Mbinu ya Russia kuivamia Ukraine ilikuwa kali sema ya kizamani

Vp apo new York mafuta bei gni na gesi
Tajiri Bilionea hata mafuta yauzwe lita moja dola 100 au laki mbili shilingi za Tanzania kwake sio big deal

Mfumuko wa bei unahusu maskini sio matajiri

Soda hoteli kubwa za kitalii inauzwa Elfu nane wakati uswahilini inauzwa mia sita lakini huwezi ONA hao wakaa hoteli kubwa za kitali wanalalamika hiyo bei

Wewe ulofa unakusumbua Omba Mungu akupe pesa .Yaani wewe mafuta yakipanda kwa shilingi mia tano tu kwa lita kelele kibao maskini wewe

Marekani wana pesa usijilinganishe nao

Inflation inasumbua malofa kama wewe sio matajiri

Omba Mungu akupe pesa
 
Putin aliingiza Urusi mfumo wa kibepari na yeye na magenerali wa Jeshi na vigogo wa Serikali,mahakama na bunge na ndugu zao wakawa na utajiri wa kufa mtu ambao waliuficha nchi za Magharibi watoto wao ba ndugu zao wakiwa wanasoma au kuishi Ulaya na Marekani na wao wakienda kutumbua maisha Ulaya na Marekani wanakomiliki mali na pesa ns mi akaunti yao ya benki na hisa misoko ya Ulaya na Marekani ikisoma ma trilioni ya dola!!

Ulaya na Marekani wanewapiga pini viongozi wa Serikali wote wa Russia,Wabunge wote wa Russia ,viongozi wote wa mahakama wa Russia na wafanyabiashara wote wa Russia ma Raia wote wa Russia mali zao na akaunti zote waliweka benki za Ulaya na nchi za Magharibi

zimekuwa frozen hata awe na ATM card haifanyi kazi

Putin muda wowote atauawa au kupinduliwa ns hao wenye pesa na mali ambazo ziko frozen
Ambao weekend walikuwa wanaenda kula bata london,new York na visiwa vya maraha ulaya na Marekani
Watoto wote wa Putin, Maria na Katerina, wamesomea Urusi mwanzo mwisho.
 
Vita sio ya kuishabikia lakini kitakacho kwenda kutokea Donbas ndio litakuwa anguko la Bwana Vladmir, huyu Zelensky anatumia mbinu ya kujifanya yupo weak na kulia lia ili kumdanganya Mrusi amu underestimate ila moto utakaowaka hapo basi ndio utakuwa mwanzo na mwisho wa enzi za rafiki yake Medved.
 
Wachache mno wataelewa na kuamini hii.
 
Du? Kaka ebu tushushe kwenye gari lako[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Watakufa bibi zako babu zako shangazi zako michepuko yako unayokula kimasihara shemeji zako hadi wifi zako lakini siyo PUTIN kama hutaki jikatie gogo kwenye kisosi nywea chai
 
Meli nyingi za mafuta za Urusi wamegeuka machinga baharini wauza magendo wanauza mafuta na gesi bei ya kutupwa ukiwa na meli yako ya mafuta gesi tupu nenda deep sea mimeli ya machinga ya kirusi ina mafuta na gesi kibao unapakia unakuja uza bei kali Tanzania

Vikwazo usicheze navy Urusi analia kama ngedere kageuka machinga
Zinafanyaje magendo wakati Urusi haijawekewa vikwazo vya mafuta?
Wafuasi wa CCM mna matatizo.
 
Vita sio ya kuishabikia lakini kitakacho kwenda kutokea Donbas ndio litakuwa anguko la Bwana Vladmir, huyu Zelensky anatumia mbinu ya kujifanya yupo weak na kulia lia ili kumdanganya Mrusi amu underestimate ila moto utakaowaka hapo basi ndio utakuwa mwanzo na mwisho wa enzi za rafiki yake Medved.
Russia alikuwa hajaelewa hii mbinu mwanzo Ila saivi kashaghutuka ndyo maaana nguvu ya mashambulizi imeongezeka na ata vifaa vya kisasa vimeingia mzigoni mtu atachapika Hadi ateme mma
 
Putin aliingiza Urusi mfumo wa kibepari na yeye na magenerali wa Jeshi na vigogo wa Serikali,mahakama na bunge na ndugu zao wakawa na utajiri wa kufa mtu ambao waliuficha nchi za Magharibi watoto wao ba ndugu zao wakiwa wanasoma au kuishi Ulaya na Marekani na wao wakienda kutumbua maisha Ulaya na Marekani wanakomiliki mali na pesa ns mi akaunti yao ya benki na hisa misoko ya Ulaya na Marekani ikisoma ma trilioni ya dola!!

