Mbinu waliyoitumia Wamasai Kuandamana ili Kudai haki yao ni Effective kwa Hakika

Wataishi vipi binaadam na wanyama halafu yafanywe maendeleo ya binadam mbugani?
Sasa Waarabu wanaenda kusihi huko kwanini?
Hawataki shule!
Uwongo. Hatahivyo elimu ya Wamaasai ni bora kuliko elimu nyingine yeyote ile.
Hawataki hospitali?
Miaka yote hiyo waliyoishi huko mbugani walikuwa na hospitali? Hawa Wamaasai ni waganga wazuri tu. Wanaijua miti shamba na tiba inayotumiwa mahospitalini kuliko hao Waarabu na Wazungu
Hawataki kilimo?
Kwabi huko nyuma waliishi vipi?
Hawataki kuongezeka?
Nani anasema hawaongezeki? As a matter of fact, kila wakati linapotokea suala la kuhamishwa watu kwa nguvu kutoka maeneo yao ya Asili-their populations dwindle
Hawataki maduka?
Maduka ndio nini?
Hawataki viwanja vya michezo?
How ironic. Wakati waarabu na wazungu wanatumia maeneo waliofukuzwa Wamasai kufanya michezo ya kushindana nani anaua mnyama mkubwa zaidi. Viwanja vya michezo🙌🏾
Wamejazwa ujinga hao?
Na nani?
Ngorongoro ni urithi wa dunia, inatakiwa ibaki na wanyama tu.
Basi sitisheni utalii. Kwani DP World inaenda kuwaletea Dola na kuziba pengo hilo. Itoshe mahoteli yote yabomolewe.
Wamasai waingie, wsfanye matambikoyao na kutoka.

Wasituletee ujinga.
Huu ninupotoshaji wa hali ya juu
 
Wako kabla ya uhuru huko mbugani acha ujinga wewe!
 
Uliwahi kuwasikia wakililia huduma hizo?? Kwa nini mntataka kuwapelekea matatizo yasiyo wahusu?
 
Kwani dunia yenyewe inasemaje? Uwe mkweli lakini!
 
Naunga mkono hoja ...Ngorongoro ilikuwa inafutika...walianza kujenga nyumba za kisasa katikati ya mbuga...mpaka guest house zilijengwa katikati ya mbuga ..

Kwa Hilo la kuwaondoa Wamasai napongeza Serikali
 
Naunga mkono waondolewe wapelekwe sehemu bora zaidi.
Mwngine ni siasa tu
Aisee Hapa hata Mimi Nipo na Serikali .....Wamasai walianza kuharibu Ngorongoro. yote ....nyumba za bati walianza kujenga katikati ya mbuga.........mbaya zaidi walianza kuuza ardhi ya Ngorongoro kwa wakenya wanaojifanya wamasai
 

Wengi mnaoongea hapa JF hamjui kinachoendelea huko mbugani.
Mwaka 2020 nilifanikiwa kutembelea mbuga hiyo, hali ilikuwa mbaya sana. Kulikuwa na ongezeko kubwa sana la shughuli za binadamu, mifugo ilikuwa mingi kupindukia. Ukija ujenzi wa nyumba ndiyo usiseme. Kuna majengo kama Manzese. Kuna kijiji kimoja mpaka sasa nakikumbuka (kwa sababu ya jina lake 😛) kinaitwa Kimba. Kina makazi kama Buguruni kwa Mnyamani, yaani hali ni mbaya. Niseme tu hili linalofanywa na serikali ni zuri. Tuunge mkono maana mbuga inaweza kufa ikiwa hakuna jitihada zozote za kuinusuru zinafanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…