Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

Aiseee mambo ya edward snowden haya sio poa!, kaka kwa elimu uliyokuwa nayo unaweza ukajipatia utajiri mkubwa sana, na pia unaweza ukawa mareheemu πŸ˜‚ kwa sec so, kama utaweza anza kuwafundisha ma IT wetu wajue mifumo inchi ikuwe
 
Ila umenikumbusha mbali daah kidogo niagane na Dunia kwa upuuz huu sema mm nilipewa access then nikawa nai control mwenyew ilikuwa Noma Sana....
Akimaliza tu jamaa utaendelea ya kwako endelea kuiandaa vzr kabisa mkuu
 
Aiseee mambo ya edward snowden haya sio poa!, kaka kwa elimu uliyokuwa nayo unaweza ukajipatia utajiri mkubwa sana, na pia unaweza ukawa mareheemu πŸ˜‚ kwa sec so, kama utaweza anza kuwafundisha ma IT wetu wajue mifumo inchi ikuwe
Mie mweupe sana, wapo magwiji...
 
Aiseeeeeeee kisa utelezi tu unahangaika hivyo
 
πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰ Siku moja nikiwa restaurant nmetulia Zang akaingia pisi Kali imetulia haswaaa basi mwamba nkaamua nijisogeze kidg kwak nipate kampan daaah kwel Pisi ilinielewa na kwa dakik kadhaa tu niliopoa Mtoto basi ikabidi nipange namna nakapige show na DEMU mwenyew alinipa go ahead.......nilpiga show ya kibabe ila baada ya siku mbili Nilianza kuona kitu kama Usaha inatoka kwenye DUDE na muwasho kwa wingiiii ile kwenda kupima nkaandikiwa sindano tatu na vidonge za AZUMAAAA......pisi Kali kaniponza
 
Ulitembelea Rim..
 
Aiseee mambo ya edward snowden haya sio poa!, kaka kwa elimu uliyokuwa nayo unaweza ukajipatia utajiri mkubwa sana, na pia unaweza ukawa mareheemu kwa sec so, kama utaweza anza kuwafundisha ma IT wetu wajue mifumo inchi ikuwe
hawatoag ovyo akijitahd anakufundisha ovyo ovyo na penyewe akifka gheto anaanza kujuta kwanini kakufundisha, nasema uongo uncle Gentlemen_ ?
 
πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…