Mbinu ya Russia kuivamia Ukraine ilikuwa kali sema ya kizamani

Mbinu ya Russia kuivamia Ukraine ilikuwa kali sema ya kizamani

Zinafanyaje magendo wakati Urusi haijawekewa vikwazo vya mafuta?
Wafuasi wa CCM mna matatizo.
Vikwazo vya meli zake za mafuta hujaviona au ?
Meli zote za kirusi zimepigwa pini kukanyaga bandari za Ulaya na Marekani wako baharini huko deep sea wanazurura na mafuta ya magendo
 
Yote Tisa kumi,
Nmependa mbinu ya Russia ya encycling,

Yaan wanashambulia kwa kutengeneza kiduara kumzunguka adui pande zote.

Inashambuliwa unazidiwa unataka KUOMBA msaada wa silaha,maji Wala chakula huupati maana Haina pa kupitia.

Unaishia kuchimba handaki na kujificha humo, ukisubiri upige kwa kuvizia.

Walivyo wajanja,
nao hawakufati kwenye handaki lako,wanakusubiri TU hapo nje utoke ujisalimishe mwenyewe au ugome kutoka humo ujifie kwa njaa,kiu au majeraha.

Hii mbinu ya chechens imewatesa Sana Ukraine uko mariupol mpaka kiongozi wa vikosi vya Ukraine Jana ameomba msaada kwa Dunia nzima Hadi kwa Papa Benedict wa Vatican.

Sasa sijui ndo kachanganyikiwa au vipi?

Maana mpaka sahv Nmeshindwa kuelewa alikua anataka msaada gani kutoka kwa Papa uko Vatican

Alitaka Msaada wa Silaha, maombi ya uzima au Misa ya mazishi kutoka kwa Papa benedict[emoji16]
 
Naweka miguu apa umeiandika Kwa uhalisia kabisaa ata Ile hotuba ya kwanza alisema anaenda kulinda maeneo ya RUSSIAN SPEAKER na siyo kuichukua Ukrein alijua akienda maeneo ya eastern tu watanyukana sana Ila kutengeneza conyoy ya nguvu
Vita hii inetumia akili Sana,
 
Na ule msafara mrefu wa vifaru kuelekea kyiv huku wakiwaambia wanajeshi wa Ukraine wamtoe Rais wao wenyewe na wajisalimishe ilikuwa ndani ya mpango?
Soma uelewe,
Swali lako mtoa mada keshalijibu kwenye Uzi wake.

Ilikua cover target tactic[emoji4]
 
Putin aliingiza Urusi mfumo wa kibepari na yeye na magenerali wa Jeshi na vigogo wa Serikali,mahakama na bunge na ndugu zao wakawa na utajiri wa kufa mtu ambao waliuficha nchi za Magharibi watoto wao ba ndugu zao wakiwa wanasoma au kuishi Ulaya na Marekani na wao wakienda kutumbua maisha Ulaya na Marekani wanakomiliki mali na pesa ns mi akaunti yao ya benki na hisa misoko ya Ulaya na Marekani ikisoma ma trilioni ya dola!!

Ulaya na Marekani wanewapiga pini viongozi wa Serikali wote wa Russia,Wabunge wote wa Russia ,viongozi wote wa mahakama wa Russia na wafanyabiashara wote wa Russia ma Raia wote wa Russia mali zao na akaunti zote waliweka benki za Ulaya na nchi za Magharibi

zimekuwa frozen hata awe na ATM card haifanyi kazi

Putin muda wowote atauawa au kupinduliwa ns hao wenye pesa na mali ambazo ziko frozen
Ambao weekend walikuwa wanaenda kula bata london,new York na visiwa vya maraha ulaya na Marekani
Umeenda nje ya mada chief
Hii Ni dalili ya wazi kabisa ya kuishiwa Sera kwa pro-nato[emoji16]
 
Vita sio ya kuishabikia lakini kitakacho kwenda kutokea Donbas ndio litakuwa anguko la Bwana Vladmir, huyu Zelensky anatumia mbinu ya kujifanya yupo weak na kulia lia ili kumdanganya Mrusi amu underestimate ila moto utakaowaka hapo basi ndio utakuwa mwanzo na mwisho wa enzi za rafiki yake Medved.
Huko donbass mkuu wa vikosi vyote keshakabidhiwa kadyrov.

