Mbinu za kukwepa gharama za mitandao

Mbinu za kukwepa gharama za mitandao

ninachokiona.......na hasa sisi Watanzania......tutapiga porojo weeeee.....tutalaani weeee.....in few weeks....we forget kila kitu...na maisha yanasonga.....cha msingi elewa hizi gharama ni kubwa sana....now wale ndugu zetu wa mikoani ndio itakuwa taabu sana.....we use to send money kila kukicha...now tunapunguza.......WATANZANIA hebu tupige kelele ndugu zangu.....labda SASHA atatusikia.........na CCM walivyo wamekubuhu.....uchaguzi ukikaribia...MKCHAKATO WA KATIBA MPYA UTAANZA.....hapo weshatutoa reli na kutupaisha....wakishinda tuu...tunarudishwa kwenye reli yetu......😡😡😡
Wabongo Ni wapumbavu acha wanyooshwe
 
Binafsi. Natumia mbinu zifuatazo
1.sipigi simu ovyo unless kuwe na ishu ya msingi
2. Situmi hela kabisa kwa mitandao pia itokee dharura sana.
3.luku sijui nini naenda kununua physically kwa wakala
4.Hi mambo ya simu banking nimetoa kabisa
5. Nikitaka 50,000 natoka 400,000 mpunga naweka home
6. Hapa yenyewe natumia wireless ya kazini nikitoka hapa hamnipati

No way. Bunge sasa ni la chama kimoja.
Nchi mtajenga wenzangu
Wenye mbinu mbadala tupeana
Kwa kipato chako utapunguza tu, kuacha huwezi.

Wale wenye kubangaiza mkono uende kinywani ndio watalazimika kuacha kutumia hizi huduma makato
 
kufanikisha hili kwanza tunahitaji mabadiliko ya fikra halafu tuache na ubinafsi tuipiganie nchi kitu ambacho hatuna kila mtu anaangalia familia yake bila kuiangalia nchi kwa ukubwa kwa ajili ya vizazi vijavyo na hii ndio inapelekea umasikini kutokuisha na unatoka kizazi kimoja kwenda kingine.

maisha yetu ya sasa hayatotofautiana sana na maisha ya wanetu.

tushirikiane kudai KATIBA MPYA nchi ni yetu sote ,tuipende na kuipigania.
Hakuna hii inaitwa nchi yetu trust me. CCM ndo wanaweza thubutu sema hivo ss wengine ni kama tenants tu. Kila kitu tunapangiwa na unaambiwa kama hukubaliani nenda kaishi huko unataka. Very sad
 
Tumieni bitcoins, kuna kijana anaitwa ontario ni mtaalamu wa hizo mambo[emoji205]
Unaweza kutuma bitcons kwa bibi kijijini.? Hapa wenye nchi wametukama pu**mbu tukae kimya wasije bana zaidi
 
Kwa kipato chako utapunguza tu, kuacha huwezi.

Wale wenye kubangaiza mkono uende kinywani ndio watalazimika kuacha kutumia hizi huduma makato
Ni kweli. Na mm najibana ili maumivu yapungua. Siku tukikubaliana kuwa sasa imetosha wote tutasimama kwa pamoja kudai katiba mpya. Sasa hivi tupigike kwanza hata ni suala la muda tu.
 
Ni kweli. Na mm najibana ili maumivu yapungua. Siku tukikubaliana kuwa sasa imetosha wote tutasimama kwa pamoja kudai katiba mpya. Sasa hivi tupigike kwanza hata ni suala la muda tu.
Wamemejisahau, wanakula na kipofu sasa wanamshika na mkono.
 
Back
Top Bottom