Mbinu ya Serikali kuzuia maandamano itaifilisi nchi

Unachekesha sana, sasa nchi ikifirisika utalindaje amani? Yaani wafanyabiashara wa Kariakoo watalipaje kodi na mikopo mambo yakienda hivi wiki?

Yaani bank leo hazijafanya kazi na kesho na kesho kutwa zisifanye kazi alafu unajisifu kuwa umethibiti wanaotaka kuandamana.

Utakuta na wewe ni kiongozi anayetegemewa kuwaletea wananchi maendeleo. Tokea utotoni mnafundishwa kuwa kutatua tatizo siyo kuyakimbia.
Tutawanyoosha na nchi haifilisiki.
Ikiyumba kidogo TRA tutaifanya jeshi usu ili kuwaminya vizuri nyie wananchi
 
Wewe unaweza kuendesha mradi bila pesa? Hao wafanyakazi utawalipa nini?
Mbona mnahoji vitu kama mmekatwa vichwa?
Atakayeumia ni wewe mwananchi wao wapo secured and well off

Akiumwa Ana BIMA kubwa Ana uraia wa Dubai

N.k

Sasa uchumi uki stuck mtaumia nyie mnaotegemea huduma za serikali.

Sasa kabla haujafikiri Ku-push movement waza maisha yako hasa nyie mnaoishi hand to mouth
 
Tutawanyoosha na nchi haifilisiki.
Ikiyumba kidogo TRA tutaifanya jeshi usu ili kuwaminya vizuri nyie wananchi
Bahati nzuri au mbaya ukweli unalijua ila unaleta dhihaka kujifurahisha. Yaani unadhani unaweza kuwakomoa wananchi
 
Kama mlisalitiana hiyo ni kimpango wenu, na sasa uko ccm yet unasema mlisalitiana?! Nimecheka kwa nguvu😂😂 Ni zipi sio project za watu?
Ambacho hujui si CCM wala CHADEMA watakaokutoa hapo Kwa shemeji yako ukajipangie. Tumia akili maisha ni wewe unataka yawaje ukiona Mange au Maria Sarungi anakubembeleza ukaandamane ujuwe wewe ndo project yenyewe na ulivyo zwazwa unajaa!
 
Atakayeumia ni wewe mwananchi wao wapo secured and well off

Akiumwa Ana BIMA kubwa Ana uraia wa Dubai

N.k

Sasa uchumi uki stuck mtaumia nyie mnaotegemea huduma za serikali.

Sasa kabla haujafikiri Ku-push movement waza maisha yako hasa nyie mnaoishi hand to mouth
Kama wananchi hawazalishi atalipa nini wafanyakazi? Na unahisi majeshi yatamuelewa?

Hizi jeuri anazipata sababu kibubu bado kipo na chenchi, subiri kiishiwe uone kama kuna raia atasikiliza order zake..!!

Halafu unanichosha unawaza kichawa chawa, mimi naishi hand mouth wewe unatikisa pesa kwenye mti?
 
Ambacho hujui si CCM wala CHADEMA watakaokutoa hapo Kwa shemeji yako ukajipangie. Tumia akili maisha ni wewe unataka yawaje ukiona Mange au Maria Sarungi anakubembeleza ukaandamane ujuwe wewe ndo project yenyewe na ulivyo zwazwa unajaa!
Yaani watu watekwe, kufirwa na chaguzi kuchezewa, uniambia Mange na Maria wana project? Hiyo project ya kuteka na kufira watu ni ya kina Mange na Maria. Unaongea ukhanithi gani we 🌈?
 
Kama wananchi hawazalishi atalipa nini wafanyakazi? Na unahisi majeshi yatamuelewa?

Hizi jeuri anazipata sababu kibubu bado kipo na chenchi, subiri kiishiwe uone kama kuna raia atasikiliza order zake..!!

Halafu unanichosha unawaza kichawa chawa, mimi naishi hand mouth wewe unatikisa pesa kwenye mti?
Don't think like a poor guy kuikomboa nchi inahitaji mikakati ya watu smart .

Yaani watu km nyie key bod worrier ndo mkomboe nchi ...kidding
 
First thing first. Idiology ikishaingia vichwani kinachofuata ni watu hao kufanya kweli.
 
Don't think like a poor guy kuikomboa nchi inahitaji mikakati ya watu smart .

Yaani watu km nyie key bod worrier ndo mkomboe nchi ...kidding
Umejiona ulivyo tahira?
Toka lini nchi ikakombolewa na watu wachache?

Keyboard warrior mimi na wewe chawa nani anaweza kuchangia ukombozi wa nchi? JODER
 
Sisi tumeanza hizi harakati kitambo ni MTU mjinga atakayeamini huu ujinga mnaopeana moyo .

Nchi haikombolewi hivi, wewe umewahi kuifanyia nn hii Tanzania

Wenzako akina Mange wanalipwa wewe je ?
 
Wewe ni tahira, kukomboa nchi yako mpaka ulipwe?

Kichwani ziko sawa kweli?
Huduma mbovu za kijamii kuzipigania katika usawa na uwajibikaji mpaka nilipwe?

Ndiomana ulifeli mapema ulitanguliza pesa kwa faida yako mwenyewe..!! Joder
 
Rudi kwenu Zanzibar

Mimi sio mzanzibari wewe mbaguzi na mkabila. Unafikiri kila anayepinga ugaidi wenu ni mzanzibari? Na tunajua kuwa chuki kwa wazanzibari ni chuki iliyofichwa dhidi ya Uislam na Waislam.
 
Zaidi zaidi nyie wananchi ndio tutawakamua kodi.
Awamu hii tutaigeuza TRA kuwa jeshi usu ili kuwaminya vizuri
Ndio tunapopataka muelekee huko hili nyie wadhalimu mtengeneze maadui wengi zaidi wa ndani.

Kazi ya iwe rahisi kupita maelezo.
 
Back
Top Bottom