Mbinu za CCM zinazowaacha hoi wapinzani kila uchaguzi ukifika

Tundu hataki kusema wanaompa pesa basi hizo pesa ni haramu. Mwenyekiti Mbowe akamatie hapohapo akicheza chama kinakufa hicho mwenzie ana makazi ya kudumu ubelgiji
 
Hivi una ushahidi gani unaposema Tudu Lissu aliweka madini yetu rehani?

Au 'mumeo' anakuletea stories za 'umbea' hapo koridoni Lumumba na wewe unakuja kushupaza shingo humu JF?
Acha uvivu wa kusoma nenda kapitie ilani ya chadema ina kurasa 100 kama na 10 tuu ndio urudi kuja kubishina na mimi
Mume wangu hana stories na wala mimi sipokeagi story za umbea wala kuongea kitu nisichokijua kama wewe. Acha kuwa kasuku
 
Mimi ni mwana CCM mwenzako, ila sisi CCM hatujawahi kuwa na mbinu zisizohusisha vyombo vya ulinzi na usalama. Siku tukikosa hiyo backing, tutaondolewa kwa aibu.

Ndiyo maana kule USA kuna wakati kupiga kura ilibidi uwe na kiwango fulani cha elimu na akili ili uruhusiwe. Sasa CCM inashawishi vibibi, vibabu na walevi ndiyo waipigie kura. Mnajua kabisa hayo ni makundi ambayo hayawezi kupambanua mambo ndiyo maana mnayatumia kujibakiza madarakani kwa gharama kubwa ya wengine
 
Acha uvivu wa kusoma nenda kapitie ilani ya chadema ina kurasa 100 kama na 10 tuu ndio urudi kuja kubishina na mimi
Mume wangu hana stories na wala mimi sipokeagi story za umbea wala kuongea kitu nisichokijua kama wewe. Acha kuwa kasuku
Wewe unayetuhumu kuwa Tundu Lissu kaweka/aliweka madini yetu rehani kwa mabeberu ndio 'ubandike' hapa hizo unazosema ilani whatever!

Mnakuja na shutuma za 'kizushi na kubumba' mwisho wa siku hakuna mnachoambulia.!
Pathetic!!
 
2810
 
Ma
Utakuwa philosopher mjinga sana wewe na mwenye tumbo kubwa lilojaa dhuluma na damu za watu.
Matusi ya nini badala ya kuomba eidha ushahidi au kama unajua taofauti na alivyosema na wewe uweke hapa,
Tabia zenu mnajifunza tabia mbaya ya mgombea wenu, tharau matusi na kujiona bora zaidi ya watanzania wote,
Jibu hoja kama huna kaa kimya, hutadaiwa.
 
kipi bora madini yabaki hivihivi lakini wachache wafaidi au waingie wawekezaji wengi tufaidi?
Walipotawala hao wazungu walikufaidisha na nini zaidi ya kujenga reli walizotumia kuhamisha mali zetu??? Nyerere aliwatimua kabla hawajamaliza kutupora baadae wakarudi wakijadai wawekezaji wakaua kila kitu sasa John Pombe Magufuli amewabana wameamua wamtumie Tundu. Na huyu Tundu anataka awabadhi madini wapaki midege yao wabebe yakiisha watuachie shida zetu
 
Ka
Hivi una ushahidi gani unaposema Tudu Lissu aliweka madini yetu rehani?

Au 'mumeo' anakuletea stories za 'umbea' hapo koridoni Lumumba na wewe unakuja kushupaza shingo humu JF?
Kasome ILANI yenu ya chadema ukurasa namba 84,85 ndo utajua kumbe nyie ndo mna mabwana huko nje.
Madini hyatawekwa dhamana hata siku moja.
 
Serikali hi tena ya CCM ndiyo iliwaleta tena hawa mabeberu kwa kivuli cha uwekezaji

Kweli CCM kichwa cha mwendawazimu
 
Serikali hi tena ya ccm ndiyo iliwaleta tena hawa mabeberu kwa kivuli cha uwekezaji

Kweli ccm kichwa cha mwendawazimu
Serikali ya Magufuli ikavunja mikataba na kuwatimulia mbali πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Halafu mtetezi wao Tundu anawaita aje wagawane madini 😎😎
 
Serikali ya Magufuli ikavunja mikataba na kuwatimulia mbali πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Halafu mtetezi wao Tundu anawaita aje wagawane madini 😎😎
Ila
Inasemekana haohao mabeberu bado ndy wanachimba madini na kuondoka nayo,halafu Sisi tunapema mchanga {makinikia}!
 
Ila
Inasemekana haohao mabeberu bado ndy wanachimba madini na kuondoka nayo,halafu Sisi tunapema mchanga {makinikia}!
Maneno ya mkosaji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Eti inasemekanaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Maneno ya mkosaji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Eti inasemekanaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Nawazungumzia Accacia na GGM inasemekana ndy maalwatan wa kuchimba dhahabu Sisi tunaambulia makapi na mashimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…