Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Mbinu mpya ni kutuma kama flot
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Just stick to the point, ulituaminisha mwelekeo mzuri kwa taifa huo mwelekeo ndiyo huu?Hebu acha ujinga wewe!!! Hiyo hotuba ya siku ya kuapishwa na mpaka kodi zimepitishwa unajua nilichoandika? Wapuuzi kama wewe MNAKURUPUKA na kuonyesha ujuha wenu hadharani bila ya kujua nini kinachoendelea.
Baada ya kuchima hilo shimo, weka hiki kifaa [Security Safe] kwa usalama zaidi.Usiweke hela bank wala kwenye simu. Chimba shimo chumbani kwako uzifiche.
Dah..asante sana kwa shule Kiongozi..... Kina nani wana katiba nzuri tuikopi tu....hata kama za vyama vyetu hivi...maana tumechelewa sana.. na kuondoa zile laki 5 wanazokula wakikaa ... 😷Katiba mpya ndo inatoa mwongozo wa kitaifa. Uwajibikaji ni pamoja na kuwa accountable kwa mambo ya kuumiza taifa. Mana huwezi enda kwa Raisi eti uwe mwajibikaji! Katiba says it all.
Shida ni watu hawajui nguvu ya katiba. Kila kitu kinaanza na katiba. Katiba ina determine type of institution tulizo nazo. Na hakuna maendeleo pasipo na strong institutions. Mf. Mtu kafanya uhuni vuruga uchaguzi kisa anapower ya kumanipulate tume na matokeo yake ndo hayo. Hakuna anahoji uhalali wa hizo kodi.
What if tungekuwa na completely independent electoral commission tusingefika huku. Na tunapataje hio. Ni kupitia katiba. Kuna mengi ya kusema.
Lolote lawezekana aiseeWatakuja na sheria huruhusiwi kuwa na laki tano 5 ukikutwa nayo miaka 5 jela
Mkuu unaviuza? Maana jana mimi nilichimba shimoBaada ya kuchima hilo shimo, weka hiki kifaa [Security Safe] kwa usalama zaidi.
View attachment 1855575
mkuu tuko tofauti me bora wakate tu nikitoka na hiyoo 400,000 niweke Ndani baada ya siku tatu imeiisha. bora makato kulipo kufuja helaa.Binafsi. Natumia mbinu zifuatazo
1.sipigi simu ovyo unless kuwe na ishu ya msingi
2. Situmi hela kabisa kwa mitandao pia itokee dharura sana.
3.luku sijui nini naenda kununua physically kwa wakala
4.Hi mambo ya simu banking nimetoa kabisa
5. Nikitaka 50,000 natoka 400,000 mpunga naweka home
6. Hapa yenyewe natumia wireless ya kazini nikitoka hapa hamnipati
No way. Bunge sasa ni la chama kimoja.
Nchi mtajenga wenzangu
Wenye mbinu mbadala tupeana
Usipate tabu vipo VIBUBU Kama ATM.nashindwa TU KU aploadUsiweke hela bank wala kwenye simu. Chimba shimo chumbani kwako uzifiche.
J
Just stick to the point, ulituaminisha mwelekeo mzuri kwa taifa huo mwelekeo ndiyo huu?
Yaani kupanda kwa kodi za dhuluma?
Kutembea na mabegi ya pesa?
Kuua biashara za mawakala wa M pesa?
Usipanic uwe mpole kutelimisha .
Hii sio kodi ya kwanza kulipwa. Shida sio kodi bali ni mfumo wa kodi. Umekaa kaa unadiscourage kutuma na kupokea fedha. Unajua kuna mwananchi hata 3000 ya kula ni shida. Sembuse kukatwa 10,000.Tupambanie matumizi sahihi ya pesa za mlipa kofi na si kupinga kulipa kodi.
Kodi hii tunayolipa kidogo itakuja kuwa na return mara laki+ . Tujiulize Reli na bara bara alizojenga mkoloni zimetufaidisha kiasi gani kulinganisha na manyanyaso ya manamba waliofanya hio kazi?
Hivi ni vizazi vingapi vitatumia miundombinu itakayo jengwa kwa hizi kodi.
Miundombinu itafungua mambo mengi sana jamani.
Serikali iweke wazi namna kodi hio itakavyotumika na taarifa za matumizi ziwe wazi.
Lazima tukubali kuijenga hii nchi kwa jasho na damu, kwa nini tubataka maendeleo ya kama ya china huku hatutaki kuwekeza katija msingi wa kujenga maendeleo.
Kama shida ni viongozi si tuwakatae. Je tunataka nani agharamie maendeleo yetu wenyewe?