Mbinu ya kufanya wali wako unukie zaidi


Toto la Kiislamu hilo...linajua kupika balaa...
 
mie nami nilifundishwaga wali wa maji baridi sijawah pikia maji ya moto aslan ! ..asante kuwaelimisha watu mwaya !
 
Hahahahaha mimi naona kunukia kwa mchele ni aina ya mchele wenyewe huku kwetu wa bei ghali naona ndo unaonukia na mtamu kuliko wa bei rahisi
Nilitaka niseme nikaona nisiseme sana
Kuna aina tofauti tofauti za mchele kulingana na mbegu ya mpunga

Pia na muda wa mchele toka umevunwa.
Hivi vinafanya mchele unukie au upooze
 
Mzima ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…