Mbinu ya Uganda kuwapa uraia wachezaji toka nchi nyingine imewalipa

Mbinu ya Uganda kuwapa uraia wachezaji toka nchi nyingine imewalipa

Uganda wamewabadilisha uraia wachezaji 2 mmoja toka ghana na mmoja toka nigeria,na imewalipa kwani golinla kusawazisha kafunga mnigetiavaliyepewa uraia wa uganda.Nasi tuige hiyo mbinu
Si mna Kibu D
 
Kibu D na wachezaji watano waliokuwa SBS
Hao wa singida hawajachagiliwa taifa,ilichofanya uganda iliwashawishi wachezaji raia wa ghana na nigeria wanaocheza nchi kadhaa wachukue uraia wa nchi nyingine,ndio tumempa kibu na yupo taifa stars,tuongeze wengine wenye uwezo kuliko kibu
 
Uganda wamewabadilisha uraia wachezaji 2 mmoja toka ghana na mmoja toka nigeria,na imewalipa kwani goli la kusawazisha kafunga mnigeria ikpeazu, aliyepewa uraia wa uganda.Nasi tuige hiyo mbinu
Uganda wanaruhurusu uraia pacha; Tanzania hamna kitu hicho. In fact nchi zote kwenye jumuia ya Afrika ya Mashariki zinaruhusu uraia pacha ispokuwa Tanzania tu. Unakumbuka timu ya kikapu ya Sudani Kusini ilivyochachafya kwenye Olimpik ilhali wachazaji wake wote walikuwa ni raia wa wamarekani pia, na bado wanaishi k=na kuchezea timu mbalimbali za NBA Marekani.
 
Tanzania ni ka nchi flani hivi kakidwanzi sana, kana viongozi wa hovyo imagine karne hii bado wanaogopa kutoa duo citizenship ilihali raia wake wametapakaa duniani kote na wana vizazi huko
 
wakati hao wanatamani kupewa uraia wa bongo
mimi natafuta mahali niende nikaukane huo uraia
 
Hamjui chanzo Cha tatizo, Sasa hivi wachezaji wengi wanaotamba ni matundanya Kim Poulsen
 
hakuna shida nenda vanuatu
Wewe umepajuaje Vanuatu?
Hako ka kisiwa siku moja nitaenda kutalii napakubali sana hasa wale mabinti na mishangazi yao so amaizing kwa mchakataji kama mimi cheki mambo hayo! fimboyaukwaju
😂😂
 
Attachments

  • 01216611.jpg
    01216611.jpg
    93.6 KB · Views: 27
Uganda wamewabadilisha uraia wachezaji 2 mmoja toka ghana na mmoja toka nigeria,na imewalipa kwani goli la kusawazisha kafunga mnigeria ikpeazu, aliyepewa uraia wa uganda.Nasi tuige hiyo mbinu

Ndio maana nchi haiendelei, uraia pacha ni muhimu sana
 
Uganda wamewabadilisha uraia wachezaji 2 mmoja toka ghana na mmoja toka nigeria,na imewalipa kwani goli la kusawazisha kafunga mnigeria ikpeazu, aliyepewa uraia wa uganda.Nasi tuige hiyo mbinu
Sisi tunatoa Milioni 100 kwa timu ya taifa 😃
 
Back
Top Bottom