Mbinu za CCM zinazowaacha hoi wapinzani kila uchaguzi ukifika

Nawazungumzia Accacia na GGM inasemekana ndy maalwatan wa kuchimba dhahabu Sisi tunaambulia makapi na mashimo
Usiwe unaongea vitu usivyovijua, mambo ya kusikiasikia au kusemekana yafanyie utafiti kabla ya kuyasafirisha kwingine
 
Sawasawa mkuu
Kama nasisi waTanzania tunaweanza kichimba madini basi tupo vizuri na kura yangu Kwa ccm ila Kama bado hawa mnaowaita mabeberu ndiy wanachimba basi ccm by by mwaka huu
 
Ni wazi kwamba kama hukujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, hauna sifa ya kushiriki zoezi hilo. Na hapa ndipo CCM wamekua mabingwa wa kuvuna ushindi kwa njia nyepesi Sana. Tofauti na vyama vingine CCM wanawekeza sana kushawishi watu wao kujiandikisha, ambapo wale mabalozi wa Nyumba kumi hupita kwa wabibi, wazee walevi pamoja na wale wanaowajua kuwa ni watu wao.

Hili ni kundi kubwa sana la wapiga kura ambalo CCM imelitumia kujibakisha madarakani kila uchaguzi. Hawa ni watu wanaopiga kura kwa mazoea, hawajui cha sera ilani wala ubora wa chama, hawana uwezo wa kupambanua mambo, wao ni kuangalia tu kijani iko wapi na kupiga tiki.

CCM wanatumia nguvu nyingi sana kuhakikisha kua hawa watu wao wanajiandikisha kipindi cha uandikishaji, na kuzirekodi kabisa zile kadi zao za kupigia kura. Kufuatia utaratibu huu uliozoeleka kwa CCM, katika kipindi hiki cha kampeni majukumu huwa rahisi kwani licha ya kutegemea mikutano inayojaza sana vijana ambao wengi wao hata hawajajiandikisha, wanatumia muda huu kuwapitia wale watu wao wa uhakika ili kuwakumbusha na kuwasisitiza kua siku ya uchaguzi watoke kupiga kura na si tu kupiga kura lakini wapigie CCM
Jitu linakua liongo kama takataka

Hao wazee ndio asimilia ngapi ya wapiga kura?Wazee ni kuanzia miaka mingapi mpaka mingapi?

Wazee kuanzia miaka 55-100 ni wachache less than 12% ya wapiga kura..the rest toka 18-54 ndio wapiga kura wengi kabisa....

CCM haiwaambii lolote hiyo age bracket....CCM inajua hili na ndio maana wanapaniki kila siku wanapoangalia hesabu zao...

Wangekua na namba nzuri hivyo unavyodhani,wasingekua na muda wa kumsumbua lissu kwa lolote...

Siasa huko CCM alikua anaweza Kikwete tu,wengine nyote maiti watupu and this time around lazima mpigwe kadhaa za uso
 
Ni wazi kwamba kama hukujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, hauna sifa ya kushiriki zoezi hilo. Na hapa ndipo CCM wamekua mabingwa wa kuvuna ushindi kwa njia nyepesi Sana. Tofauti na vyama vingine CCM wanawekeza sana kushawishi watu wao kujiandikisha, ambapo wale mabalozi wa Nyumba kumi hupita kwa wabibi, wazee walevi pamoja na wale wanaowajua kuwa ni watu wao.

Hili ni kundi kubwa sana la wapiga kura ambalo CCM imelitumia kujibakisha madarakani kila uchaguzi. Hawa ni watu wanaopiga kura kwa mazoea, hawajui cha sera ilani wala ubora wa chama, hawana uwezo wa kupambanua mambo, wao ni kuangalia tu kijani iko wapi na kupiga tiki.

CCM wanatumia nguvu nyingi sana kuhakikisha kua hawa watu wao wanajiandikisha kipindi cha uandikishaji, na kuzirekodi kabisa zile kadi zao za kupigia kura. Kufuatia utaratibu huu uliozoeleka kwa CCM, katika kipindi hiki cha kampeni majukumu huwa rahisi kwani licha ya kutegemea mikutano inayojaza sana vijana ambao wengi wao hata hawajajiandikisha, wanatumia muda huu kuwapitia wale watu wao wa uhakika ili kuwakumbusha na kuwasisitiza kua siku ya uchaguzi watoke kupiga kura na si tu kupiga kura lakini wapigie CCM

Ccm hawana mbinu yoyote zaidi ya kutegemea madaraka ya urais ambapo mwenyekiti wake mara nyingi huwa ni rais wa nchi. Kutokana na udhaifu wa katiba yetu, anaweza kuagiza taasisi yoyote ya kimamlaka kufanya kwa maslahi ya ccm. Hapa ndio unakuta tume ya uchaguzi, na vyombo vyote vya dola vikifanya kazi kwa maslahi ya ccm. Usishangae ukikutana na cdf akikimbia na mabox ya kura kwenda kujaza kura za ccm.
 
