Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Si mnakuwa mnatembelea sehemu moja!!!?
Fiber ni wire kama zile za ttcl mkuu...wanakuletea na device yao wenyewe.Shee hii unanunua hicho kifaa tu unaanza kulipia au kuna vitu wanakuja kukuungia?
Too bad! Familia zinazidi vunjika!Afu mkirudi hom wote mtakuwa bize na simu (si mnakiu?)
Mkuu tumia router tu kuna zile portable unatembea nayoNa vipi ukiwa mbali na nyumbani ? Ukitoa masaa ya kusinzia unatumia masaa mangapi katika masaa 24 ukiwa nyumbani ? Sisemi hii ni mbaya lakini sio alternative ya matumizi mengine..., unless ingekuwa mobile
Hii inchi ya hovyo sana wenzetu kenya wanatumia unlimited internet kwa mwezi sh 2000 tu..
Na imepanda juzi baada ya Ruto kuingia madaraka.
Watu wengi wamefunga WiFi majumbani kwao.
Kenyan shilling mkuu..Hii ni kwa pesa ya Kenya au Tz? Kama ni kwa pesa ya Kenya hapo ni equivalent na Tzs 40,000+
Kwa sasa ni 36000 tz shilings niHii ni kwa pesa ya Kenya au Tz? Kama ni kwa pesa ya Kenya hapo ni equivalent na Tzs 40,000+
Kwa sasa ni 36000 tz shilings ni
2000 k shilings.
Too bad! Familia zinazidi vunjika!
Imagine kila mtu nyumbani yuko busy na simu. Mnazungumza muda gani? Mnashare furaha na changamoto zenu muda gani? Ile family bond mnaitengeneza vipi?
Man is busy innovating ways that destroys humanity!
Hakuna mtu wa kukubania speed, mi natumia mpka 700gb kwa mwezi!Hii unlimited hawakubani speed so inakiwa too slow?
Hujawaza kama watu wanaweza ingiza pesa huko mtandaoni!kufunga unlimeted data subscription nyumbani ni njia bora zaidi ya kujenga isolation na kutengeneza makazi ya misukule kila mmoja na ulimwengu wake.
hapo mnaweza kukuta week inakatika mzungumzi ikumbukwe verbal interaction ni msingi wa kujenga familia bora yenye umoja na mshikadano.
sasa data unlimited kila mtu na smartphoni huyu anakula huku yuko na smartphone yule chumbani kajifungia anaperuzi sites za ngono ajilipue, yule yuko chooni anakuny.a huku yuko na simu kila mtu anakua busy na simu.
Mtoto akipatwa na jambo chakwanza ni kupost status mzazi anakuja kuona "hee kumbe umepatwa na tatizo" mtoto yuko karibu na simu kuliko wazazi, mke anaburudishwa na wanaume mitandaoni mume anasaka utelezi mda wote mtandaoni hakuna mwenye muda na mwenzake data si unlimited bwana.
Mawazo negative kabisa.Ni kweli kwa upande mwingine kila mtu akirudu anataka kufidia muda ambao hakuwa online mchana. Mwisho wa siku kila mmoja anakuwa busy na simu tu hakuna maongezi
Hiyo bado ni expensive.Ukilipa 20,000/- unapata 9.5GB kwa mwezi Airtel kwa matumizi ya kawaida ni nzuri pia unakuwa na mobility tofauti na hiyo unlimited ambayo ni fixed hapo nyumbani.
Ndio maana fedha Yao ina nguvu kuliko yetuHadi 1500 per month Kenya wapo mbali sana
Ila petrol na Diesel wa nakuja kununua Tz maana kwao ni ghali.Hadi 1500 per month Kenya wapo mbali sana
Thanks najiunga vipi na vifurushi vya SME?
Mimi nakaa nyumbani masaa yasiyozidi 9,kwangu itakuwa ni hasara zaidi.Habari Wadau.
Naona watu wengi wanalalamika bando zinaisha haraka.
Nawashauri wafunge unlimited internet nyumbani.
Ni cheap sana kulinganisha na kununua bando.
Nyumbani mfano mnaishi watu watano wenye smart phone.
Internet unlimited ya elfu 70 kwa mwezi inawatosha kila mtu kuenjoy kwenye smart phone yake.
Kama mna tv. Mnaacha kulipia kingamuzi.. internet hiyo hiyo inatosha kutazama content za kwenye tv
Binafsi nilishaacha kulipia kingamuzi almost mwaka sasa. Na sijawai kukosa kutazama nachokitaka
Sababu ninatumia unlimited internet.
View attachment 2826359
tumia Voda wanakupa karuta kadogo unaweka mfukoni unatembea nakoBei reasonable ila shida ukitoka nyumban au eneo la kazi huwezi kuacess internet.
Kampuni gani mkuu maana nina mwaka wa 2 nliomba fiber to home ya ttcl sijafungiwa hadi leo