Mbinu ya Russia kuivamia Ukraine ilikuwa kali sema ya kizamani

Zinafanyaje magendo wakati Urusi haijawekewa vikwazo vya mafuta?
Wafuasi wa CCM mna matatizo.
Vikwazo vya meli zake za mafuta hujaviona au ?
Meli zote za kirusi zimepigwa pini kukanyaga bandari za Ulaya na Marekani wako baharini huko deep sea wanazurura na mafuta ya magendo
 
Yote Tisa kumi,
Nmependa mbinu ya Russia ya encycling,

Yaan wanashambulia kwa kutengeneza kiduara kumzunguka adui pande zote.

Inashambuliwa unazidiwa unataka KUOMBA msaada wa silaha,maji Wala chakula huupati maana Haina pa kupitia.

Unaishia kuchimba handaki na kujificha humo, ukisubiri upige kwa kuvizia.

Walivyo wajanja,
nao hawakufati kwenye handaki lako,wanakusubiri TU hapo nje utoke ujisalimishe mwenyewe au ugome kutoka humo ujifie kwa njaa,kiu au majeraha.

Hii mbinu ya chechens imewatesa Sana Ukraine uko mariupol mpaka kiongozi wa vikosi vya Ukraine Jana ameomba msaada kwa Dunia nzima Hadi kwa Papa Benedict wa Vatican.

Sasa sijui ndo kachanganyikiwa au vipi?

Maana mpaka sahv Nmeshindwa kuelewa alikua anataka msaada gani kutoka kwa Papa uko Vatican

Alitaka Msaada wa Silaha, maombi ya uzima au Misa ya mazishi kutoka kwa Papa benedict[emoji16]
 
Naweka miguu apa umeiandika Kwa uhalisia kabisaa ata Ile hotuba ya kwanza alisema anaenda kulinda maeneo ya RUSSIAN SPEAKER na siyo kuichukua Ukrein alijua akienda maeneo ya eastern tu watanyukana sana Ila kutengeneza conyoy ya nguvu
Vita hii inetumia akili Sana,
 
Na ule msafara mrefu wa vifaru kuelekea kyiv huku wakiwaambia wanajeshi wa Ukraine wamtoe Rais wao wenyewe na wajisalimishe ilikuwa ndani ya mpango?
Soma uelewe,
Swali lako mtoa mada keshalijibu kwenye Uzi wake.

Ilikua cover target tactic[emoji4]
 
Umeenda nje ya mada chief
Hii Ni dalili ya wazi kabisa ya kuishiwa Sera kwa pro-nato[emoji16]
 
Huko donbass mkuu wa vikosi vyote keshakabidhiwa kadyrov.

Bila shaka unaujua mziki wa kadyrov asivyotaka kucheka na kima hata sekunde moja.

Huu Moto wote unaouona unawaka mashariki ya Ukraine uko chini ya vikosi vya Russia na chechens vyote vikiongozwa kadyrov.

Wito wangu: Zelensky aweke silaha chini
 
Benedict ni papa?punguza ujuaji
 
Hiyo mbinu alotumia Russia Mimi mwenyewe sijategemea Kama angerudi nyuma nakuachana na kiev

Maana alikua anakwenda mwendo wa kusogeza vikosi kidogo kidogo kutokea pande zote za mipaka ya Ukraine huku akidhibiti kabisa uingizwaji wa silaha na mamluki ndani ya ukraine.

Mpaka ule mpaka mgumu wa Poland, uliudhibiti kwa kupeleka vikosi vya Belarus.

Nilichokua nategemea,
Kiev yote ingezungukwa na kushambuliwa kirahisi na serikali ya ukriane nzima ingepinduliwa rasmi.

Matokeo yake yamekua tofati Sana,
Kweli Vita Ni mahesabu, URUSI WANA MAHESABU MAKALI SANA[emoji4]
 
Huo ni uongo wa wazi kabisa, Russia nia yake ilikuwa ni kulitwaa Ukraine yote, kumpindua rais Zelenskyy na kupachika kibaraka wake Kyiv.

Lakini baada ya hilo kushindikana kivita ndio ile hadithi ya sizitaki mbichi hizi ikaanza ya kwamba sasa wanataka eneo la Donbas.

Watu mko humu tu lakini hamjaelewa nia kamili ya Putin ni nini. Putin amesema mara nyingi kwamba kuporomoka kwa himaya ya USSR ilikuwa ni kosa la karne ambalo halikupaswa kuruhusiwa kutokea.

Pia amekuwa akisisitiza wazi kabisa kwamba kihalali Nato inapaswa warudi pale walipokuwa kabla ya 1997 ambapo walikuwa na wanachama 16 tu na wale 14 waliongezeka baada ya hapo inafaa wasiwemo kwenye jumuiya hiyo.

Hivyo ni kwamba nia ya Putin ni kurejesha USSR kinamna na atashindwa tu kwa sababu hawezi kuishinda Nato ktk medani ya kivita.
 
Sawa
 
Ngoja nikulekebishe Urussi ilikuwa na Marengo na Ukraini kuzichukua Ukrain nzima kama ulikuwa una fatilia hoja za Moscow mwanzon mwa vita dinazifican na disarmy Ukrain option mbili zimeshindikan ndo wamebaki na kuigawa Ukrain.
 
Vipi kuhusu askari 1300 walofarik ambao putin amekiri ktk speech yake kuwa amewapoteza? Watu wanajitoa ufahamu humu ila uhalisia unabaki palepale, resistance alokutana nayo mrusi mpaka sasa bado haamini.
Anadanganya huko Ukrain mochwari zime jaa maiti za hao jamaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…