Bila shaka unaujua mziki wa kadyrov asivyotaka kucheka na kima hata sekunde moja.

Huu Moto wote unaouona unawaka mashariki ya Ukraine uko chini ya vikosi vya Russia na chechens vyote vikiongozwa kadyrov.

Wito wangu: Zelensky aweke silaha chini
 
Yote Tisa kumi,
Nmependa mbinu ya Russia ya encycling,

Yaan wanashambulia kwa kutengeneza kiduara kumzunguka adui pande zote.

Inashambuliwa unazidiwa unataka KUOMBA msaada wa silaha,maji Wala chakula huupati maana Haina pa kupitia.

Unaishia kuchimba handaki na kujificha humo, ukisubiri upige kwa kuvizia.

Walivyo wajanja,
nao hawakufati kwenye handaki lako,wanakusubiri TU hapo nje utoke ujisalimishe mwenyewe au ugome kutoka humo ujifie kwa njaa,kiu au majeraha.

Hii mbinu ya chechens imewatesa Sana Ukraine uko mariupol mpaka kiongozi wa vikosi vya Ukraine Jana ameomba msaada kwa Dunia nzima Hadi kwa Papa Benedict wa Vatican.

Sasa sijui ndo kachanganyikiwa au vipi?

Maana mpaka sahv Nmeshindwa kuelewa alikua anataka msaada gani kutoka kwa Papa uko Vatican

Alitaka Msaada wa Silaha, maombi ya uzima au Misa ya mazishi kutoka kwa Papa benedict[emoji16]
Benedict ni papa?punguza ujuaji
 
Hiyo mbinu alotumia Russia Mimi mwenyewe sijategemea Kama angerudi nyuma nakuachana na kiev

Maana alikua anakwenda mwendo wa kusogeza vikosi kidogo kidogo kutokea pande zote za mipaka ya Ukraine huku akidhibiti kabisa uingizwaji wa silaha na mamluki ndani ya ukraine.

Mpaka ule mpaka mgumu wa Poland, uliudhibiti kwa kupeleka vikosi vya Belarus.

Nilichokua nategemea,
Kiev yote ingezungukwa na kushambuliwa kirahisi na serikali ya ukriane nzima ingepinduliwa rasmi.

Matokeo yake yamekua tofati Sana,
Kweli Vita Ni mahesabu, URUSI WANA MAHESABU MAKALI SANA[emoji4]
 
Huo ni uongo wa wazi kabisa, Russia nia yake ilikuwa ni kulitwaa Ukraine yote, kumpindua rais Zelenskyy na kupachika kibaraka wake Kyiv.

Lakini baada ya hilo kushindikana kivita ndio ile hadithi ya sizitaki mbichi hizi ikaanza ya kwamba sasa wanataka eneo la Donbas.

Watu mko humu tu lakini hamjaelewa nia kamili ya Putin ni nini. Putin amesema mara nyingi kwamba kuporomoka kwa himaya ya USSR ilikuwa ni kosa la karne ambalo halikupaswa kuruhusiwa kutokea.

Pia amekuwa akisisitiza wazi kabisa kwamba kihalali Nato inapaswa warudi pale walipokuwa kabla ya 1997 ambapo walikuwa na wanachama 16 tu na wale 14 waliongezeka baada ya hapo inafaa wasiwemo kwenye jumuiya hiyo.

