Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

Inaendelea
Rayns mawardat Tiffay Aaliyyah MIRA01 Statics


Baada ya kukusanya taarifa (Information harvesting) nilifanya processing na kuanda roadmap ya kunifikisha katika hitimisho la hili swala kwa kutumia umakini na akili ya hali ya juu.. nilifanyaje?

Ilipita muda kidogo, sikumbuki exactly ni siku ngapi ila ni kati ya mwezi au mwezi na nusu, yule Dada alipona na kurejea kwa Mumewe akiwa na hasira sana, pia Mumewe nae alikuwa na maswali kichwani kuhusu hiyo Mimba iliyotoka na kwanini alifichwa kama anaujauzito. Walienndelea na vikao kadhaa vya kifamilia ili kusuluhisha migogoro yao na lile jambo lisitokee tena. Kuna siku yule Dada alinitafuta kunijulia hali, niliongea nae mambo mengi sana kisha nikamuomba kama hatojali nionane nae.

Nakumbuka ilikuwa weekend aliomba ruhusa kwamba anaenda kwao (Ni maeneo ya Temeke), pia aliomba mumewe amsindikize, na kweli Mume wake waliongozana nae mpaka huko ukweni. Mie nilikuwa tayari nishaplan mishen yangu ya kuonana nae bila kuacha tracing points.

Baada ya kufika walikaa kidogo, Jamaa akaondoka ( Mama wa yule Dada alikuwa bado na kinyongo so jamaa kukaa muda mrefu pale ilikuwa ni ngumu), yule Dada alinitafuta na kuniambia tayari yupo kwao na Mume wake kashaondoka, nimtajie location tukutane.

Nilimwambia atulie kwanza ntamjulisha nilipo ila utaratibu ni ule ule aje kama alivyo asibebe yale niliyomkataza. Kweli na mie nilikuwa nipo sehemu tulivu na Pc yangu nikaingia katika mfumo, nikaona Jamaa yupo kinondoni anaitafuta Morocco nikajua moja kwa moja anaenda kwa Mke wake yule mwingine. basi nilizidi kuwa huru.. kutokana na maelekezo niliyompa yule Dada hakuchukua muda mrefu nae alifika exactly nilipomwambia afike, nilimfata na kuondoka nae lile eneo na kusogea eneo jingine.

Nilimuuliza nyumbani kaagaje? Aliniambia kuwa ameshamweleza Mama yake kila kitu kuhusu Mimi na kipi kinaendelea, maana Mama mtu alimbana aseme ukweli chanzo cha ugomvi pia kuhusu swala la Ujauzito kwanini hata yeye Mama mtu alifichwa? hivyo iliweka mashaka na maswali mengi ambayo ilipelekea kumbana aseme ukweli. Basi mie sikuwa na neno maana najua vifua vya Wanawake kwenye kutunza mambo mazito ni shida sana.

Tulispend muda mwingi kuongea mambo tofauti tofauti, muda huo nawaza naanzaje kumweleza yale niliyoyapanga kumweleza, nilimzuia kutumia alcohol ili awe na akili timamu tukiwa tunaongea, alinishangaa kwanini hiyo siku nimekuwa serious sana. nilimuuliza maswali mengi ila kubwa ni kuhusu Mume wake. Je ana Mke mwingine? aliniangalia na kuniona kama chizi vile yaani kivipi nauliza swali kama lile wakati yeye anavyohisi ni kwamba yupo mwenyewe tu. Nilimuuliza tena kama labda anahisi ana Wanawake au Mwanamke mwingine? akaniambia hilo swwala kwa Mume wake halipo, Mume wake ni mwaminifu sana. Alinirudishia swali kwanini nauliza hivyo? Mie sikuongea sana kwa kuwa nina Mkeka wangu nishauandaa nilimpa PC ajionee yeye Mwenyewe. Alikodoa macho palee nikaona anatetemeka tu mwili, mie muda huo nipo busy naangalia TV.

Nakumbuka yule Dada alikuwa kama kapata stroke... au kama mtu aliyepigwa shoti jinsi anavyotulia.. eeh. Nilimuita kama mara tatu hivi mpaka nikaamua kumtingisha ndipo alianza kulia sasa kama kuna msiba. Muda huo nilikuwa nimechukua room hotelini so haikuwa sehemu ya wazi. Nilimbembeleza sana.. hakunielewa akawa anasema lazima afe yeye au afe mume wake. Mie nilimbembeleza sana.. kuna muda ikabidi nimuache tu alie akichoka tukae tuongee. (Hapa ndio plan yangu nilitaka niingize).

