Mbinu wanazotumia wapinzani kukwepa mtego wa kukutwa na vidhibiti wanapopekuliwa na polisi majumbani mwao

Polisi ana bunduki, bomu, kisu, rungu na mafunzo. Anaenda akiwa full amejikoki kuonana na raia anayetoa maoni yake kwa mujibu wa ibara ya 18 ya Katiba ili amkamate.


Ukiwapigia polisi kuwa kuna wahalifu wanavunja mahala wanakujibu hawana gari ama hawana mafuta... lakini kwa marehemu Kibao et all wanawafukuzia na magari manne manne na mitutu kibao.....


Nchi imeoza.
Raia wamesomewa albadir na serikali yao
 
Nchi ya ovyo
 
Kwamba mwanachama wa upinzani tena chama kilichosajiliwa wanakuwa na vitu Gani vya Siri na hatarish kwa taifa hili?

Kuna narratives mnazipambania but not health for the country.....
It's about time and truth shall prevail.....
📌
 
Kumbe mnajua wapinzani hawawezi kuificha kitu serikali, hii hofu ni ya nini?

Huwa nawaambia humu kila siku wapinzani wamefungwa radar kweli kweli na kila kitu chao kinachunguzwa na kufanyiwa monitoring, gafla mkisahau hilo mnaibuka na kuanza kuwasingizia majambo.

Kwa jinsi ambavyo hawatakiwi hawa watu siku wakipatikana na hatia itakuwa “sherehe” very unfortunate huwa wanafanya siasa zao tu hawana baya, mtawasingizia kila kitu lakini….. kosa lao ni moja tu, “kuwa wapinzani “

Wahalifu wote wanajulikana walipo/walipojibanza na hatuko tayari kwa huu mjadala kama taifa.
 
Wamesingizia nini? Kwani anatuhumiwa kwa kosa gani zaidi ya kusambaza taarifa za uongo? Kitendo cha kumkamata tayari walishajiridhisha tayari kuna kosa kafanya
 
Nisaidie haya maswali mkuu:
1. Polisi wakija kukukagua je ni sawa uanze kuwakagua kwanza wao au utawaruhusu tu waanze kukagua?! Je wakirudi nje wakasema wamekuta misokoto ya bangi?

2. Je polisi ana uwezo wa kukagua nuda wowote makazi ya mtu au mpaka kuwe na warranty kutoka mahakamani?! OCS akiamka tu asubuhi akitaka makazi ya Bwana Masanja yakaguliwe je ni sahihi au lazma kuwa na dhana ya kosa?
 
1.No
2.No
 
sisiemu ni wajinga sana wanahaingaika tu wakati vyama vyote vya upinzani viko kihalali
 
Wanakamatwa kila siku ila nahakama huwa inawakuta hawana hatia,polisi nivilaza failure,stupid ,bogus
Polisi wakiona kuna viashiria ya uvunjifu wa amani kazi yao ni kukamata kuhusu mahakama kuwaachia hilo siyo jukumu lao wao wameshatimiza wajibu wao wa kukamata, na wanatakiwa wakamate wahalifu kweli kweli na kuwafikisha mahakamani haki ikaamuliwe huko
 
Usalama kazi yao nini, kusema uongo kama wewe unavyotaka
 
Ile Kesi ya Ugaidi ya mbowe iliwavua nguo polisi,kibatara alituonyesha jinsi polisi wetu walivyo zero brain ,empty set,vilazq na viazi,maswali madogo tu wakawawabatoka jasho
 

..hiyo ni kwa wapinzani tu, au hata watu wa chama tawala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…