Ulaya na Marekani wanewapiga pini viongozi wa Serikali wote wa Russia,Wabunge wote wa Russia ,viongozi wote wa mahakama wa Russia na wafanyabiashara wote wa Russia ma Raia wote wa Russia mali zao na akaunti zote waliweka benki za Ulaya na nchi za Magharibi

zimekuwa frozen hata awe na ATM card haifanyi kazi

Putin muda wowote atauawa au kupinduliwa ns hao wenye pesa na mali ambazo ziko frozen
Ambao weekend walikuwa wanaenda kula bata london,new York na visiwa vya maraha ulaya na Marekani
Ahsante sheikh yahya kwautabiri wako juu ya PUT IN
 
Urusi kiukweli wameonesha umahiri wa kutumia mbinu za enzi ya kina hitla na dola la kirumi katika uvamimizi.Kabla sijaelezea mbinu hizo naomba ufahamu kuwa Urusi haikua na malengo ya kuivamia Ukraine yote,bali ililenga maeneo ya eastern part yaliyopakana na mipaka yake ,lengo ikiwa ni kuyasaidia majimbo yaliyikua yanataka kujitenga na Ukraine ,kumbuka mipango iliandaliwa tangu 2010,na propaganda nyingi ziliundwa na mrusi ili kuchochea majimbo hayo kujitenga.sitaki kwenda deep mnaelewa hizo siasa za mrusi.

Sasa nije kwenye mbinu ya kuhakikisha wanyakwapua majimbo hayo,maana walielewa fika wakienda kichwakichwa wangeumbuka mno.

Kwanza kabisa walijigawa makundi matatu ,ambapo kundi la kwanza lilitangulia upande wa mji mkuu Kiev kama vile wanataka kuingia mjini,ila walikua wanazuga tuu ili kuvuruga mipango ya jeshi la Ukraine ,na kweli lilivurugika kweli maana Ukraine ilijikita kutumia nguvu nyingi kuzuia jeshi la Russian kuingia mji mkuu Kiev, huku wakisahau kuna kundi lilikua linazunguka Eastern na kujiimarisha huko

Kundi la pili lilijikita kama linataka kutokea upande wa kaskazin kupitia Belarus ila nao ilikua zuga tuu.

Kundi la tatu ndilo la kifo lilijikita majimbo ya mashariki likiwa na shehena ya silaha nyingi na kujiimarisha huko ,huku wenzao wakiendelea kuzuga ,mbinu hii inaitwa cover the main target

Wakati mataifa ya ulaya na dunia wakimzomea puttin kwamba kashindwa kutimiza lengo lake la kuingia Kiev ,yeye aliendelea kujiimarisha zaidi

Baada ya kuhakikisha ameshajiimarisha vikosi hivyo vilirudi kwenda kuungana na wenzao huko mashariki.

Nataka niwaambie tuu majimbo yote ya mashariki kamwe Ukraine hawezi tena kuyakomboa ,hata wazungu wamepigwa na butwaaa kuchezewa akili na Putin

Ila kwa hitimisho sijapenda mbinu hii maana inagharama sana ,maisha ya RAIA wasio na hatia, uharibifu mkubwa wa miundombinu ,pia hata hasara kwa jeshi la urusi maana wengi wanaotumwaga kufanya coverage huwa ni askari wasio weled na mara nyingi hawapewi zana za kisasa ,hivyo wengi hupoteza maisha ili kumpa moyo anayevamiwa akidhani anapata ushindi kumbe anaelekea shimon.

