The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Kumepoa sana ngoja niwape yangu.
Mimi sio hodari wa kumsimamisha mdada barabarani nikaomba namba mara ya mwisho nlifanya hivyo pale Fanon LT nikaambuliwa kufyonywa.
Tuendelee,last week nlikuwa na mishe mjini, nikasogea hadi Mbezi terminal nidake Mwendokasi, watumiaji wa mwendokas mnajua kale kafoleni kalivyo.
Mbele yangu alikuwepo bidada sio mfupi ni wastan height black beauty hivi, kavalia sketi nyeusi mnaita nisitiri mwenzio.
Nikakaa nyuma yake, pembeni yake alikuwa na shangazi kaja kubwa kila folen ikitembea na yeye anatembea.
Huko nyuma kafungasha mashaallah ,kila akiinama kubeba shangaz kaja ananigusisha booty yake kwa nyuma.
[emoji3]Nikaona nifanye move, nikamwambia vp nikusaidie mzigo mmoja, akageuka akacheka hakujibu, hapo folen inasogea mdogo mdogo, nikamwambia acha nikusaidie, kweli mimi ndio nikawa incharge wa kusogeza zigo.
Tukaendelela na story akanipa jina lake, na kuwa katoka Luguruni anaenda Morocco, story kadhaa , nikachek mkonon alikuwa amevaa wrist band ya makolo, nikamtania leo mechi na singida au geita (ile mechi simba wanashinda 3) hamtoboi, tukabishana pale hadi jamaa mmoja alikuwa mbele yetu akaanza nayeye kuchagia . Tukamkataa kiaina.
Tukazidi sogea, nlipoona yupo comfortable na Mimi, nikamuomba namba sasa akaandika yangu nikaandika yake, nikamwambia anisevu mbeba mizigo.
Kufupisha story tuliinjoi sana safar yetu, akaniachia simu yake nikawa na cheki video zake za TikTok na gallery akanionesha na account yake, nikamwambia mzigo mwingine huu hapa, nikionesha moja ya picha zake akiwa kaonesha boot, hapo anaona aibu. Story nyingi za uongo kama mwanaume nikamwambia week ijayo na birthday kutakuwa na party so fanya kama unakuja kupendezesha kwa kudance, mtoto meno njee .
Kufika magomen mapipa sijui pale akashuka adake za kwenda morocco mie nikanyosha hadi mjini.
Nlimpa hi badae hakunijibu ndio ikawa mwisho wa ku engage nae.
Ukipata time TikTok tafuta Rehema Maiko , account ya pili kati ya zile zifungukazo, utakutana na video zake ikiwemo ya kuvaa jezi ya simba na zingine akidance.
#joking
Usiache ku like na ku mfollow[emoji16]