Kweli, baada ya muda alitulia na kuniangalia tu, nilimuuliza kama yupo tayari niongee nae kitu cha msingi na nini cha kufanya kwa wkati huo. Aliniitikia kwa kichwa tu.

PLAN yangu ni hii:
Kwa kuwa Jamaa ameniharibia sana mambo yangu na Amani ya maisha yangu, vile vile alitaka kunidhuru bila kosa lolote lile hapo awali basi na mimi ni muda wangu wa kulipa kisasi, pia ni muda wa kumaliza hili swala mimi nibaki na Amani na yeye abaki na Amani (Kama ataenda sawa na yale nayoyataka).

1- Bank Details ninazo: hizi niliplan kumhamishia hela zote yule Dada kama itawezekana.
2- Nilipanga kumtumia yule Jamaa encrypted file (with the same passowrd alizokuwa anatumia ku decrypt zile picha) lenye ujumbe wangu kumwambia kila kitu alichokuwa anafanya nimekiona na najua na ushahidi ninao, aamue kusuka au kunyoa. Aache kunifatilia au nimuanike hadharani.
3- Akae akijua Mke wake tayari anajua kila kitu kuhusu yule Mke wake na watoto wake ambao hakutaka wajulikane, pamoja na wanawake wengine anaolala nao na kuwapangia nyumba maeneo tofauti tofauti.

Kwanini Hela zote nimuwekee yule Dada?
Binafsi sikutaka kabisa kujihusisha na fedha za yule Jamaa, pia nilikuwa na uhakika kabisa ile Ndoa ingekufa tu, hizo fedha zingemsaidia huyu Dada kuendelea na Maisha yake mapya huko mbeleni.

Nilihamishaje Fedha?
Katika ulimwengu wa mtandao kuna njia nyingi za kuhamisha fedha, ingawa ni hatari na ni rahisi sana kukamatwa au kubainika pia ni ngumu kuhamisha kiasi kikubwa cha fedha kwa wakati mmoja, mbinu niliyotumia ni kununua bank cards kwenye black market, nakumbuka nilinunua yenye currency ya USD only. nilinunua cards (accounts) mbili. kisha nikaingia kwenye bank ya jamaa na kuset automation ya transfer ya pesa. yes kuna Bank zina offer money transfer automation.

hii ni nini? Mfano una kampuni ina vibarua 20 kila siku inatakiwa uwe unawalipa kwa siku au kwa saa, hii ni usumbufu kuingia na kuwa unalipa mtu mmoja mmoja, so kwa kutumia feature ya Money transfer automation ni kwamba unafeed taarifa za account husika then unaset time frame, system inakuwa inatuma fedha kwa kiwango ulichoset kwenda kwenye account uliyoweka na kwa muda ulioelekeza, uzuri accounts zake zote zilikuwa zina convert currency juu kwa juu through VISA platform.

Niliweka kiwango fulani (Sitakitaja), hela zikawa zinaingia kwenye zile fake Bank accounts kwa muda wa siku mbili mfululizo.

Kwanini hajagundua mapema?
Ukiwa unatumia Monetary apps mfano hizi Banking apps unaweza kuingia kwenye mpangilio wa app na kuipunguzia baadhi ya fetures, mfano unaweza kuondoa notification feature.. yes, mtu/mhusika anakuwa hapati taarifa za uwizi au transactions zinazokuwa zinaendelea, mbili hizi apps haziruhusu kutumika katika simu mbili.. ni kwenye simu moja tu ambayo umeregister ndio itafungua (Ikiwa ni active session). kuna njia ya kuingia kwenye root folder la OS ya Simu husika na kufanya IMEI Dead recorn technique, jambo ambalo IMEI inapachikwa fake kwa muda so app ya Bank haitofungua session maana itataamua/kubaini kuwa hiyo Simu ni nyingine na sio ile simu iliyokuwa registered hapo mwanzo (System fooling).