Wengi mkisikia mrusi ni mbabe wa vita huwa mnaona ni neno dogo ila Mrusi ni hatari sana ana mbinu za kushangaza na ambazo adui hawezi fikiria.
Upumbavu tuuu, ameua Askari wake kisa aridhi na wakati anamiliki aridhi kubwa duniani
 
Kwa hiyo sasa hivi kipande kilichobaki cha Ukraine kijiunge tu NATO hakuna shida?

Huu utakuwa Ni UONGO UKIJARIBU KUMSIFU SABABU YA MAPENZI YAKO KWAKE.

Objective za Urusi zipo wazi, mabadiliko yoyote yanatokana na either ugumu wa kufikia objective, au kushindwa kabisa kufikia hizo objective.

Na kama usemalo lina Ukweli Puttin basi ni katili sana na itakuwa sahihi nchi jirani kumuogopa na kutafuta njia zozote kujilinda naye ikiwemo kujiunga NATO.
 
Urusi kiukweli wameonesha umahiri wa kutumia mbinu za enzi ya kina hitla na dola la kirumi katika uvamimizi.Kabla sijaelezea mbinu hizo naomba ufahamu kuwa Urusi haikua na malengo ya kuivamia Ukraine yote,bali ililenga maeneo ya eastern part yaliyopakana na mipaka yake ,lengo ikiwa ni kuyasaidia majimbo yaliyikua yanataka kujitenga na Ukraine ,kumbuka mipango iliandaliwa tangu 2010,na propaganda nyingi ziliundwa na mrusi ili kuchochea majimbo hayo kujitenga.sitaki kwenda deep mnaelewa hizo siasa za mrusi.

Sasa nije kwenye mbinu ya kuhakikisha wanyakwapua majimbo hayo,maana walielewa fika wakienda kichwakichwa wangeumbuka mno.

Kwanza kabisa walijigawa makundi matatu ,ambapo kundi la kwanza lilitangulia upande wa mji mkuu Kiev kama vile wanataka kuingia mjini,ila walikua wanazuga tuu ili kuvuruga mipango ya jeshi la Ukraine ,na kweli lilivurugika kweli maana Ukraine ilijikita kutumia nguvu nyingi kuzuia jeshi la Russian kuingia mji mkuu Kiev, huku wakisahau kuna kundi lilikua linazunguka Eastern na kujiimarisha huko

Kundi la pili lilijikita kama linataka kutokea upande wa kaskazin kupitia Belarus ila nao ilikua zuga tuu.

Kundi la tatu ndilo la kifo lilijikita majimbo ya mashariki likiwa na shehena ya silaha nyingi na kujiimarisha huko ,huku wenzao wakiendelea kuzuga ,mbinu hii inaitwa cover the main target

Wakati mataifa ya ulaya na dunia wakimzomea puttin kwamba kashindwa kutimiza lengo lake la kuingia Kiev ,yeye aliendelea kujiimarisha zaidi

Baada ya kuhakikisha ameshajiimarisha vikosi hivyo vilirudi kwenda kuungana na wenzao huko mashariki.

Nataka niwaambie tuu majimbo yote ya mashariki kamwe Ukraine hawezi tena kuyakomboa ,hata wazungu wamepigwa na butwaaa kuchezewa akili na Putin

Ila kwa hitimisho sijapenda mbinu hii maana inagharama sana ,maisha ya RAIA wasio na hatia, uharibifu mkubwa wa miundombinu ,pia hata hasara kwa jeshi la urusi maana wengi wanaotumwaga kufanya coverage huwa ni askari wasio weled na mara nyingi hawapewi zana za kisasa ,hivyo wengi hupoteza maisha ili kumpa moyo anayevamiwa akidhani anapata ushindi kumbe anaelekea shimon.

Wengi mkisikia mrusi ni mbabe wa vita huwa mnaona ni neno dogo ila Mrusi ni hatari sana ana mbinu za kushangaza na ambazo adui hawezi fikiria.
THIS IS FACT!
 
Watoto wote wa Putin, Maria na Katerina, wamesomea Urusi mwanzo mwisho.
Hawajasomea urusi, na mtoto mmoja alikuwa kaolewa na muholanzi na ndoa ilivunjika kutokana na kutaka mume aende akaishi Russia akakataaa.
 
Back
Top Bottom