Mbinu ya kufanya wali wako unukie zaidi

mimi huwa nafanya hivyo na inasaidia kweli ila kumbuka kuweka kiwangi pungufu cha maji ikilinganishwa na ya moto
 
mimi huwa nafanya hivyo na inasaidia kweli ila kumbuka kuweka kiwangi pungufu cha maji ikilinganishwa na ya moto
Tatizo kuna watu wakieleweshwa kujitia wagumu kuelewa
 
Mi nishazoea kupika wali wa hiliki, hivyo fikiria jinsi unavyonukia
 
Nifundishe napikaje wali kwenye gas maana nimechemka mara nyingi sana mpaka sitaki tena wali
Kama unakaanga mchele wako "tia mafuta yapate moto tia mchele uliokoshwa vyema (usiroweke mchele) kisha tia chumvi na vingine unavyotaka kisha ukishaona umekaanga ukaridhika tia maji (usiyachemshe) ukishaona maji yanakaribia kukauka chukua foil ama mfuko (funika)sijui ww unatumia nn punguza jiko mpka mwisho kisha funika na mfuniko wacha wali wako uive ukija funua umeiva vyema kabisa

Zingatia kutumia moto kidogo ,, epuka kukoroga koroga wali wako mara nyingi mana utatengeneza bokoboko,,

Ukishindwa kabisa nunua rice cooker [emoji13]
 
Asante sana mkuu hapo nimekupata rice cooker nitanunua mda si mrefu
 
Mh! Nimebaki nimekodoa macho tu. Huu utakuwa wali kweli au boko boko? Ndiyo nasikia upishi kwa hivi kwa mara ya kwanza.

Mmmhhh mi kuna watoto wa jirani huwa wakiskia tu harufu ya mapochopocho skani....bs dakika haipiti unawaona wapo nje wanacheza cheza kudunguana.....sasa nikitumia hii si ndo kabisaa watahamiaaa...!!!!!

[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
 
Hahaaaahaaaaaa
 
Mh! Nimebaki nimekodoa macho tu. Huu utakuwa wali kweli au boko boko? Ndiyo nasikia upishi kwa hivi kwa mara ya kwanza.
Kinachofanya wali unakuwa bokoboko n kukoroga hovyo, maji mengi na moto kuwa mkali utakulazimu uwe unageuza mara kwa mara ili kuepusha kushika chinu
 
Reactions: BAK
Okay kwa hiyo kutumia maji ya baridi ni kutaka tu wali unukie.

Kinachofanya wali unakuwa bokoboko n kukoroga hovyo, maji mengi na moto kuwa mkali utakulazimu uwe unageuza mara kwa mara ili kuepusha kushika chinu
 
Hapo kwenye mfuko umeharibu,nadhani unamaanisha mfuko laini
 
Wow! Kwa hiyo unanukia vizurii

Wale tunaopenda kupika pika mkuje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…