Pia kuna njia nyingine nyingi kuandika sitamaliza leo, baasi baada ya kufanya hayo yote na kiwango nilichotarget kikiwa kimefanikiwa, nilizitakatisha kwa kuziingiza kwenye bitcoin account then nikawithdraw kwenye account nyingine ambayo nayo ni fake na mwisho kabisa nikaziingiza kwa yule Dada nae sikutumia account yake binafsi alitumia account ya Biashara ya familia yao, nilifanya hivyo ili kuondoa tracing points zote na hakuna ushahidi wowote hapo kati, alinishukuru sana sana, na akawa anasisitiza lazima aachane na yule Jamaa. Mie sikuwa na maoni zaidi ya kumwambia ataamua yeye atakavyotaka ila mie na yeye ndio tushamalizana aendelee na Maisha yake mapya na asifikirie kwamba tunaweza kuwa kama zamani, pia kuonana ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu maana sitataka kabisa kuwepo kwenye maisha yake.

Huku upande wa pili baada ya kutuma ule ujumbe kwa Jamaa hakunijibu siku hiyo hiyo, alikaa wiki nzima na kuniomba nionane nae face to face, Sikukubali kirahisi ila alinisihi sana nionane nae tuzungumze tuyamalize, nilimwelekeza nini anatakiwa kufanya na ni wapi nionane nae, nakumbuka ilibidi nisafiri Morogoro kuna sehemu nilipatarget ndio safe kwangu hata akidhuru basi na yeye hana maisha. tulionana na kuongea mambo mengi ila kuna mambo tuliwekeana makubaliano ambayo sitayaweka wazi. na Ishu yetu iliishia hivyo jamaa yeye anaendelea na mishe zake na mimi naendelea na harakati zangu imepita miaka miwili sasa.

Mwisho.
Aiseee..
 
Inaendelea..

Rayns mawardat Statics Tiffay MIRA01

Ilipita kama wiki 2 isiyokuwa na kashkash sana.. na mimi nilikuwa busy kusaidia kutunga UE vijana wakahangaike nayo. Nakumbuka ilikuwa jioni hivi ya Ijumaa moja, nikashangaa yule Dada kanitumia text na bahati nzuri PC nilikuwa sijaizima, basi ikabidi ni hold nichat nae. Alinieleza mambo mengi mara kanimiss na vitu kama hivyo, mie nikamwambia ni namna gani nimeteseka kwasababu yake, akaniambia nisijali mumewe kwa sasa yupo nje ya nchi kama siku tatu hivi zimepita, hivyo yupo free.

Mhh mie nikaona kama ni mtego hivi... nikamwambia sina hakika kama nachat na wewe. Akaniambia ni yeye kweli. Basi niliingia Google meeting nikaandaa link chap nikamtumia nikimwomba aingie muda huo. Bas kweli akaingia nikamuona (Tukawa tunaonana face to face) tuliongea mambo mengi sana na akafunguka ni jinsi gani mumewe ni Mnyama, na sahivi mapenzi yamepungua sana kwa pande zote mbili. Hana uhuru wowote, anafatwa fatwa na watu anachunguzwa sana haamini hata wafanyakazi wenzie wala hata mlinzi wa nyumbani. Kila mtu kwake anahisi ni wale wale tu wa kumchomesha na kumsemea mambo ya ukweli au hata yasiyo ya kweli.

Nilimuuliza yupo wapi.. akanijibu yupo kwake. Nikamuuliza tena akanihakikishia hilo, nikamuuliza mumewe anarudi lini? Akawa hana majibu, maana jamaa alisafiri bila kuaga na atarudi bila taarifa, yaani haeleweki.

Mie akili ikanicheza hapo...

Niliongea nae mambo mengine na story za hapa na pale ila asilimia kubwa nilimficha mambo yangu ikiwemo nafanya kazi wapi kwa sasa na makazi yangu na namba zangu za simu ambazo zipo hewani.

Aliniomba tuonane mapema sana kesho kama sitojali, mie nikawambia ni ngumu sana kumuamini. Ila kwa kuwa na mimi nishamjua ni nani napambana nae basi nikamweleza atulie kesho mchana tuwasiliane kama kawaida (Safari hii ni Google meeting) tu.


Basi, Mchana ulifika ilikuwa Jmos nakumbuka, niliingia ktk G.Meeting nikaona yupo active, nilimuuliza kama sehem X anaijua, akasema anapafahamu, nilimuomba aache gari aache kila kitu mpaka pochi yake aache aje yeye na nguo zake tu hadi hereni na cheni aache, hata saa ya mkononi aache na viatu avae slippers tu asivae viatu vyenye soli ngumu.

