi ya mahesabu.
Tizama tofauti ya mahesabu kati ya bank na mtu binafsi:
Mahesabu ya Bank: 1,110,000.567
Mahesabu ya Mtu binafsi: 1,110,000

View attachment 2040021
Faida hapo iko wapi?
 
Back
Top Bottom