ze farmer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 922
- 1,804
Binafsi. Natumia mbinu zifuatazo:
1. Sipigi simu ovyo unless kuwe na ishu ya msingi
2. Situmi hela kabisa kwa mitandao pia itokee dharura sana
3. Luku sijui nini naenda kununua physically kwa wakala
4. Hi mambo ya simu banking nimetoa kabisa
5. Nikitaka 50,000 natoka 400,000 mpunga naweka home
6. Hapa yenyewe natumia wireless ya kazini nikitoka hapa hamnipati
No way! Bunge sasa ni la chama kimoja
Nchi mtajenga wenzangu
Wenye mbinu mbadala tupeana