Uganda wanaruhurusu uraia pacha; Tanzania hamna kitu hicho. In fact nchi zote kwenye jumuia ya Afrika ya Mashariki zinaruhusu uraia pacha ispokuwa Tanzania tu. Unakumbuka timu ya kikapu ya Sudani Kusini ilivyochachafya kwenye Olimpik ilhali wachazaji wake wote walikuwa ni raia wa wamarekani pia, na bado wanaishi k=na kuchezea timu mbalimbali za NBA Marekani.