Acha uvivu wa kusoma nenda kapitie ilani ya chadema ina kurasa 100 kama na 10 tuu ndio urudi kuja kubishina na mimiHivi una ushahidi gani unaposema Tudu Lissu aliweka madini yetu rehani?
Au 'mumeo' anakuletea stories za 'umbea' hapo koridoni Lumumba na wewe unakuja kushupaza shingo humu JF?
Pamoja na kichwa chako kujaza madadu no bora nikupigie wewe kura lakini siyo Jiwe.Kweli heri apigie Tundu akaishi ubelgiji maana Tundu ni mbelgiji tayari
Ni wazi kwamba kama hukujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, hauna sifa ya kushiriki zoezi hilo. Na hapa ndipo CCM wamekua mabingwa wa kuvuna ushindi kwa njia nyepesi Sana. Tofauti na vyama vingine CCM wanawekeza sana kushawishi watu wao kujiandikisha, ambapo wale mabalozi wa Nyumba kumi hupita kwa wabibi, wazee walevi pamoja na wale wanaowajua kuwa ni watu wao.
Hili ni kundi kubwa sana la wapiga kura ambalo CCM imelitumia kujibakisha madarakani kila uchaguzi. Hawa ni watu wanaopiga kura kwa mazoea, hawajui cha sera ilani wala ubora wa chama, hawana uwezo wa kupambanua mambo, wao ni kuangalia tu kijani iko wapi na kupiga tiki.
CCM wanatumia nguvu nyingi sana kuhakikisha kua hawa watu wao wanajiandikisha kipindi cha uandikishaji, na kuzirekodi kabisa zile kadi zao za kupigia kura. Kufuatia utaratibu huu uliozoeleka kwa CCM, katika kipindi hiki cha kampeni majukumu huwa rahisi kwani licha ya kutegemea mikutano inayojaza sana vijana ambao wengi wao hata hawajajiandikisha, wanatumia muda huu kuwapitia wale watu wao wa uhakika ili kuwakumbusha na kuwasisitiza kua siku ya uchaguzi watoke kupiga kura na si tu kupiga kura lakini wapigie CCM
Hutaki bibi yako akawe mwanafamilia wa amstadam?Pamoja na kichwa chako kujaza madadu no bora nikupigie wewe kura lakini siyo Jiwe.
Lissu ndiye Rais wetu ajaye
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Wewe unayetuhumu kuwa Tundu Lissu kaweka/aliweka madini yetu rehani kwa mabeberu ndio 'ubandike' hapa hizo unazosema ilani whatever!Acha uvivu wa kusoma nenda kapitie ilani ya chadema ina kurasa 100 kama na 10 tuu ndio urudi kuja kubishina na mimi
Mume wangu hana stories na wala mimi sipokeagi story za umbea wala kuongea kitu nisichokijua kama wewe. Acha kuwa kasuku
2810Wewe unayetuhumu kuwa Tundu Lissu kaweka/aliweka madini yetu rehani kwa mabeberu ndio 'ubandike' hapa hizo unazosema ilani whatever!
Mnakuja na shutuma za 'kizushi na kubumba' mwisho wa siku hakuna mnachoambulia.!
Pathetic!!
Kitekino f tatu Mimi shemeji yake nilimnunulia sasa naona anatamba hapaSimu unayotumia inawakilisha wewe ni mtu wa aina gani, usichukulie tusi mkuu
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Matusi ya nini badala ya kuomba eidha ushahidi au kama unajua taofauti na alivyosema na wewe uweke hapa,Utakuwa philosopher mjinga sana wewe na mwenye tumbo kubwa lilojaa dhuluma na damu za watu.
Walipotawala hao wazungu walikufaidisha na nini zaidi ya kujenga reli walizotumia kuhamisha mali zetu??? Nyerere aliwatimua kabla hawajamaliza kutupora baadae wakarudi wakijadai wawekezaji wakaua kila kitu sasa John Pombe Magufuli amewabana wameamua wamtumie Tundu. Na huyu Tundu anataka awabadhi madini wapaki midege yao wabebe yakiisha watuachie shida zetukipi bora madini yabaki hivihivi lakini wachache wafaidi au waingie wawekezaji wengi tufaidi?
Kasome ILANI yenu ya chadema ukurasa namba 84,85 ndo utajua kumbe nyie ndo mna mabwana huko nje.Hivi una ushahidi gani unaposema Tudu Lissu aliweka madini yetu rehani?
Au 'mumeo' anakuletea stories za 'umbea' hapo koridoni Lumumba na wewe unakuja kushupaza shingo humu JF?
Serikali hi tena ya CCM ndiyo iliwaleta tena hawa mabeberu kwa kivuli cha uwekezajiWalipotawala hao wazungu walikufaidisha na nini zaidi ya kujenga reli walizotumia kuhamisha mali zetu??? Nyerere aliwatimua kabla hawajamaliza kutupora baadae wakarudi wakijadai wawekezaji wakaua kila kitu sasa John Pombe Magufuli amewabana wameamua wamtumie Tundu. Na huyu Tundu anataka awabadhi madini wapaki midege yao wabebe yakiisha watuachie shida zetu
Serikali ya Magufuli ikavunja mikataba na kuwatimulia mbali 🔥🔥🔥Serikali hi tena ya ccm ndiyo iliwaleta tena hawa mabeberu kwa kivuli cha uwekezaji
Kweli ccm kichwa cha mwendawazimu
IlaSerikali ya Magufuli ikavunja mikataba na kuwatimulia mbali 🔥🔥🔥
Halafu mtetezi wao Tundu anawaita aje wagawane madini 😎😎
Maneno ya mkosaji 😂😂😂😂😂😂Ila
Inasemekana haohao mabeberu bado ndy wanachimba madini na kuondoka nayo,halafu Sisi tunapema mchanga {makinikia}!
Nawazungumzia Accacia na GGM inasemekana ndy maalwatan wa kuchimba dhahabu Sisi tunaambulia makapi na mashimoManeno ya mkosaji 😂😂😂😂😂😂
Eti inasemekana😆😆😆😆