Kwa router za MiFi unafanyajeHabari Wadau.
Naona watu wengi wanalalamika bando zinaisha haraka.
Nawashauri wafunge unlimited internet nyumbani.
Ni cheap sana kulinganisha na kununua bando.
Nyumbani mfano mnaishi watu watano wenye smart phone.
Internet unlimited ya elfu 70 kwa mwezi inawatosha kila mtu kuenjoy kwenye smart phone yake.
Kama mna tv. Mnaacha kulipia kingamuzi.. internet hiyo hiyo inatosha kutazama content za kwenye tv
Binafsi nilishaacha kulipia kingamuzi almost mwaka sasa. Na sijawai kukosa kutazama nachokitaka
Sababu ninatumia unlimited internet.
View attachment 2826359
Kama waziri wa internet mwenyewe hajui tofauti ya internet na mtandao unategemea nini?Hii inchi ya hovyo sana wenzetu kenya wanatumia unlimited internet kwa mwezi sh 2000 tu..
Na imepanda juzi baada ya Ruto kuingia madaraka.
Watu wengi wamefunga WiFi majumbani kwao.
Hatari snKama waziri wa internet mwenyewe hajui tofauti ya internet na mtandao unategemea nini?
Kwa router za MiFi unafanyaje
she tafadhali manake ilikuwa hivyo mwaka uliopita 20000 unapata 22GB lakini ikabadilika hadi kufikia 9.5GB. Unatumia code gani kujiunga?we unatumia airtel gani sie wengne tulilipa 20000 tunapata gb 22 sme
MImi nina universal D-Link nataka niwe ninabadili line kulingana mahali nilipoMi ninatumia ya mifi ya airtel 5g hiyo unayoiona pichani.
Ndio nalipia 115,000 kwa mwezi kama hii
Wala haisumbui mkuu japo huwa inapungua lakinii sio sana20 mbps halafu umeunga na watu , hawakusumbui kwenye speed?
59 k ni nafuu sana
Safi sanaWala haisumbui mkuu japo huwa inapungua lakinii sio sanaView attachment 2826961
Post paid unatakiwa uwe unalipa mwenyeweMe nimemuungia wife tigo postpaid ni rahis kdg 35GB kwa tsh 30,000 uzuri yule dada alieniungia hana hiyana tunamlipa kila tarehe 20 so inakua unatumia mwezi mmoja na siku 20 ndo unalipa na kila ikifila tarehe 1 automatically unapokea 35GB zako.
Ndio nazungumzia mwanz wakat wa usajil maana sisi tumeungiwa kwa pmj kama watu wa 4 iviPost paid unatakiwa uwe unalipa mwenyewe
Hapana ipo vzr sana sisi tumechanga eneo la kazi 70k kwa mwezi ina speed
Shee hii unanunua hicho kifaa tu unaanza kulipia au kuna vitu wanakuja kukuungia?Nimeunga fiber unlimited kwa mwezi ni 59000 na kasi yake ni 20mbps sijajutiaa kwa kwelii.nimeunga majirani zangu kumi...so inajiendesha yenyewe na faida juu..nishasahau vingamuzi na maumivu ya bundle.company inaitwa netsolutionView attachment 2826925
Ni kweli unlimited ????? Au ikifika GB inaanza kuwa vere slow???Bei reasonable ila shida ukitoka nyumban au eneo la kazi huwezi kuacess internet.
nilimuwekea demuwangu akawa analeta majirani wote wamtaa kwangu nikaacha kulipia.