Mbinu ya Serikali kuzuia maandamano itaifilisi nchi

Mbinu ya Serikali kuzuia maandamano itaifilisi nchi

Ni heri nchi ifilisike lakini pawepo na amani. Nchi ikichafuka hawezi tena kujenga uchumi wake.
Washenzi tumewadhibiti
Na sisi wengine ndio furaha yetu kuona nchi ikitumia pesa nyingi kwenye jambo lisilokuwa na ulazima, yaani furaha yetu nikuona inchi imefilisika kabisa ikiwezekana kiasi cha serikali hii haramu kushindwa kujiendesha
 
Kwa hiyo nyinyi mlio kuwa mnachoma miundo mbinu ya uma ,binafisi mlikuwa hamfirisi nchi?
 
Kuna watu wanatoa maneno ya kejeli kuhusiana na ukimya uliotawala nchi nzima siku ya leo 09/12/2025.

Watu wasichojua ni gharama kubwa ambazo serikali na vyombo vyake imeingia siku ya leo kuendesha operation yake.

Kuanzia gharama za kusafirisha watu na vifaa, gharama za malazi ambapo maaskari na wapepelezi wengi sana wamesafirishwa na kulazwa katika maguest house na lodges, posho za watu wao wote. Operation ya leo tu imegharimu mabilioni ya pesa.

Sasa chukulia hii operation iendelee kesho, iendelee wiki nzima, iendelee hadi mwisho wa mwaka. Embu waza matrilioni mangapi yatatumika.

Kumbuka hapo hapo mapato ya kodi yanapungua kutokana na kushuka shughuli za biashara, kupungua watalii, nk. Hapo hapo wahisani wanapunguza sapoti yao katika bajeti ya serikali.

Endapo waandamanaji wakiendelea na mipango ya kukutania mijini kama wanavyopanga, mfano Mnazi Mmoja, Kariakoo, Posta, nk. ina maana hata serikali ikiamua kuwekeza nguvu kudhibiti maeneo hayo, bado athari za kiuchumi zitakuwa kubwa sana.

Mapato yakiendelea kupungua ina maana serikali itabidi ianze kuprint pesa kuendesha hizi operation. Kuprint pesa ina maana kutaanza kuwa na mfumuko wa bei. Wachumi wanajua yanayofuata baada ya hapo.

Ninachotaka kusema ni kwamba vita nyingi duniani, za silaha au zile za kidemokrasia zinapiganwa katika uchumi kwanza kabla hata risasi moja haijarushwa.
J12 tupo hewanii tena.....nchi itakuwa mwendo ndio hiyo .....Govt wanalia njaa hakuna linaloendelea hajuna kazi hakuna posho mwezi kuendesga serikali hakuna lolote...safari semina warsha bila bila.....hizo siku 100 ....watu mil 31 no balaa....mtu amekuwa panya buku yuko shimoni dodoma
 
Hii mada inawahusu watu wenye akili timamu. Haiwahusu watu wanaoongea kwa kutumia utumbo mpana.
Kwa hiyo wewe Una akili? May be the word akili has lost its meaning ( in tr. mpamire's voice🤣🤣) serikali yoyote duniani usalama wa raia wake ni first priority. Kwa hiyo mlitaka muachwe muibe mnavyotaka? Kijana Fanya kazi upate pesa ya halali usipokuwa na njaa utaacha kishikiwa akili na akina Mange
 
Sisi ni matajiri, nchi ina maliasili nyingi sana🐼
 
Unazungumzia wale vibaka waliokuwa wanajaza kura fake kwenye mabox ya kura?
Vyovyote utakavyowaita siwezi kubadili mtazamo wako.... Tupo milion 60+ CHADEMA pekee hawawezi kutuamulia maamuzi yetu Kwa hiyo mkisusa uchaguzi rudini kulea wajukuu zenu. Mlitaka mharibu uchaguzi ili iweje ila mliipata mwana ukome. Rudini tena shwain
 
Great lice at his best.
 
Cdm hawawezi kuwa mabwege wa kushiriki chaguzi za kishenzi miaka yote. Na kwa kutaka kujua cdm walikuwa mbele yaa muda, sacrife yao itafanya kuwepo na chaguzi za heshima, na hapo ccm ndio itajua kwanini ilitegemea wizi wa kura muda wote kwa mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Dogo I bet umeanza kuijua siasa leo! Sisi tupo toka 2000 active na tulishakuwa wapinzani Sana. Mimi namaliza chuo na morale za kichuo chuo. Wengi niliowaamini wote waliniangusha Leo wamelamba asali. Kwa hiyo ukikua ukawa na majukumu utaacha kushabikia project za watu.
 
Kama mlisalitiana hiyo ni kimpango wenu, na sasa uko ccm yet unasema mlisalitiana?! Nimecheka kwa nguvu😂😂 Ni zipi sio project za watu?
 
We mpumbavu haujui kazi kubwa ya serikali ni kulinda Amani na usalama??
Sasa unafikiri Serikali itafikilisika kudeal na vibaka kama nyie sio??
Basi endelea kutoa uso wako anza vurugu utajua bajeti wanatoa wapi..!
Jibu hoja acha taarabu na vitisho visivyokuwa na mbele wala nyuma wee form 4 failure
 
Ni heri nchi ifilisike lakini pawepo na amani. Nchi ikichafuka hawezi tena kujenga uchumi wake.
Washenzi tumewadhibiti
Unachekesha sana, sasa nchi ikifirisika utalindaje amani? Yaani wafanyabiashara wa Kariakoo watalipaje kodi na mikopo mambo yakienda hivi wiki?

Yaani bank leo hazijafanya kazi na kesho na kesho kutwa zisifanye kazi alafu unajisifu kuwa umethibiti wanaotaka kuandamana.

Utakuta na wewe ni kiongozi anayetegemewa kuwaletea wananchi maendeleo. Tokea utotoni mnafundishwa kuwa kutatua tatizo siyo kuyakimbia.
 
We mpumbavu haujui kazi kubwa ya serikali ni kulinda Amani na usalama??
Sasa unafikiri Serikali itafikilisika kudeal na vibaka kama nyie sio??
Basi endelea kutoa uso wako anza vurugu utajua bajeti wanatoa wapi..!
Wewe jinga mwenzio kaongelea gharama kubwa za operation ambayo haina tija wewe unasema kufilisika
 
Na sisi wengine ndio furaha yetu kuona nchi ikitumia pesa nyingi kwenye jambo lisilokuwa na ulazima, yaani furaha yetu nikuona inchi imefilisika kabisa ikiwezekana kiasi cha serikali hii haramu kushindwa kujiendesha
baada ya ushenzi wenu kufeli mnakuja na ngonjera.
Nchi haifilisiki.
Zaidi zaidi nyie wananchi ndio tutawakamua kodi.
Awamu hii tutaigeuza TRA kuwa jeshi usu ili kuwaminya vizuri
 
Back
Top Bottom