Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah.. Kiongozi..hivi katiba mpya itatusaidiaje kwenye hili la tozo na kodi za miamala? Nauliza tu....[emoji2960]kufanikisha hili kwanza tunahitaji mabadiliko ya fikra halafu tuache na ubinafsi tuipiganie nchi kitu ambacho hatuna kila mtu anaangalia familia yake bila kuiangalia nchi kwa ukubwa kwa ajili ya vizazi vijavyo na hii ndio inapelekea umasikini kutokuisha na unatoka kizazi kimoja kwenda kingine.
maisha yetu ya sasa hayatotofautiana sana na maisha ya wanetu.
tushirikiane kudai KATIBA MPYA nchi ni yetu sote ,tuipende na kuipigania.