fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Si mna Kibu DUganda wamewabadilisha uraia wachezaji 2 mmoja toka ghana na mmoja toka nigeria,na imewalipa kwani golinla kusawazisha kafunga mnigetiavaliyepewa uraia wa uganda.Nasi tuige hiyo mbinu
Hao wa singida hawajachagiliwa taifa,ilichofanya uganda iliwashawishi wachezaji raia wa ghana na nigeria wanaocheza nchi kadhaa wachukue uraia wa nchi nyingine,ndio tumempa kibu na yupo taifa stars,tuongeze wengine wenye uwezo kuliko kibuKibu D na wachezaji watano waliokuwa SBS
Na stars pia kuna mwarabu bana
Roho yako nyeupe ukisikia Uganda...Na stars pia kuna mwarabu bana
Since when who which!!??? Hapanaaa!Roho yako nyeupe ukisikia Uganda...
Uganda wanaruhurusu uraia pacha; Tanzania hamna kitu hicho. In fact nchi zote kwenye jumuia ya Afrika ya Mashariki zinaruhusu uraia pacha ispokuwa Tanzania tu. Unakumbuka timu ya kikapu ya Sudani Kusini ilivyochachafya kwenye Olimpik ilhali wachazaji wake wote walikuwa ni raia wa wamarekani pia, na bado wanaishi k=na kuchezea timu mbalimbali za NBA Marekani.Uganda wamewabadilisha uraia wachezaji 2 mmoja toka ghana na mmoja toka nigeria,na imewalipa kwani goli la kusawazisha kafunga mnigeria ikpeazu, aliyepewa uraia wa uganda.Nasi tuige hiyo mbinu
Tanzania ni ka nchi flani hivi kakidwanzi sana, kana viongozi wa hovyo imagine karne hii bado wanaogopa kutoa duo citizenship ilihali raia wake wametapakaa duniani kote na wana vizazi hukoUganda wanaruhurusu uraia pacha; Tanzania hamna kitu hicho. In fact nchi zote kwenye jumuia ya Afrika ya Mashariki zinaruhusu uraia pacha ispokuwa Tanzania tu. Unakumbuka timu ya kikapu ya Sudani Kusini ilivyochachafya kwenye Olimpik ilhali wachazaji wake wote walikuwa ni raia wa wamarekani pia, na bado wanaishi k=na kuchezea timu mbalimbali za NBA Marekani.
Mwarabu yupi?Na stars pia kuna mwarabu bana
kwahiyo tatizo ni lipi?Hamjui chanzo Cha tatizo, Sasa hivi wachezaji wengi wanaotamba ni matundanya Kim Poulsen
hakuna shida nenda vanuatuwakati hao wanatamani kupewa uraia wa bongo
mimi natafuta mahali niende nikaukane huo uraia
Wewe umepajuaje Vanuatu?hakuna shida nenda vanuatu
Uganda wamewabadilisha uraia wachezaji 2 mmoja toka ghana na mmoja toka nigeria,na imewalipa kwani goli la kusawazisha kafunga mnigeria ikpeazu, aliyepewa uraia wa uganda.Nasi tuige hiyo mbinu
Sisi tunatoa Milioni 100 kwa timu ya taifa πUganda wamewabadilisha uraia wachezaji 2 mmoja toka ghana na mmoja toka nigeria,na imewalipa kwani goli la kusawazisha kafunga mnigeria ikpeazu, aliyepewa uraia wa uganda.Nasi tuige hiyo mbinu