Ni hivi: Tracking devices zinawekwa katika sehemu nyingi ikiwemo ktk soli za viatu, ndani ya kava la funguo.. yeah.. wewe unaweza dhani mjanja ukapaki gari mbali ukaondoka na funguo kumbe hiyo funguo ndio ina hicho kidude (Transponder) itakayokuexpose ktk mfumo.. pia hata cheni na hereni.. etc, fatilia Airport ukaguzi wao, mpaka viatu utavua.. unafkiri wanataka waone ndani ya kiatu pekee? Hapana ndio maana unakiingiza kiatu katik Scanner ili kama kuna any electronic device ipatikane au itambulike.

Basi, yule Dada alinielewa nikamwambia asichukue Bodaboda, achukue Daladala, alifanya hivyo alishuka katika Daladala sehemu niliyopo (Bila yeye kujua) nikawa namfata kwa nyuma huku nikiangalia kama kuna mtu mwingine anafatilia movements zetu, nilikaa usawa wake wa kulia kama mtu ambae anataka kumpita, nikamuongelesha kwa utaratibu nikimpa maelekezo ya kunifata kwa nyuma ninapokuwa napita. Akafanya hivyo baada ya kukunja kona mbili tatu, nilikuwa nishaandaa bodaboda pale tukapanda na kuondoka eneo lile mpaka eneo nalokaa.

Tulifika hapo, (Sio mbali) nikamuomba akaribie ndani. Akaingia.. na tukaanza kuongea na kutaniana, hapa nilikuwa nipo na amani maana ni sehemu ambayo ipo very secured. Ndani ya geti na kuna uwanja mpana ni pakubwa kuna apartment's tatu ndani na watu wote wanajielewa na ni watu ambao wapo single hawana familia.
Basi, nilimkaribisha kinywaji, akapata na chakula.. tukawa tupo tu tunacheck movies pale, ghafla akaanza kupunguza nguo eti anaskia joto, alianza na kibrauzi alichovaa akafata na jeans.. akaw kabaki na chupi tu (kuna aina fulan ya chupi zile za mikanda mikanda..) ewaa.. hizo hizo.

Mie muda huo nipo ndani ya kipensi changu cha jeshi jeshi.. juu vest tu, ghafla nikashangaa mtu ananiambia anaskia usingizi anataka kulala, kucheck muda naona jion hii inaingia huyu akilala atarud kwake saa ngapi?.. nikamwambia kulala unajiamini nini? Jiandae urudi home mida ishasogea sana hii. Nikaona kabadirika pale akawa kama kasusa, kavaa nguo zake haraka haraka anataka kutoka nje. Mie nikamuwahi.. nikamweleza ni vipi nimeteseka na bado mambo bado ni mabichi hata sijui nasolve vip hii shida then anataka kuchochea moto huko nyumbani. Nikamwambia awe makini mumewe mwenyewe hatabiriki, anaweza asinidhuru mimi ila akamdhuru yeye..

Akanielewa akasema nimsindikize kituoni ila atleast basi nimkiss, basi nikamuomba aingie ndani tuongelee hayo mambo ndani, akaingia tukakaa kitandani, mtoto akaanza kunipa Mate.. chezeana sana mate mule ndani.. na mie nikaona huyu hapana wacha nimchape nao. Nakumbuka ilikuwa saa 10 jioni ile.. tuliperekeshana mpaka saa 1 usiku. Ila jamani kuna wanawake watamu sana, kwanza msafi yaani K yake ni kama cake yaan hata harufu unaskia kabisa hii kweli K.

Naona wadau mnataka mjue process ilikuwaje mpaka nikala tunda sio? Ni hivi baada ya kupiga mate lita kazaa, nilishuka kitovuni nikakutana na kipini, nikashuka kiunoni nikakutana na Chain (Achaneni na mashanga kama ya waganga) kuna cheni zipo zile anazovaa SHAKIRA, naaam... kucheck na ile chupi sijui bikini yenye mikanda mikanda mie hoi..

