Mbinu ya kufanya wali wako unukie zaidi

Mbona km maelezo hayajitoshelezi.."km umeshakaanga".... mbona km kulitakiwa kitangulie kitu kabla ya haya maelezo?..ghafla tuu unakaanga..unakaangaje..au sisi midume bachela haturuhusiwi kujua?
 
Vipi kwa tanaotumia rice cooker mbona tunaweka maji ya baridi na bado kitu hakinukii wala nini, labda nakosea mkuu msaada kwenye tuta!
 
Kanunue ule mchele wa buku uone kama hiyo harufu nzuri kama utaipata
 
Kuna mchele hata uweke rice massala haunukii

Ngoja nijaribu leo usiponukia nakuja kukubwagia safuria hapa
Hahahahaha mimi naona kunukia kwa mchele ni aina ya mchele wenyewe huku kwetu wa bei ghali naona ndo unaonukia na mtamu kuliko wa bei rahisi
 
Pia weka mafuta mengi ,
Mi hua nachemsha maji nayawekea chumvi kabisa nikitaka unukie zaidi naweka na hiliki,maji yakichemka nachuku chujio natoa zile hiliki naweka mchele ,,napima maji kama yametosha halaf naweka mafuta
Nahakikisha siunguzi
Wali ukitoka hapo umechambuka unanukia
 
Nataka nikuaajiri ktk Restaurant zangu uwasimamie maChef !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…