Usiwe unaongea vitu usivyovijua, mambo ya kusikiasikia au kusemekana yafanyie utafiti kabla ya kuyasafirisha kwingineNawazungumzia Accacia na GGM inasemekana ndy maalwatan wa kuchimba dhahabu Sisi tunaambulia makapi na mashimo
Sawasawa mkuuUsiwe unaongea vitu usivyovijua, mambo ya kusikiasikia au kusemekana yafanyie utafiti kabla ya kuyasafirisha kwingine
Jitu linakua liongo kama takatakaNi wazi kwamba kama hukujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, hauna sifa ya kushiriki zoezi hilo. Na hapa ndipo CCM wamekua mabingwa wa kuvuna ushindi kwa njia nyepesi Sana. Tofauti na vyama vingine CCM wanawekeza sana kushawishi watu wao kujiandikisha, ambapo wale mabalozi wa Nyumba kumi hupita kwa wabibi, wazee walevi pamoja na wale wanaowajua kuwa ni watu wao.
Hili ni kundi kubwa sana la wapiga kura ambalo CCM imelitumia kujibakisha madarakani kila uchaguzi. Hawa ni watu wanaopiga kura kwa mazoea, hawajui cha sera ilani wala ubora wa chama, hawana uwezo wa kupambanua mambo, wao ni kuangalia tu kijani iko wapi na kupiga tiki.
CCM wanatumia nguvu nyingi sana kuhakikisha kua hawa watu wao wanajiandikisha kipindi cha uandikishaji, na kuzirekodi kabisa zile kadi zao za kupigia kura. Kufuatia utaratibu huu uliozoeleka kwa CCM, katika kipindi hiki cha kampeni majukumu huwa rahisi kwani licha ya kutegemea mikutano inayojaza sana vijana ambao wengi wao hata hawajajiandikisha, wanatumia muda huu kuwapitia wale watu wao wa uhakika ili kuwakumbusha na kuwasisitiza kua siku ya uchaguzi watoke kupiga kura na si tu kupiga kura lakini wapigie CCM
Wajinga wameanza kupungua kidogo nchini. Huu wako nao ni ujinga, jihesabu mko wachache sana!Kweli heri apigie Tundu akaishi ubelgiji maana Tundu ni mbelgiji tayari
Usiache wenu na ujinga uliokithiri utaujua baada ya siku21Wajinga wameanza kupungua kidogo nchini. Huu wako nao ni ujinga, jihesabu mko wachache sana!
Ni wazi kwamba kama hukujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, hauna sifa ya kushiriki zoezi hilo. Na hapa ndipo CCM wamekua mabingwa wa kuvuna ushindi kwa njia nyepesi Sana. Tofauti na vyama vingine CCM wanawekeza sana kushawishi watu wao kujiandikisha, ambapo wale mabalozi wa Nyumba kumi hupita kwa wabibi, wazee walevi pamoja na wale wanaowajua kuwa ni watu wao.
Hili ni kundi kubwa sana la wapiga kura ambalo CCM imelitumia kujibakisha madarakani kila uchaguzi. Hawa ni watu wanaopiga kura kwa mazoea, hawajui cha sera ilani wala ubora wa chama, hawana uwezo wa kupambanua mambo, wao ni kuangalia tu kijani iko wapi na kupiga tiki.
CCM wanatumia nguvu nyingi sana kuhakikisha kua hawa watu wao wanajiandikisha kipindi cha uandikishaji, na kuzirekodi kabisa zile kadi zao za kupigia kura. Kufuatia utaratibu huu uliozoeleka kwa CCM, katika kipindi hiki cha kampeni majukumu huwa rahisi kwani licha ya kutegemea mikutano inayojaza sana vijana ambao wengi wao hata hawajajiandikisha, wanatumia muda huu kuwapitia wale watu wao wa uhakika ili kuwakumbusha na kuwasisitiza kua siku ya uchaguzi watoke kupiga kura na si tu kupiga kura lakini wapigie CCM
Ukitaka kujua tuna watu wajinga sana Tanzania, angalia hapa. Lowassa aliposema Elimu! Elimu! Ndo naelewa sasa. Yaani umeandika huu upupu eti kuna watu wamekupa like.Utakuwa philosopher mjinga sana wewe na mwenye tumbo kubwa lilojaa dhuluma na damu za watu.
Ni wazi kwamba kama hukujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, hauna sifa ya kushiriki zoezi hilo. Na hapa ndipo CCM wamekua mabingwa wa kuvuna ushindi kwa njia nyepesi Sana. Tofauti na vyama vingine CCM wanawekeza sana kushawishi watu wao kujiandikisha, ambapo wale mabalozi wa Nyumba kumi hupita kwa wabibi, wazee walevi pamoja na wale wanaowajua kuwa ni watu wao.
Hili ni kundi kubwa sana la wapiga kura ambalo CCM imelitumia kujibakisha madarakani kila uchaguzi. Hawa ni watu wanaopiga kura kwa mazoea, hawajui cha sera ilani wala ubora wa chama, hawana uwezo wa kupambanua mambo, wao ni kuangalia tu kijani iko wapi na kupiga tiki.
CCM wanatumia nguvu nyingi sana kuhakikisha kua hawa watu wao wanajiandikisha kipindi cha uandikishaji, na kuzirekodi kabisa zile kadi zao za kupigia kura. Kufuatia utaratibu huu uliozoeleka kwa CCM, katika kipindi hiki cha kampeni majukumu huwa rahisi kwani licha ya kutegemea mikutano inayojaza sana vijana ambao wengi wao hata hawajajiandikisha, wanatumia muda huu kuwapitia wale watu wao wa uhakika ili kuwakumbusha na kuwasisitiza kua siku ya uchaguzi watoke kupiga kura na si tu kupiga kura lakini wapigie CCM
MkuuNi wazi kwamba kama hukujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, hauna sifa ya kushiriki zoezi hilo. Na hapa ndipo CCM wamekua mabingwa wa kuvuna ushindi kwa njia nyepesi Sana. Tofauti na vyama vingine CCM wanawekeza sana kushawishi watu wao kujiandikisha, ambapo wale mabalozi wa Nyumba kumi hupita kwa wabibi, wazee walevi pamoja na wale wanaowajua kuwa ni watu wao.