Mbinu ya Uganda kuwapa uraia wachezaji toka nchi nyingine imewalipa

Lakini kumbuka Uganda wameshaaga rasmi mashindano ya mwaka huu ya Afcon tena kwa kuvuta mkia kwenye kundi lao.
 
Uganda wanaruhurusu uraia pacha; Tanzania hamna kitu hicho. In fact nchi zote kwenye jumuia ya Afrika ya Mashariki zinaruhusu uraia pacha ispokuwa Tanzania tu. Unakumbuka timu ya kikapu ya Sudani Kusini ilivyochachafya kwenye Olimpik ilhali wachazaji wake wote walikuwa ni raia wa wamarekani pia, na bado wanaishi k=na kuchezea timu mbalimbali za NBA Marekani.
 
Attachments

  • Screenshot_2025-12-30-22-32-15-27_cc23b74a833835e2420734a935ce7a94_1.jpg
    Screenshot_2025-12-30-22-32-15-27_cc23b74a833835e2420734a935ce7a94_1.jpg
    75.3 KB · Views: 9
Uganda wanaruhurusu uraia pacha; Tanzania hamna kitu hicho. In fact nchi zote kwenye jumuia ya Afrika ya Mashariki zinaruhusu uraia pacha ispokuwa Tanzania tu. Unakumbuka timu ya kikapu ya Sudani Kusini ilivyochachafya kwenye Olimpik ilhali wachazaji wake wote walikuwa ni raia wa wamarekani pia, na bado wanaishi k=na kuchezea timu mbalimbali za NBA Marekani.
Uraia pacha ni mtihani. Hapo mchezaji kukubali kucheza taifa staz ni mpaka aone hakuna kabisa uwezekano wa kuitwa timu yake ya taifa
 
Back
Top Bottom