Hivyo ni kwamba nia ya Putin ni kurejesha USSR kinamna na atashindwa tu kwa sababu hawezi kuishinda Nato ktk medani ya kivita.
 
Sawa
 
Urusi kiukweli wameonesha umahiri wa kutumia mbinu za enzi ya kina hitla na dola la kirumi katika uvamimizi.Kabla sijaelezea mbinu hizo naomba ufahamu kuwa Urusi haikua na malengo ya kuivamia Ukraine yote,bali ililenga maeneo ya eastern part yaliyopakana na mipaka yake ,lengo ikiwa ni kuyasaidia majimbo yaliyikua yanataka kujitenga na Ukraine ,kumbuka mipango iliandaliwa tangu 2010,na propaganda nyingi ziliundwa na mrusi ili kuchochea majimbo hayo kujitenga.sitaki kwenda deep mnaelewa hizo siasa za mrusi.

Sasa nije kwenye mbinu ya kuhakikisha wanyakwapua majimbo hayo,maana walielewa fika wakienda kichwakichwa wangeumbuka mno.

Kwanza kabisa walijigawa makundi matatu ,ambapo kundi la kwanza lilitangulia upande wa mji mkuu Kiev kama vile wanataka kuingia mjini,ila walikua wanazuga tuu ili kuvuruga mipango ya jeshi la Ukraine ,na kweli lilivurugika kweli maana Ukraine ilijikita kutumia nguvu nyingi kuzuia jeshi la Russian kuingia mji mkuu Kiev, huku wakisahau kuna kundi lilikua linazunguka Eastern na kujiimarisha huko

Kundi la pili lilijikita kama linataka kutokea upande wa kaskazin kupitia Belarus ila nao ilikua zuga tuu.

Kundi la tatu ndilo la kifo lilijikita majimbo ya mashariki likiwa na shehena ya silaha nyingi na kujiimarisha huko ,huku wenzao wakiendelea kuzuga ,mbinu hii inaitwa cover the main target

Wakati mataifa ya ulaya na dunia wakimzomea puttin kwamba kashindwa kutimiza lengo lake la kuingia Kiev ,yeye aliendelea kujiimarisha zaidi

Baada ya kuhakikisha ameshajiimarisha vikosi hivyo vilirudi kwenda kuungana na wenzao huko mashariki.

Nataka niwaambie tuu majimbo yote ya mashariki kamwe Ukraine hawezi tena kuyakomboa ,hata wazungu wamepigwa na butwaaa kuchezewa akili na Putin

Ila kwa hitimisho sijapenda mbinu hii maana inagharama sana ,maisha ya RAIA wasio na hatia, uharibifu mkubwa wa miundombinu ,pia hata hasara kwa jeshi la urusi maana wengi wanaotumwaga kufanya coverage huwa ni askari wasio weled na mara nyingi hawapewi zana za kisasa, hivyo wengi hupoteza maisha ili kumpa moyo anayevamiwa akidhani anapata ushindi kumbe anaelekea shimon.

Wengi mkisikia mrusi ni mbabe wa vita huwa mnaona ni neno dogo ila Mrusi ni hatari sana ana mbinu za kushangaza na ambazo adui hawezi fikiria.
Ngoja nikulekebishe Urussi ilikuwa na Marengo na Ukraini kuzichukua Ukrain nzima kama ulikuwa una fatilia hoja za Moscow mwanzon mwa vita dinazifican na disarmy Ukrain option mbili zimeshindikan ndo wamebaki na kuigawa Ukrain.
 
Vipi kuhusu askari 1300 walofarik ambao putin amekiri ktk speech yake kuwa amewapoteza? Watu wanajitoa ufahamu humu ila uhalisia unabaki palepale, resistance alokutana nayo mrusi mpaka sasa bado haamini.
Anadanganya huko Ukrain mochwari zime jaa maiti za hao jamaaa
ukraine_defence-20220421-0001.jpg
 
Back
Top Bottom