Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

Afu mkirudi hom wote mtakuwa bize na simu (si mnakiu?)
Too bad! Familia zinazidi vunjika!

Imagine kila mtu nyumbani yuko busy na simu. Mnazungumza muda gani? Mnashare furaha na changamoto zenu muda gani? Ile family bond mnaitengeneza vipi?

Man is busy innovating ways that destroys humanity!
 
Na vipi ukiwa mbali na nyumbani ? Ukitoa masaa ya kusinzia unatumia masaa mangapi katika masaa 24 ukiwa nyumbani ? Sisemi hii ni mbaya lakini sio alternative ya matumizi mengine..., unless ingekuwa mobile
Mkuu tumia router tu kuna zile portable unatembea nayo
 
Too bad! Familia zinazidi vunjika!

Imagine kila mtu nyumbani yuko busy na simu. Mnazungumza muda gani? Mnashare furaha na changamoto zenu muda gani? Ile family bond mnaitengeneza vipi?

Man is busy innovating ways that destroys humanity!

Ni kweli kwa upande mwingine kila mtu akirudu anataka kufidia muda ambao hakuwa online mchana. Mwisho wa siku kila mmoja anakuwa busy na simu tu hakuna maongezi
 
kufunga unlimeted data subscription nyumbani ni njia bora zaidi ya kujenga isolation na kutengeneza makazi ya misukule kila mmoja na ulimwengu wake.

hapo mnaweza kukuta week inakatika mzungumzi ikumbukwe verbal interaction ni msingi wa kujenga familia bora yenye umoja na mshikadano.

sasa data unlimited kila mtu na smartphoni huyu anakula huku yuko na smartphone yule chumbani kajifungia anaperuzi sites za ngono ajilipue, yule yuko chooni anakuny.a huku yuko na simu kila mtu anakua busy na simu.

Mtoto akipatwa na jambo chakwanza ni kupost status mzazi anakuja kuona "hee kumbe umepatwa na tatizo" mtoto yuko karibu na simu kuliko wazazi, mke anaburudishwa na wanaume mitandaoni mume anasaka utelezi mda wote mtandaoni hakuna mwenye muda na mwenzake data si unlimited bwana.
Hujawaza kama watu wanaweza ingiza pesa huko mtandaoni!
Sema mtu mweusi yeye anajua internet ni ngono
Alafu kimuhemuhe cha kukomesha hiyo unlimted huwa hakizidi hata mwezi mmoja, baada ya hapo inakuwa kawaida tu! [emoji3]
 
Ni kweli kwa upande mwingine kila mtu akirudu anataka kufidia muda ambao hakuwa online mchana. Mwisho wa siku kila mmoja anakuwa busy na simu tu hakuna maongezi
Mawazo negative kabisa.

Hivi kwako una control vipi matumizi ya tv?
Hivi muda wote family ipo kwenye tv?

Jambo lolote likiwa geni litawangaisha sn watu,,

Wakishalizoea wataona kawaida na maisha yataendelea kama zamani.
 
Ving'amuzi kama DSTV tunawezaje kuaccess kwa kutumia internet? Badala ya kulipia kifurushi?
 
Ukilipa 20,000/- unapata 9.5GB kwa mwezi Airtel kwa matumizi ya kawaida ni nzuri pia unakuwa na mobility tofauti na hiyo unlimited ambayo ni fixed hapo nyumbani.
Hiyo bado ni expensive.

Vifurushi vya SME ni nafuu zaidi...20k unapata 22GB.
Screenshot_20231128_051910_Messages.jpg
 
Habari Wadau.

Naona watu wengi wanalalamika bando zinaisha haraka.

Nawashauri wafunge unlimited internet nyumbani.

Ni cheap sana kulinganisha na kununua bando.

Nyumbani mfano mnaishi watu watano wenye smart phone.

Internet unlimited ya elfu 70 kwa mwezi inawatosha kila mtu kuenjoy kwenye smart phone yake.

Kama mna tv. Mnaacha kulipia kingamuzi.. internet hiyo hiyo inatosha kutazama content za kwenye tv


Binafsi nilishaacha kulipia kingamuzi almost mwaka sasa. Na sijawai kukosa kutazama nachokitaka

Sababu ninatumia unlimited internet.

View attachment 2826359
Mimi nakaa nyumbani masaa yasiyozidi 9,kwangu itakuwa ni hasara zaidi.
 
Back
Top Bottom