Utakuwa philosopher mjinga sana wewe na mwenye tumbo kubwa lilojaa dhuluma na damu za watu.
Ukitaka kujua tuna watu wajinga sana Tanzania, angalia hapa. Lowassa aliposema Elimu! Elimu! Ndo naelewa sasa. Yaani umeandika huu upupu eti kuna watu wamekupa like.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Pumbu wewe unaongea kiza hiki hii ni karne ya 21, kama tangia uhuru ccm kujenga flyover unaosha hii ni hongera na ni weakness kubwa. Miaka yote ccm imeongoza nchi ilishindwa kufanya hayo na isitoshe shirika la ndege lilikufa chini yao this only proves them wrong for this generation!!
Ni wazi kwamba kama hukujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, hauna sifa ya kushiriki zoezi hilo. Na hapa ndipo CCM wamekua mabingwa wa kuvuna ushindi kwa njia nyepesi Sana. Tofauti na vyama vingine CCM wanawekeza sana kushawishi watu wao kujiandikisha, ambapo wale mabalozi wa Nyumba kumi hupita kwa wabibi, wazee walevi pamoja na wale wanaowajua kuwa ni watu wao.

Hili ni kundi kubwa sana la wapiga kura ambalo CCM imelitumia kujibakisha madarakani kila uchaguzi. Hawa ni watu wanaopiga kura kwa mazoea, hawajui cha sera ilani wala ubora wa chama, hawana uwezo wa kupambanua mambo, wao ni kuangalia tu kijani iko wapi na kupiga tiki.

CCM wanatumia nguvu nyingi sana kuhakikisha kua hawa watu wao wanajiandikisha kipindi cha uandikishaji, na kuzirekodi kabisa zile kadi zao za kupigia kura. Kufuatia utaratibu huu uliozoeleka kwa CCM, katika kipindi hiki cha kampeni majukumu huwa rahisi kwani licha ya kutegemea mikutano inayojaza sana vijana ambao wengi wao hata hawajajiandikisha, wanatumia muda huu kuwapitia wale watu wao wa uhakika ili kuwakumbusha na kuwasisitiza kua siku ya uchaguzi watoke kupiga kura na si tu kupiga kura lakini wapigie CCM
 
Ni wazi kwamba kama hukujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, hauna sifa ya kushiriki zoezi hilo. Na hapa ndipo CCM wamekua mabingwa wa kuvuna ushindi kwa njia nyepesi Sana. Tofauti na vyama vingine CCM wanawekeza sana kushawishi watu wao kujiandikisha, ambapo wale mabalozi wa Nyumba kumi hupita kwa wabibi, wazee walevi pamoja na wale wanaowajua kuwa ni watu wao.

Hili ni kundi kubwa sana la wapiga kura ambalo CCM imelitumia kujibakisha madarakani kila uchaguzi. Hawa ni watu wanaopiga kura kwa mazoea, hawajui cha sera ilani wala ubora wa chama, hawana uwezo wa kupambanua mambo, wao ni kuangalia tu kijani iko wapi na kupiga tiki.

CCM wanatumia nguvu nyingi sana kuhakikisha kua hawa watu wao wanajiandikisha kipindi cha uandikishaji, na kuzirekodi kabisa zile kadi zao za kupigia kura. Kufuatia utaratibu huu uliozoeleka kwa CCM, katika kipindi hiki cha kampeni majukumu huwa rahisi kwani licha ya kutegemea mikutano inayojaza sana vijana ambao wengi wao hata hawajajiandikisha, wanatumia muda huu kuwapitia wale watu wao wa uhakika ili kuwakumbusha na kuwasisitiza kua siku ya uchaguzi watoke kupiga kura na si tu kupiga kura lakini wapigie CCM
Mkuu
Nadhani umesahau baadhi ya mbinu nyengine kama hizi kwenye hii video hapa chini

Back
Top Bottom