Nilmtania nikamwambia lakini si nimekukataza usije na chain akasema hata hii?? Mhhh niue tu kwa kukiuka sheria zako Baba.. hahah, mie sikupoteza muda zaid ya kumpindua kifo cha mende miguu nikaweka begani, nikapeleka mdomo shingoni, nikashusha mdomo kwenye chuchu.. ghafala nikaskia tu mkono unanipapasa kiunoni (Anatafuta Mkongojo), basi bhana akaupata Mkwaju, akataka auingize kumbe lahaula chupi haijavuliwa.... nikamwambia usiwe na kiu kiasi hicho.. tuliaaa.

Nilisogeza ile chupi pembeni yaani nyuzi 90° kwa ustadi wa hali ya juu na kuudidimiza Mkwaju, navyokumbuka alipiga ukunga wa utamu.. na kunikumbatia kwa nguvuu sana.. mie sina hiyana, nilipeleka moto wa kawaida wa nenda kwa usalama yaani sikutaka kupigwa tochi ya mwendokasi.. hapana niliheshimu vibao vya barabarani.. kwenye 30 naenda 30 kwenye 50 naenda 50.. kwenye tuta naminya breki.. kwenye zebra nasimama watu wavuke.. naaaam.

Nakumbuka mashine ilibadirika rangi na yote ikawa kama imechomekwa kwenye kopo la Ice cream, maana ilikuwa nyeupee kutokana na kuchanganya kwa manii (Shahawa) za watu wawili kwa muda mrefu.. tulipimana uwezo na wote tulikuwa hodari, mnajua kuna Mapenzi ya aina nyingi sasa mkikutana wote ni Wasomi, mnajielewa na mna exposure ya mambo ya chumbani kuna taste flani hivi tofauti huwezi ipata kwa watu wengine.. usitegemee ukawa unakula tunda la Halima wa Buza ukafananisha na Nancy wa Masaki. Kuna taste mbili tofauti.. hata lugha na vilio ni tofautii.. nilikuwa nambiwa matusi ya kizungu tuu.. nikawa naitwa Daddy..(Dzaddy..) nilikuw napigwa vibao.. nilikuwa nafinywa... mimi.. ah.

Tuishie hapo.

Basi, baada ya kushindilia magoli kazaa, tulipata muda wa kuosha miili yetu na mimi nikimsisitiza zaidi kuwahi maana muda ushakimbia na hapo (Nyege zishaisha) sasa kichwani akili ndio inakuja kwamba huyu ni muke ya mutu.

Alimaliza kujiandaa, nikampeleka hadi maeneo ya kwake kwa njia ya daladala, alionyesha uchovu sana.. alishuka na kuchukua bodaboda, ambayo ilimfikisha hadi kwake. Mie nikarudi geto nikiwa najipa point 3 za ushindi na kujipiga kifua kwamba ni kidume.. sahiv nipo tayari sasa kwa lolote maana kama kumla nishamla kwelikweli. Sio kipindi kile hata game sijapewa naanza kutafutwa na mizengwe miingi.

Kesho yake, nikakuta text kibao katk ile line ya kwenye moderm, ni text moja tu iliyonishtua ambayo ni kwamba.. alikuwa katk siku za hatari, so anawasiwasi huwenda nishamjaza mimba, pia mumewe kamtumia text whatsapp atarud baada ya wiki 3.. jumla mumewe hapo atakuwa amekaa nje mwezi mzima.. kitaalam hiyo tunaitaje?

Mie sikujibu chochote nikazifuta txt zote.. nikachomoa moderm nikaitia kabatini. Nikaendelea na mambo yangu.

Kuna siku nilikuwa nafanya mambo yangu nikakutana na file moja ambalo lilinipa idea ya kuendelea na uchunguzi au kufatilia huyu jamaa mawasiliano yake yapoje ya kiofisi na kibinfsi yaani na familia yake.

Ni hivi: Katika hatua za udukuzi kuna stage ya kwanza ambayo ni information gathering stage, ambayo inamhusu mhusika kuusoma mfumo au network fulani ili ajue anatumia loophole ipi kuingia ktk huo mfumo.

