Mbinu ya Serikali kuzuia maandamano itaifilisi nchi

Mbinu ya Serikali kuzuia maandamano itaifilisi nchi

Njia pekee ambayo kibaka huisikia vizuri ni kummwaga utumbo ili vibaka wengine wakiona hawathubutu tena. Ndiyo maana mkishika wezi huwa mnawachoma na matairi
Hii mada inawahusu watu wenye akili timamu. Haiwahusu watu wanaoongea kwa kutumia utumbo mpana.
 
Hebu angalia lipumbavu hili nalo, lenyewe halo utakuta ni think tank la chadema sehemu flani. Pathetic!!!!
Wewe ***** ndio mshauri wa watawala huko juu.

Sijui kama mnajua bidhaa kama sukari zishaanza kupanda bei au hizo takataka kichwani mnaziekeleza kuhakikisha mpumbavu mwenzenu mmoja anatawala tena miaka mitano ijayo na uwezo wake mdogo.
 
Yes ,hii ni plan B kwamba ya kutoka barabarani imeshindikana kwasababu ya curfew basi ,plan B ni kwamba daily ni siku ya maandamano ili wao waendelee kushinda juani huku Gen Z wakishinda ndani ,shughuli za uchumi hazifanyiki tuone nani anayeathirika zaidi.
 
Kwani leo kuna mtu kakukataza usiandamane? leo ni holiday siyo siku ya kazi ila kama unataka kuandamana we toka utapokelewa vizuri.

Kesho kazi zinaendelea
 
Yes ,hii ni plan B kwamba ya kutoka barabarani imeshindikana kwasababu ya curfew basi ,plan B ni kwamba daily ni siku ya maandamano ili wao waendelee kushinda juani huku Gen Z wakishinda ndani ,shughuli za uchumi hazifanyiki tuone nani anayeathirika zaidi.
Wanaoathirika zaidi ni raia masikini
 
Linda Amani. Kataa Maandamano. Usiandamane. Usiharibu Amani ya Nchi.
Hapa tafsiri sahihi unatwambia kuwa "linda utawala wa shetani samia na usiupinge hata kama ni utawala dhalimu, linda utulivu huu hili shetani samia na familia yake waendelee kuneemeka wakati raia wengine wakiendelea kutekwa"
 
Back
Top Bottom