Hii mada inawahusu watu wenye akili timamu. Haiwahusu watu wanaoongea kwa kutumia utumbo mpana.Njia pekee ambayo kibaka huisikia vizuri ni kummwaga utumbo ili vibaka wengine wakiona hawathubutu tena. Ndiyo maana mkishika wezi huwa mnawachoma na matairi
Wewe ***** ndio mshauri wa watawala huko juu.Hebu angalia lipumbavu hili nalo, lenyewe halo utakuta ni think tank la chadema sehemu flani. Pathetic!!!!
Na ukubali kutekwa piaLinda Amani. Kataa Maandamano. Usiandamane. Usiharibu Amani ya Nchi.
Wewe ndiye @dr hayaland uliyekimbia Jf ?Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
Wanaoathirika zaidi ni raia masikiniYes ,hii ni plan B kwamba ya kutoka barabarani imeshindikana kwasababu ya curfew basi ,plan B ni kwamba daily ni siku ya maandamano ili wao waendelee kushinda juani huku Gen Z wakishinda ndani ,shughuli za uchumi hazifanyiki tuone nani anayeathirika zaidi.
Mada husika ipo juu ya uwezo wa akili yako.We mpumbavu haujui kazi kubwa ya serikali ni kulinda Amani na usalama??
Sasa unafikiri Serikali itafikilisika kudeal na vibaka kama nyie sio??
Basi endelea kutoa uso wako anza vurugu utajua bajeti wanatoa wapi..!
Hakuna sababu ya kufika huko kwa ajili ya mtu mmoja tu aliyeiba uchaguzi. Yaani nchi iteketee kumlinda mwizi mmoja tu? HapanaNi heri nchi ifilisike lakini pawepo na amani. Nchi ikichafuka hawezi tena kujenga uchumi wake.
Washenzi tumewadhibiti
Tena mtu mwenyewe ni muimba taarab tu. Si bora hata angekuwa ni Profesa au mwanasayansi wa nguvu za nyuklia!!Hiyo yoote kwa ajili ya kulinda ugali wa mtu mmoja tuu aliyejitangaza kwamba amechaguliwa na watu 'wasiojulikana' ml 32!.
Ni mtu mjinga tu anayefikiri kuwa mmedhibiti maandamano.kama hawajajirekebisha maandamano mengine ni suala la muda tu sio lazima leo.Ni heri nchi ifilisike lakini pawepo na amani. Nchi ikichafuka hawezi tena kujenga uchumi wake.
Washenzi tumewadhibiti
umejuaje jamaa ni chadema ?Hebu angalia lipumbavu hili nalo, lenyewe halo utakuta ni think tank la chadema sehemu flani. Pathetic!!!!
Nchi inaongozwa Kwa mujibu wa Sheria sio kihisiaLinda Amani. Kataa Maandamano. Usiandamane. Usiharibu Amani ya Nchi.
Pumbavu zako, Linda amani au linda matumbo ya wachache?Linda Amani. Kataa Maandamano. Usiandamane. Usiharibu Amani ya Nchi.
Amani ya nchi, ama amani ya viongozi waliojiweka madarakani bila ridhaa ya umma?Linda Amani. Kataa Maandamano. Usiandamane. Usiharibu Amani ya Nchi.
Unazungumzia wale vibaka waliokuwa wanajaza kura fake kwenye mabox ya kura?Njia pekee ambayo kibaka huisikia vizuri ni kummwaga utumbo ili vibaka wengine wakiona hawathubutu tena. Ndiyo maana mkishika wezi huwa mnawachoma na matairi
Hapa tafsiri sahihi unatwambia kuwa "linda utawala wa shetani samia na usiupinge hata kama ni utawala dhalimu, linda utulivu huu hili shetani samia na familia yake waendelee kuneemeka wakati raia wengine wakiendelea kutekwa"Linda Amani. Kataa Maandamano. Usiandamane. Usiharibu Amani ya Nchi.