Mie nichokifanya ni kuandaa Payload ambayo ndani yake kuna Kirusi, hicho kirusi kinaenda kutengeneza connection kati yangu na yeye yaan kati ya computer mbili. Hii ni njia nzuri hasa katik mashambulizi ya MITM (Man In the Middle).
Basi, after kutengeneza Payload nilifanya convertion kutoka kwenye bash scripts na kuirudisha kwenye Exe file then nikaiwekea Metadata ndani yake. Pia nikabadiri Icon ya hiyo exe file ionekane icon ya PDF document. (Hii ni njia wanayotumia wadukuzi hasa katika nyenzo mbalimbali za Social Engineering). After kufanya manipulation hiyo. Niliclone moja ya email ambazo nahisi angezitrust ambazo ni za kiofisi.

Nikaandika ujumbe fulani ambao ulilenga kufungua hiyo document na kusoma maelekezo haraka na kuyafanyia kazi. Kiuhalisia hakuna cha maana ndani ya hilo file. Isipokuwa mtu akifungua ni tayari kawaruhusu virus (Virus ni commands tu) kwamba mtu unaruhusu Execution of commands zifanyike ndani ya computer yako. Na mbaya zaidi ukiwa umatumia computer as Administrator, kuna privileges unazoachia hivyo kirusi kinakuwa ndio Administrator na computer yako inabidirika jina inaitwa kitaalamu kama ZOMBIE PC. unaweza fatilia documentaries za Zombie Pc huko USA.. naaam.

Basi, nilituma hilo file kwa kutumia temporary email, ikaenda na baada ya masaa 8 nilipata Notification kuna session imekuwa established through https.

Nirudi kidogo: Technically udukuzi ni mgumu na sio wa kufanya mara moja na kufanikiwa, hapana. Ni uongo. Lazima urudie rudie ujue mbinu na mikakati iliyobora. Mfano hii njia inafanyika mara nyingi ikiwa Mdukuzi na Target wakiwa katika same network yaani LAN, na wakiwa chini ya network protocol ya http au Tcp. So kufanya reverse_tcp commands inarudisha connections na kukupa access. Ikiwa computer ipo nje ya network moja ni ngumu, hapo ndio unatumia techniques nyingine kama vile Ngrok establishment au active directory kwa kutengeneza cloud server kwa udukuzi ulio nje ya LAN. Aisee mambo ni mengi.
Tuendelee..

After kupata active session niliingia na kuhakikisha ni kweli ni computer yake ndio imeaccess lile file. Nilichofanya baada ya hapo ni kitu kinaitwa ku maintain persistence.

Maana yake nini?; Mdukuzi akiingia katika mfumo anakuwa na malengo matatu. Kwanza kuingia bila kujulikana, kuhakikisha anabaki na mfumo, na kutoka bila kujulikana. Mdukuzi mjinga au yule mwenye nia ovu pekee ndiye atakayekuonyesha kwamba nipo ndani ya mfumo! Wadukuzi wanaojielewa ni wanaingia, wanabaki na wanatoka bila kujulikana.

Sasa ku maintain persistence maana yake ni kuhakikisha hata akizima computer akija kuwasha mie bado napata access. Yaan nakuwa sipotezi sessions kitu ambacho ni kigumu kweli kweli kwenye ulimwengu wa Udukuzi.

Basi, nilifanikiwa hilo na nikawa ninayo PC yake ki software zaidi. Kila faili naliona.. kila atakachofanya nakiona.. basi nikawa nimefanikiwa kwa hilo.

Nitaelezea mbeleni ni vipi niliweza kudukua Simu yake kupitia computer yake yeye mwenyewe. Na ni yapi niliyoyakuta? Pia mkewe atakuwa na Mimba au? Nimechoka kuandika.. next time guys.
Aisee kwenye hii Dunia Kuna watu mna ujasiri sana pamoja na kufuatilia kote huko Bado uka-force mazingira ukagonga. Hahah
 
Daah jana nimefeli kuchukua namba pale Morocco stend .mtoto kavaa dera Ana mzigo.kila nikifosi anachomoa.nikaona hapa nitaumbuka.
Kilichoniuma zaidi.alivyoondoka aliniaga
"Byeee"
 
Daah jana nimefeli kuchukua namba pale Morocco stend .mtoto kavaa dera Ana mzigo.kila nikifosi anachomoa.nikaona hapa nitaumbuka.
Kilichoniuma zaidi.alivyoondoka aliniaga
"Byeee"
Ungemsindikiza mzee... mie niliwahi badiri safari juu kwa juu
 
Back
Top Bottom