MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 424
- 765
Aaah unanitafutia matatizo na policeMtoa mada asipingwe alikuwa muhuni maeneo hayo...halafu we jamaa nakumbuka ulinipiga roba ya mbao yenye misumari ukaondoka na begi langu pamoja na manzi niliyekuwa naye..naomba uniludishie begi langu nimeshakufaham
Wewe ni mpumbavu na hakuna code hata moja unayoijua kuishi na machizi boti.Wanasemaga kambi popote
Kuna watu hawawezi kuishi hata siku mbili tu maeneo yaliyopinda, wanaogopa wahuni na vibaka, sijui panya road
Nishawahi kuishi Dar nikiwa na familia yangu huko Mbagala na lilikuwa kipindi cha panya road, hakuna muhuni alisumbua
Hapa nitawapa mbinu kadhaa
1. Unapoombwa hela na wahuni usiwape.
Wahuni Huwa wanapenda kutikisa watu Kwa kuwapima msimamo wao.
Anaweza akakwambia. Oyaa Uncle nigei jero ya fegi Mjibu huna au hutaki yaani isionekane ni haki kupewa kazi Bure
2. Shiriki mambo ya kijamii ya wahuni.
Wapewe michango kama ya mechi za ndondo, shughuli zao n.k
3. Kuwa mbabe kiasi
Itokee hata mhuni akizingua unampasua
4. Rudi usiku bila hofu
Ili wahuni au vibaka wasikuumize, we uwe na utamaduni wa kuingia na kutokea chimbo zao bila woga
5. Wajue wahuni baadhi
Ili wahuni wasikuumize we wajue wenzao kadhaa kwenye mtaa hata wakujue Kwa jina labda braza Salum
6. Usikae home Kinyonge
Labda weekend upo unafua na kukaangiza, hapo wahuni watakulia timing na watakuchukulia vyako
7. Fanya mazoezi nao
Kama ni kupiga chuma, muulize muhuni chimbo zao za kupiga chuma ni wapi, nenda pale kiwashe hadi wakutambue kuwa huyu si mnyoge
8. Juana na wazazi au ndugu zao
9 . Wakosoe wanapokosea na watishie kuwa unaweza kuwaadhibu, hapa watakuheshimu
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃJamaa mshamba ila anataka aonekane mjanja, hajui kabisa code za kihuni hasa za DSM.
Na wewe mhuni au vipi?๐๐Njoo na hizo code zako kitaani kwangu, Tukuchekeche!
Hao jamaa wa mtaani kwako wana uhuni wa kishamba tu!
๐๐๐
Msela mavii๐๐Mimi nikikuomba jero usipo nipa nakuvua viatu.
Nawewe unataka kusema nini ๐!Msela mavii๐๐
Muelekeze huyu jamaa, Sisi hata mjeda akijaa, Tunaimba nae.
๐๐๐ndo maana mnapotezwa
Mtoa mada anasema tu hawajui nimezaliwa na kukulia Kiwalani na hao wengi najuana nao sababu wakati tunakuwa tumeonana.Moja ya tukio ni ugomvu wao wenyewe mmoja alishika mpira wa nje wa baiskeli uliokatwa akitumia kumchapa mwenzie na mwingine alishika visu viwili akajaribu kumtoboa au kumchana mwenzie na ilikuwa usiku raia wote tuliwaangalia tu nani aingilie mpaka mama mzazi wa mmoja wao kuingilia vinginevyo tungeona maiti.Kaa nao mbali kadri unavyoweza.
Wana akili fupi sana hao jamaa, kuna ambao hawana cha kupoteza, kukutia beto la tumbo kwa kosa la kipuuzi hawaoni kazi.
Wanachomana sana visu hao jamaa, ila habari hazisambai kwasababu ya status yao ya uhuni.
Mmekosana kidogo tu, wanaanza kusakana wachomane visu kuoneshana ubabe wa kijinga.
Ishi maisha yako tu na sio uish ili wahuni wakuone mwamba au mbabe, hujui kua kila mbabe na mbabe wake??
Hao walikuwa wamedataMtoa mada anasema tu hawajui nimezaliwa na kukulia Kiwalani na hao wengi najuana nao sababu wakati tunakuwa tumeonana.Moja ya tukio ni ugomvu wao wenyewe mmoja alishika mpira wa nje wa baiskeli uliokatwa akitumia kumchapa mwenzie na mwingine alishika visu viwili akajaribu kumtoboa au kumchana mwenzie na ilikuwa usiku raia wote tuliwaangalia tu nani aingilie mpaka mama mzazi wa mmoja wao kuingilia vinginevyo tungeona maiti.
Huu hapaโ โ โ โ โ โ โ โ โ โ โAndika wosia